Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ?

Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake

Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker, kipindi hicho wanapooana huyu co worker bado alikuwa na mahusiano na na mwanume mwengine ambae alikuwa anakuja sana hapa kazini, wao huzuga kujiita marafiki lakini kwetu watu wazima tunajua jamaa anapiga, Aliacha utaratibu wa kuja baada ya mwenzake kuolewa.

Baada ya kuoana co worker akaanza kuweka status mara zinazoashiria hana amani kwenye ndoa, si muda mrefu akarudi kwao.

Kwa character ya mme suala hili liliacha viulizo maana huyo jamaa ni mtu mpole sana, mcha Mungu, ni msomi haswa na kaajiriwa moja ya taasisi ambayo inalipa vizuri tu lakini hana fujo wala mbwembwe.

Binti akajifungulia huko kwao lakini tangu ajifungue huyo mtoto hajawahi kuwa na baba yake nje ya geti, panapotokeo vikao vya kusuluhisha wakija ndugu wengine mtoto anafichwa anazungushwa huko town.

Sasa kuna siku kapost picha ya mtoto amekuwa kuwa yani ni copyright ya huyo jamaa mwengine.

Ndipo ukagundulika mchezo hapo kwamba binti alipoona mambo yanaweza kumuumbua akalianzisha varangati kuonekana ananyanyaswa ili iwe exit strategy ya kuondoka.

Kwa character ya mme wake ni mtu mpole sana, mcha Mungu, ni msomi haswa na kaajiriwa moja ya taasisi ambayo inalipa vizuri tu.

Binti akajifungulia huko kwao lakini tangu ajifungue huyo mtoto hajawahi kuwa na baba yake nje ya geti, panapotokeo vikao vya kusuluhisha wakija ndugu wengine mtoto anafichwa anazungushwa huko town.

Sasa kuna siku kapost picha ya mtoto amekuwa kuwa yani ni copyright ya huyo jamaa mwengine.

Ndipo ukagundulika mchezo hapo kwamba binti alipoona mambo yanaweza kumuumbua akalianzisha varangati kuonekana ananyanyaswa ili iwe exit strategy ya kuondoka.

Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ?
 
20231121_211634.jpg
 
Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ?

Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake

Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker, kipindi hicho wanapooana huyu co worker bado alikuwa na mahusiano na na mwanume mwengine ambae alikuwa anakuja sana hapa kazini, wao huzuga kujiita marafiki lakini kwetu watu wazima tunajua jamaa anapiga, Aliacha utaratibu wa kuja baada ya mwenzake kuolewa.

Baada ya kuoana co worker akaanza kuweka status mara zinazoashiria hana amani kwenye ndoa, si muda mrefu akarudi kwao.

Kwa character ya mme suala hili liliacha viulizo maana huyo jamaa ni mtu mpole sana, mcha Mungu, ni msomi haswa na kaajiriwa moja ya taasisi ambayo inalipa vizuri tu lakini hana fujo wala mbwembwe.

Binti akajifungulia huko kwao lakini tangu ajifungue huyo mtoto hajawahi kuwa na baba yake nje ya geti, panapotokeo vikao vya kusuluhisha wakija ndugu wengine mtoto anafichwa anazungushwa huko town.

Sasa kuna siku kapost picha ya mtoto amekuwa kuwa yani ni copyright ya huyo jamaa mwengine.

Ndipo ukagundulika mchezo hapo kwamba binti alipoona mambo yanaweza kumuumbua akalianzisha varangati kuonekana ananyanyaswa ili iwe exit strategy ya kuondoka.

Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ?
Huyo mwanaume anaetoa matunzo ndio hana akili. Mtoto kazaliwa tayr kwann nisionyeshwe kama wangu. Mambo mengine bwana sheria binafsi zimuongoze mwanaume
 
Kitanda hakizai haramu huyo mwanamke atulie walee.

Ila 🤔🤔 kataa NDOA ni kujichimbia kaburi atakama unakazi nzuri...
 
We mwenyewe umesomeshwa na ada za wanaume washikaji za baba'ko. Leo hii unampondea mwanamke mwenzio. Nyie wote mlishakua majizi,wahuni,mijambazi,kila aina ya ........ Au ulitaka uwe unatunzwa wewe?
 
Muwe mnakua sehem ya ukombozi Kwa mtu.

Ulipaswa umpe jamaa taarifa, bila kujali itaathiri nini .

Hata Mungu atakubariki ,haijalishi Jamaa na Mke watakuchukia.

Kwann hamuwinsehem ya ukombozi Kwa mtu?.

Kujua ipo siku atajua, Sasa Kwa nn achelewe kujua hadinkipindi ambacho atakua kawekeza Kila kitu?.

Huyo Mume wa Dem anaitwa Nan? Nimtafute FB nimwambie , kama una namba yake nipe .

Kataa Dhuluma !!.
 
Back
Top Bottom