Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Kitu watu wasichojiuliza ni kuwa wote wanarudi CCM. Hawendi kwingine. Wanamini watapata maslahi humo, labda. Baada ya wte kurudi, swali ni je, wataenea? Je, watakidhi haja ya mategemeo yao? Je, ni kweli yale waliyyamini sasa yanpatikana CCM? Wasipoyapata nini kitatokea? Muda haugandi! Tuvute subira.
 
Mmoja kati ya Mwambe au Sumaye angafanikiwa kuwa Mwenyekiti halafu Katibu Mkuu Mashinji… CHADEMA ingezikwa rasmi leo.

Strategy ya voter suppression inayotumiwa na maCCM ni mkakati thabiti wa kukamilisha mpango wa kuzika upinzani kwenye sanduku la kura badaye mwaka huu, ambapo wabunge na vigogo wote watabaniwa kurudi bungeni… tuanze kujizoeza kuongozwa na kina Gambo, Tulia, Makonda, Sabaya nk..

Kuna wakati Chadema walikuwa hawana uhakika na hata kiti kimoja cha ubunge, hata cha udiwani ilikuwa ndoto.

Ila ndoto ya Chadema ilikuwa na matumaini ndani yake na si matumaini tu kulikuwa na nia ya kuona mabadiliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaunga juhudi
Huyo ni mkweli kabisa kasema njaa ndiyo imempeleka huko
tapatalk_1582037457335.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko chadema alijipoteza tu. Madigrii tote hayo asingeweza kufanya kazi kwa ufanisi na mwenyekiti ambaye hata A level hakwenda. Kwanza akisoma tu wasifu wako ananywea na kudhani unatishia ufalme wake.
 
Mboe atabaki peke yake na mkewe na ninawasiwasi mkewe atahamia chama dume CCM baba lao ,CCM chama lao
 
Back
Top Bottom