Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Kumbe wewe kijani kibichi eeh
eee huyu ni CHANIKIWITI!
Kumbe wewe kijani kibichi eeh
Fanya utu wako uwe zaidi ya siasa, siasa isiwe zaidi ya utu wako!
Killing a human fellow for just 150m?
Wahalifu wetu huwa hawana hata muda huo wa kuangalia thamani ya kazi (japo binadamu hathamanishwi kwa hela).....Kipatikanacho kama chatosha kutumia ikisubiriwa kazi nyingine; kazi inafanyika tuu
na vijana wa chusa wanasema wazi kabisa kwamba boss haumwi lakini katoa kitu kidogo ili asikae magereza,hao vijana wa chusa wanaropoka sana huku mjini, na kabla ya tukio mmoja wao aliropoka pia, tubakie na haya majina ya JF tu mana chusa ni jirani yangu kwenye bangaloo lake fulani hapa mjini, ni kama bro kwangu, hao vijana tunakunywa nao "chai" mjini! erasto alitoka mjini akijua kabisa anaenda kufanya biashara na watu fulani anaofanyaga nao biashara siku zote na sehemu ile,(pale ni mahali wanapofanyiaga biashara zao) nani kichaa atoke na pesa zote akafanye biashara porini kwa watu asiowajua?
Mungu atusaidie kama tumefika hapa basi.Jamani kifo cha huyo kaka kimegusa wengi, huyo aliyetekeleza hayo ni Banjoooooooo yeye kazi ndio hizo, na leo nimemuona hapo mjini karibia na New Arusha anatembea bila wasiwasi.
Husomeki, habari za kitaa zinapaswa kuthibitishwa.
Jamani hivi kuna mtu wa mawe aliweka historia kubwa pale Mirerani ya kuuwa watu wengi kwenye Mgodi kama Ray Kishimbua? Halafu mnajadili mauaji ya mtu mmoja kama Erasto? Naondoka halafu rudini kwenye historia ya matajiri waliouwa watu wengi pale Mirerani mniambie.
Inatawaliwa na Rais huyu huyu mwuza unga.......
Nakumbuka kulikuwepo na maaskari kama watatu hv nao walijifanya wanawafuatilia mambo fulani huko nao maafa ikawafika huko huko.
Ray Kishimbua anaongoza kwa kuwazika wanaapolo.
Na leo ana nini?
Kumbe mtu anaweza tumia 150m kutoa uhai wa mwenzie???????????Lisemwalo lipo lakini!!
hata kama alikua anawajua, bado ni ukichaa kufanya mabiashara ya mabilioni kwa kutumia ma cash tena maporini. Hizi ni zile ukisikia wahenga walisema mali bila daftari.nani kichaa atoke na pesa zote akafanye biashara porini kwa watu asiowajua?