Aliyemuua bilionare Erasto

Aliyemuua bilionare Erasto

LENGIO nakwambia ya kwamba hii move itakuwa nzuri sana kama haki ikifuatwa
Tuwe wapole kwani hakika hatutaamini haya yote yatakayofuata...........!
LiverpoolFC na wewe tiririka km Mungi na LENGIO hata km huyo Justin nyari anahusika si akamatwe hata km ni Diwani wa huko Arumeru mashariki
Kuna Thread ya mazishi yake uliileta ukasepa sasa tufahamisheni maana utajiri wa hawa watu wa Mbuguni utaisha vibaya
simkumbuki haswa ni nani (huenda aliitwa Nyari) alikuwa kituko hapa Gereza la Isanga na akatoka ni kweli Mungi mmempa Uongozi huyo mfungwa?
Kweli huo Ubilionea wa kununua mpaka MaPOLISI laana itawakumba tu wana apollo
 
Watu waliomuua mfanyabiashara wa madini Erasto wamekamatwa. Watu hao ni mfanyabiashara mwenzake ambaye anaitwa Sharifu na watu wengine watatu. Inasemekana huyu sharifu ndiye aliyeratibu mauaji hayo kwa kusajili laini mbili za simu ambazo zilitumika kumuweka marehemu kwenye mtego wa kumuua. Alimrubuni mmasai mmoja ambaye ndie aliyesajili laini hizo kwa kitambulisho chake. Baada ya wana usalama kufuatlia mawasiliano ndipo yule masai alipokamatwa na baada ya mahojiano alijieleza kuwa sharifu alimwomba amsajilie lain kwa kitambulisho chake kwani yeye hakuwa na kitambulisho. Sharifu alinunua pikipiki mbili ambazo zilitumika kutekeleza mauaji. Sababu kubwa ya mauji haya ni ugomvi wa kugombania wachimbaji wadogo ambao mara nyingi huzama kwenye mgodi wa Tanzanite one na kuiba madini na hatimae kumuuzia Erasto na Sharif. Source- mtaani Mererani.
 
mijihela yote hiyo hao waliotumwa wangeenda kuumtaarifu mhusika marehemu sasa
na angwaongeza dau kubwa zaidi na wangehusisha polisi mchezo ungeisha
hela wangekula na nyongeza juu na aliewatuma angekamatwa na polisi
sasa wameua,hela hawatazifaidi na jela wataishia

majambazi na wauaji waakti mwingine hawatumii akili za ziada

sio kwa Tanzania hii, utawashirikisha polis..... polis nao watamshirikisha aliewatuma.

tayari maisha yenu yanakua hatarini.....

usithubutu kuwaamini polis chini Ya Kamanda Mwema.!!!
 
what?! My God,i know that Shariff guy,ni mtu wa dini sana,ama kweli usimjaji mtu kwa kumwangalia kwa macho.
 
Hii kesi inazuga zuga nyingi mwishoe itaishia kama sinema ya kihindi tu.
 
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci
 
Yap! Hakika mambo ndiyo hivyo na nilikuwa najaribu kuratibu haya kwa umakini mkubwa ila hakika habari ndiyo hiyo.

Mambo ni mazito sana ila kama haki ikitendeka hawa wauaji hawatatoka kamwe.

Ukatili wa hali ya juu sana huu.
 
Nalipongeza jeshi la police kwa hatua nzuri waliofikia,,ila nawashauri wana usalama wamtumie huyu kijana aliyeweza kumlenga na risasi 21 zikafanikiwa kumpata bilionea,,,,atakuwa ni asset nzuri sana kwa inchi yetu,,maana anaonekana mkono wake hauna vibratiion(hana pepopunda ya mkono) atumiwe kule darfu ,congo,au akae hapa dar kwenye trafic light kwaajili yamajambazi wanaotumia bodaboda
hapo kwenye red me hoi kwa kicheko
 
Huyo lazima atakuwa Chusa, manake yeye ndiye aliyemwua yule kijana wa Erasto aliyekuwa anamwibia madini pale tanzaniteone. Baadaye Chusa na Erasto wakawa na bifu sana mpaka Chusa akawekwa ndani kwa ajili ya mauaji ya yule kijana.
Inasemekana pikipiki zilizoenda kwenye mauaji ya Erasto zilinunuliwa mpya kwa kazi maalum, simu mpya mbili kwa kazi maalum.
Tusubiri mengi........................

hawa watu wana bifu siku nyingi sanaaaaaa, watakamwatwa sijui wanasai sijui nani lakini wapiii!
 
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci

na vijana wa chusa wanasema wazi kabisa kwamba boss haumwi lakini katoa kitu kidogo ili asikae magereza,hao vijana wa chusa wanaropoka sana huku mjini, na kabla ya tukio mmoja wao aliropoka pia, tubakie na haya majina ya JF tu mana chusa ni jirani yangu kwenye bangaloo lake fulani hapa mjini, ni kama bro kwangu, hao vijana tunakunywa nao "chai" mjini! erasto alitoka mjini akijua kabisa anaenda kufanya biashara na watu fulani anaofanyaga nao biashara siku zote na sehemu ile,(pale ni mahali wanapofanyiaga biashara zao) nani kichaa atoke na pesa zote akafanye biashara porini kwa watu asiowajua?
 
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci

Hacheni kumchonganisha Chusa,huo ni wivu husiokua na mbele wala nyuma
 
Sikutegemea Ustaadh anaweza kuwa muuaji? Duh watu wanajificha sana kwenye dini.
 
mwenye wivu ni wewe chusa,sharifu na hussein gonga mlioamua kumua erasto kwa wivu.
 
Back
Top Bottom