Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Habari ya fitina haihusiani na hili jambo jamani. Wala huyo masai sio alotoa ushahidi wa kumfunga ustadh. Ushahidi tu wa cm unajitosheleza. Na kama pikipiki, sim card vilivyotumika vyote vina jina lake huo pia ushahidi wa masai? Tu sitetee ujinga. Leo wamefanya kwa huyu kesho itakua kwa nani? Hivi wakiua watu wa 5 kama hawa hata ar siitayumba jamani? Matajiri ulaya ni lulu ya nchi coz wanachagia pato la nchi bongo tunawaua
Hivi bilionea nae alikuwa anachangia pato la nchi?!
mtu hata kwenye walipa kodi wadogo hayumo alafu mnamuita bilionea?!
tuache masikhara jamani si bora hata wale Wajamaica walioandamana kumtetea DUDUS asikamatwe!