Mkendo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,132
- 2,223
Roho inakuuma mkuu. Kubali tu.
Bado Mbowe!
Sawa Makapi yote chukueni..
Roho inakuuma mkuu. Kubali tu.
Bado Mbowe!
Pole ndugu yanguSawa Makapi yote chukueni..
elimu haitoshi kabisa, mfano, msomi wa Kenya na msomi wa Tanzania ni tofauti kabisa kwa kila kitu kuanzia uelewa, ujuzi, tabia na hata kipato. Wasomi wetu wanapenda kwenda nchi za Magharibi na Asia kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za elimu, mikutano na ajira. Ule uzuri wa nchi zile vikiwemo mazingira, uchumi, siasa na sheria ni matunda ya wasomi wao. Hawa wa kwetu ni shameless, visionless, cowards, mistrustful, non persistence, cheap with shallow argumentative.Ina maana wasomi wote waungane kwenye chama kimoja?
Ulikuwa kwenye kamati ya uchaguzi ya chadema?
If not kaa kimya tu
Hampendi kukosolewa ila mnapenda kukosoa wenzenu.
Ukweli utabaki pale pale Mwenyekiti Mbowe alifanya upumbavu 2015
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mishentown tu.HIVI POLEPOLE ALI KUWA CHAMA GANI BEFORE CCM?
mwana wa Tanzania,
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi (Wabunge) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?
Ccm watajifanya hawajaiona hii post yakoSwali la kujiuliza mbona wapinzani Zanzibar awajisalimishi msalabani kwa kupigwa chapa au Sheni akati.Kama kuhamia ccm ni uzalendo kuunga juhudi mbona Zanzibar hakuna hayo