Aliyemuua bilionare Erasto

Aliyemuua bilionare Erasto

Nani??/???

Huyo lazima atakuwa Chusa, manake yeye ndiye aliyemwua yule kijana wa Erasto aliyekuwa anamwibia madini pale tanzaniteone. Baadaye Chusa na Erasto wakawa na bifu sana mpaka Chusa akawekwa ndani kwa ajili ya mauaji ya yule kijana.
Inasemekana pikipiki zilizoenda kwenye mauaji ya Erasto zilinunuliwa mpya kwa kazi maalum, simu mpya mbili kwa kazi maalum.
Tusubiri mengi........................
 
Arusha kuna mambo

Hivi inatawaliwa na rais huyu huyu? Utadhani movie za kimfia

Huyo lazima atakuwa Chusa, manake yeye ndiye aliyemwua yule kijana wa Erasto aliyekuwa anamwibia madini pale tanzaniteone. Baadaye Chusa na Erasto wakawa na bifu sana mpaka Chusa akawekwa ndani kwa ajili ya mauaji ya yule kijana.
Inasemekana pikipiki zilizoenda kwenye mauaji ya Erasto zilinunuliwa mpya kwa kazi maalum, simu mpya mbili kwa kazi maalum.
Tusubiri mengi........................
 
Hii shida yote imetokana na watu kugombania mawe ya afgem
 
kwahiyo hapa huyo suspect ni chusa au shariff?????duh movie inaenda kuwa tamu huyu sharrif namfahamu kiaina naona naye kaibukia haswaaa kwenye haya mambo ya mawe,sasa sbb hasa ya kumuua erassto ni nn?
 
Hainunui hata nyumba moja kariakoo

Ni mabilionea kweli? Hela ndogo sana kama ni kweli.

Wahalifu wetu huwa hawana hata muda huo wa kuangalia thamani ya kazi (japo binadamu hathamanishwi kwa hela).....Kipatikanacho kama chatosha kutumia ikisubiriwa kazi nyingine; kazi inafanyika tuu
 
Kumbe mtu anaweza tumia 150m kutoa uhai wa mwenzie???????????Lisemwalo lipo lakini!!
 
mijihela yote hiyo hao waliotumwa wangeenda kuumtaarifu mhusika marehemu sasa
na angwaongeza dau kubwa zaidi na wangehusisha polisi mchezo ungeisha
hela wangekula na nyongeza juu na aliewatuma angekamatwa na polisi
sasa wameua,hela hawatazifaidi na jela wataishia

majambazi na wauaji waakti mwingine hawatumii akili za ziada
 
LENGIO nakwambia ya kwamba hii move itakuwa nzuri sana kama haki ikifuatwa

Tuwe wapole kwani hakika hatutaamini haya yote yatakayofuata...........!


Shariff ni mtu wa Hussein Gonga sana na ni Mrangi mwenzie. Hussein Gonga na Jastin Nyari jumamosi walikuwa kituo kikuu cha polisi Arusha wakimsaidia jamaa anaeitwa Kaburu aliyekamatwa kwa kuusika na kupanga njama za kumuua Erasto.
 
Last edited by a moderator:
Mh!!!!! aka kajina kana asili ya ukanda wa gaza, misri, afghanistan, iraq kila cku damu zinamwagwa hivyo sishangai
 
Back
Top Bottom