Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci[/QUOTE
Manumba amekuwa akitajwa sana kama ilivyokuwa Mahita kusaidia watu wahalifu wenye pesa nyingi,ni wakati sasa huyu mkubwa kuchunguzwa maana sii ishara nzuri DCI Kuhusishwa na mitandao ya kihalifu. Kuendelea kunyamaza ni kuipa nafasi mitandao hiyo kujijenga mpaka itafikia mahali haiwezi kugusika tena kama ilivyo kule Amerika ya kusini.