lizy chacha
Member
- Nov 5, 2014
- 29
- 2
Sharifu kamuwa Erasto kisa Erasto kamzidi
Kafanikisha azma yake,japo na yeye ananyea ndoo.Upande wa pili migogoro bado inaendeleaSharifu kamuwa Erasto kisa Erasto kamzidi
Hatimae Banjoo amefikiwa.Mkuu liverpool
Ni kweli banjoo ni mtu hatari saana kwa kuandaa na kutekeleza mauaji mengi ya mji wa arusha. Sijui ni kwanini wanamwachia mtu kama huyu aendelee kuishi wakati ni muuaji aliebobea. Kwenye hili la erasto nasikia nae alihusika. Ila nakwambia siku zake zina hesabika, haiwezekani wewe ukajifanya kidume siku zoote na watu wengine ukawaona mafala.