Aliyewahi kupona bawasiri/hemorrhoids


B

bnzt

Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
6
Points
45
B

bnzt

Member
Joined Aug 9, 2018
6 45
Habari wakuu,

Nimekuwa nikinywa sana maji, kula mboga za majani na matunda. Naomba kama mtu ambaye alishawahi kuumwa bawasiri/hemorrhoids na akapona kabisa, anijuze alifanya nini akapona.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaburungu

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
2,019
Points
2,000
kaburungu

kaburungu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
2,019 2,000
Habari wakuu,

Nimekuwa nikinywa sana maji, kula mboga za majani na matunda. Naomba kama mtu ambaye alishawahi kuumwa bawasiri/hemorrhoids na akapona kabisa, anijuze alifanya nini akapona.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nna watu wangu wa karibu walipona kabisa ila kwa kufanyiwa upasuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
2,342
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
2,342 2,000
Mkuu usipalamie mambo usiyo yajua.. nikikuuliza hemorrhoid inasababishwa na nn unaweza nipa jibu???

Acha watu wa afya tutoe ushaur usiingilie... Maswali hayo niliyo uliza yana mahusiano na tatizo lake sanaaa...
Acha upuuzi bwana we msaidie namna ya kupona,umri amekutajia kazi yake we ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
IKIRIRI

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
2,316
Points
2,000
IKIRIRI

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
2,316 2,000
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Messages
1,883
Points
2,000
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2017
1,883 2,000
Mi iliwahi kunipata nkajitahid kula sana bamia yaan kula hasa pia nyama nkaacha kula ikaisha.Japo huwa naona kama dalili hasa hasa nsipokula matunda mda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
5,259
Points
2,000
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
5,259 2,000
Mimi iliwahi nitokea kwa wiki 2 hivi kiasi kwamba nikaanza kuogopa maana kuna jamaa yangu ilimsumbua sana .

Nikawa nakunywa maji sana na kufanya mazoezi ikayeyukaSent using Jamii Forums mobile app
 
F

frank gallagher

Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
35
Points
95
F

frank gallagher

Member
Joined Jan 12, 2019
35 95
Mkuu kula sna matunda,na cabbage m nakulaga SNA matunda maembe,mapapai na cabbage inasaidia sna acha vyoo vya kukaa piga sna maji
Jaribu na hii utaipata amazon inasaidia sna
screenshot_2019-01-13-20-22-45-jpeg.993473


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
2,460
Points
2,000
Age
97
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
2,460 2,000
Pole mkuu ila kuna uzi humu ndani unaelezea vizuri kabisa ugonjwa huu na tiba zake na pia kuna mtaalam mmoja yuko dar anatibu kabisa na unapona mkuu, kuna jamaa yangu alimtumia akapona kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
2,342
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
2,342 2,000
Kukaa muda mwingi chooni kutokana na tatizo la kuharisha au tatizo la kukosa haja kabisa na kuwa na choo kigumu sana ndio hasa upelekea tatizo hili..

Kwa hyo mkuu epuka pia swala la kuharisha kwa kula chakula safi na salama.

Pia nakushauri jaribu kutumia dawa za tiba asilia za kutengeneza mzunguko wa damu vizur. Dawa hizo huwa na mchanganyiko wa kahawa.

Pia kama tatizo limekua kubwa sana, suluhisho ni upasuaji tu kwenda kukakata.

Pia endelea kula matunda na fanya mazoezi madogo madogo.

Hiyo hali ya kukaa sana wakati wa kazi haifai sana so, jitahid utumie kahawa za watu wa tiba asilia, ili kuimalisha mzunguko mzur wa damu.
Ni mwanaume, kazi zangu zinahusisha kutumia computer siku nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,286,228
Members 494,902
Posts 30,887,738
Top