Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Habar za asubuhi wana J/Forums.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
We nae kitu kama hiki unauliza mkuu huyo hafai kwa nini alikukataa akaenda huko akazalishwa ina maana wewe amekuona wa maana baada ya kutaabika kwe malezi ya mtoto na kwa sasa anaona anaweza kukosa kabisa wa kumuoa,achana nae mkuu tafuta mwingine mbona wapo wengi bora ungemkuta ana mtoto tayari kuliko huyo. Hafai!!
 
Elewa kwamba wanawake wanaziheshimu sana hisia zao.Mpaka aliamua kukukataa wewe na kumpa penzi mshkaji na mpaka akamzalia..huyo ndo yuko Moyoni mwake.
Kilichotokea hapo,wewe ni spare tyre kipara,utaitoa gari porini,ila ukifika mjini utatolewa na tairi jipya litafungwa!
 
Usikubali kuwa second, achana naye, kama mwanaume mwenzako kaona hafai, wewe ninani upinge.

Ameeen kwa niaba yak

Elewa kwamba wanawake wanaziheshimu sana hisia zao.Mpaka aliamua kukukataa wewe na kumpa penzi mshkaji na mpaka akamzalia..huyo ndo yuko Moyoni mwake.
Kilichotokea hapo,wewe ni spare tyre kipara,utaitoa gari porini,ila ukifika mjini utatolewa na tairi jipya litafungwa!

We nae kitu kama hiki unauliza mkuu huyo hafai kwa nini alikukataa akaenda huko akazalishwa ina maana wewe amekuona wa maana baada ya kutaabika kwe malezi ya mtoto na kwa sasa anaona anaweza kukosa kabisa wa kumuoa,achana nae mkuu tafuta mwingine mbona wapo wengi bora ungemkuta ana mtoto tayari kuliko huyo. Hafai!!
Nashukuru kwa ushauri wenu
 
Habar za asubuhi wana J/Forums.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Kubali umuoe ulee mtoto wa mwanaume mwingine
 
Back
Top Bottom