Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Hawa watakuwapo wengi. Hapana kuwa na hard feelings. Akitaka kurudi karibu akitaka kuondoka kwa heri.

Kinachohitajika ni idadi inayohesabika mwisho wa siku.
 
bado mbowe anakufa na tai shingoni, anatamani ahamie ccm ila anajihukumu kwakuwa yeye ndio top
 
Yeye na wenzake wanatupatia somo kwamba elimu yetu haitoshi, lazima tuajiliwe ili tulipwe mshahara.
 
Ina maana wasomi wote waungane kwenye chama kimoja?
elimu haitoshi kabisa, mfano, msomi wa Kenya na msomi wa Tanzania ni tofauti kabisa kwa kila kitu kuanzia uelewa, ujuzi, tabia na hata kipato. Wasomi wetu wanapenda kwenda nchi za Magharibi na Asia kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za elimu, mikutano na ajira. Ule uzuri wa nchi zile vikiwemo mazingira, uchumi, siasa na sheria ni matunda ya wasomi wao. Hawa wa kwetu ni shameless, visionless, cowards, mistrustful, non persistence, cheap with shallow argumentative.

Siku zote na mara zote wanavisia faida ya leoleo inayowahusu wao na watu wao za karibu, wasipoiona wanachanganyikiwa. Hawajui kama historia inaandika neno kwa neno, tukio kwa tukio na tabia kwa tabia ya kila mfumo zuri au baya hata liwe dogo kama chembe ya haladari. Ndiyo maana historia haiwasahau akina Chifu Mangungo, Tiptip, Lumumba, Samora, Chipaka, Kambona, Bibi Titi, TAA, ZPPP, ZNP, TANU, Hitler, Hiroshima, Gadaff, nk
 
Tuseme yoooote, lakini Mbowe ulitukosea sana wananchi mwaka 2015. Haya ndio malipo ya usaliti wako
 
Mashinji kakimbia kesi isiyokwisha inayosubiria uchaguxi ubakie miezi 3 hukumu ya maagizo itoke wafungwe hadi uchaguzi upite hivo kaona ajisalimishe mapema msalabani.
 
Swali la kujiuliza mbona wapinzani Zanzibar awajisalimishi msalabani kwa kupigwa chapa au Sheni akati.Kama kuhamia ccm ni uzalendo kuunga juhudi mbona Zanzibar hakuna hayo
 
Back
Top Bottom