Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Jf wangese sana yaani si kwa mbavu hizi jamani mama weeee!! niseme nini mie!!! mwana falsafa zangu jamani mweeeee uwiiiiii
 
Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali,

Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto,

Wadau kadhaa wa mitandao ya kijamii wamenda mbali na kusema mtoto Huyo anaweza kua ni mtoto wa( ember bortion ) wengine wakidai kazaa na sponsor

Jamani tumtakie heri katika kumkuza mtoto hyo anayetabiliwa kunyakua deals nyingi bongo Dar es salaam na nje

View attachment 1775094
Ila pamoja watoto wadogo wanakuwaga na face incognito lakini huyu amefanana na hamorapa kwani hamorapa sio mtu wandugu au naongopa? 😃😃😃😃
 
Tehee!! teeew!!! teteee!!ahahahah! yaani wewe majibu yako huwaga simple sana!! mpaka unaishangaza jf, yaani naishiaga kucheka tu!! Mume wako oo!! au mkeo atakuwa na amani sana kwa jinsi ulivo!! yaani mnaonekanaga tu!!

kuachw asahau!!! hata iktiokea sababu ya ulevi wake!! lazima arudi tu! sasa miaka sitini si kibibi kabisa!!! wengi humu ni miaka 14--40yrs baaasi! labda 50+ kidooogo sana!!
 
Yeah mi ni mzee kijana wangu, ni mzee niliyechangamka
 
Back
Top Bottom