Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Dah..., wanawake nyie hatari 😂😂😂When the best is not available, we can make a use of you.
Dah..., wanawake nyie hatari 😂😂😂When the best is not available, we can make a use of you.
Tayari keshapanga mikakati ya ndoa hapa hakuna atakaemuelewa anatuona sote tunamuwekea zengwe 😅😅tusubiri matokeo tu!Bora umempa ukweli tu maana sie wengine sijui kama anatuelewa?
Hahahah akileta uzi wa kipuuzi tena tunamtoa dima humu!Tayari keshapanga mikakati ya ndoa hapa hakuna atakauemuelewa anatuona sote tunamuwekea zengwe 😅😅tusubiri matokeo tu!
Kitendo cha mwanamke kuongea na nyoka halafu hakuogopa sio jambo la kuchukulia eti ni hadithi za kale.Dah..., wanawake nyie hatari 😂😂😂
Hahahah zinampa stress yani anawaza Eva kaongeaje na Nyoka wakaelewana na akapigwa mashine😅😅😅Kitendo cha mwanamke kuongea na nyoka halafu hakuogopa sio jambo la kuchukulia eti ni hadithi za kale.
Ikumbukwe baada ya mwanamke kuongea na joka ikamlazimu Mungu apaze sauti Kwa ukali humo Bustanini Eden. Ilikuwa ndio mara ya kwanza Mungu anaonesha hasira zake kwa Mwanadamu.
Ndiposa tujue wanawake imagination zao hata Mungu anakoma nazo. Maana zinamtatiza. Hatari sana!
😅😅Hahahah zinampa stress yani anawaza Eva kaongeaje na Nyoka wakaelewana na akapigwa mashine😅😅😅
Ni noma sana yani, kizazi cha nyoka ndio maana kimelaaniwa yani 😅😅😂 af Eva alivyokuwa muhuni akaenda kumpa na Adamu nae apige maana aliskia utamu Adam akapiga kweli manina ndio balaa lilipoanzia la kutupwa duniani kuteseka!😅😅
kama haitoshi na mimba juu!
Ikabidi Adamu asubiri upya...Noma.
Hahahahh alijua kasifiwa.Rug - ni lile tambara la kufutia miguu mlangoni, sky eclat kakuchana hapo,na ww unasema that's wise, unayumba bwana sadala
Thread zitafuatana katika mtiririko huu.Muache apigwe kazi kwanza😅😅😅
Hahahahah mwanamke ambaye alishakuktaaga unaanzaj kufosi mfanye maishaThread zitafuatana katika mtiririko huu.
1. Je ni sawa kumsomesha mtoto asiye wako?Ushauri Jamani.
2. Mke wangu anataka talaka baada ya miaka nane ya ndoa.
3. Natamani nijiue, ushauri Jamani.
😀😀😀
Ni uffalla wa level ya Emirates.Hahahahah mwanamke ambaye alishakuktaaga unaanzaj kufosi mfanye maisha
kuchepuka ni Model of Excellency kama excellency zingine mkuu. Watu lazima wakopi na kupesti. Hamna namna!Ni noma sana yani, kizazi cha nyoka ndio maana kimelaaniwa yani 😅😅😂 af Eva alivyokuwa muhuni akaenda kumpa na Adamu nae apige maana aliskia utamu Adam akapiga kweli manina ndio balaa lilipoanzia la kutupwa duniani kuteseka!
Hii tabia ya kuchepuka ilianzia Eden mle mle. Hapa dunian tunafanya marudio tu!
Achana nae, from experience kutoka kwa kaka yako! Achana nae, tafuta mtu mbichi kwa ajili yako. Tena kumkomoa huyo wala usimgonge, mwambie muendelee kuwa marafiki.Habar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
hahahkuchepuka ni Model of Excellency kama excellency zingine mkuu. Watu lazima wakopi na kupesti. Hamna namna!
Mtu hujawah mtafuna unasema asimgonge? 😅😅😅Achana nae, from experience kutoka kwa kaka yako! Achana nae, tafuta mtu mbichi kwa ajili yako. Tena kumkomoa huyo wala usimgonge, mwambie muendelee kuwa marafiki.
Ampe psychological torture...ni ngumu kutomgonga najua. Ila awe mwangalifu asibebeshwe zigo, huyo demu inavyoonekana sasa anatafuta wa kumsaidia kubeba mzigo wake wa majukumu na sio anatafuta mwenza wa dhati, na hamaa ndio weak target yake...Mtu hujawah mtafuna unasema asimgonge? 😅😅😅
Ndio ile unapiga mara moja demu kajibebesha mimba mnaanza kulea tena 😅😅😅Ampe psychological torture...ni ngumu kutomgonga najua. Ila awe mwangalifu asibebeshwe zigo, huyo demu inavyoonekana sasa anatafuta wa kumsaidia kubeba mzigo wake wa majukumu na sio anatafuta mwenza wa dhati, na hamaa ndio weak target yake...
ndomana unaambiwa love is blindHivi mkuu, hujaona wanawake wengine single huko kwenu kijijini ama hapo unapoishi hivi sasa? Usije kujiingiza kwenye matatizo, wanawake waliozaa na vibaka wanakuwa na hasira sana za kutendwa. Yeye alizaa na yule kijana kwa sababu alimpenda, kwa sasa anakukubali wewe kwa sababu hana jinsi tena kwani anahitaji mtu wa kumpa majukumu ya kumtunza mwanaye aliyezaa na kibaka. Kuna uwezekano mkubwa tu wa huyu mtoto kuwa na tabia kama za baba yake, wewe unakwenda maishani mwake kama baba wa kambo, na akilijuwa hilo lazima atakudharau tu. Jiandae kisaikolojia.