Aliyemuua bilionare Erasto

Aliyemuua bilionare Erasto

Heshima kwako mkuu,
Hizi hbr kuwa banjoo anahusika kwenye hii ishu zimekaaje mkuu?? tumezipata hizi hbr kama uvumi vile

Mambo poua Mkuu! Haya mambo ya Banjoo Mi nafikiri ana uhalali wa kuswekwa jela kwani huyu chali ni danger sana ndani ya jiji anatisha sana na lazima anajua mambo yote yaliyoendelea kwa Marehemu Erasto.
Unakumbuka vizuri huyu Banjoo alishahukumiwa akiwa na Jastini Nyari miaka 30 lakini alifanya makeke makeke ya shilingi na haki ikapindishwa na leo yuko huru tena akijigamba kabisa!
Hili la Erasto kama haki isipopindishwa nawaambia inaweza ikafanya hili jiji likawa shwari kabisa.

Copy kwa;
Arushaone
sweetlady
Mzee wa Rula
PakaJimmy
Loner
Mchaka Mchaka
Ndallo

Nafikiri hakuna asiyemjua huyu balaa Banjoo.
 
Last edited by a moderator:
The more you get, the more you hunt for..! Money has never made a man happy..! Kifarutz 2015..!

True, money has never made a man happy! Thats why even the said Tanzanian millionare is vieying for presidential post
 
Killing a human fellow for just 150m?

Sometimes I don't understand human beings...what do we think? Hapo Arusha, hao mabilionea wanaleta shaka kama empire zao zinajengwa kwa biashara haramu, kudhulumiana na hatimaye kuuana.
 
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci
Ina maana mtu anaua halafu anatolewa nje kwa dhamana kwa nguvu ya dola?
 
na vijana wa chusa wanasema wazi kabisa kwamba boss haumwi lakini katoa kitu kidogo ili asikae magereza,hao vijana wa chusa wanaropoka sana huku mjini, na kabla ya tukio mmoja wao aliropoka pia, tubakie na haya majina ya JF tu mana chusa ni jirani yangu kwenye bangaloo lake fulani hapa mjini, ni kama bro kwangu, hao vijana tunakunywa nao "chai" mjini! erasto alitoka mjini akijua kabisa anaenda kufanya biashara na watu fulani anaofanyaga nao biashara siku zote na sehemu ile,(pale ni mahali wanapofanyiaga biashara zao) nani kichaa atoke na pesa zote akafanye biashara porini kwa watu asiowajua?

Erasto was also a criminal? Because such a modus operandi is very unusual...buying goods in the middle of the bush!!!!
 
Chusa,kaburu na ustadhi sharif na milerani ni wakukalia electric chair tu! Nyongeni hao watu mijitu ina hela kibao lkn bado ni mimbuluraz kama kwenye biz uliyopo kuna compe acha tumia mibilio kuinvest kwenye real estate maana hakuna hasara jenga apartments,jenga majengo ya ofisi town,jenga hotels etc
 
Acheni kupotosha aliye muua erasto sio mtu wake wa karibu. Swaibu na erasto wapi na wapi? Sharifu mtoto wa juzi kinuka mkojo tu ana ingiliana je na erasto? Ujambazi wa kijinga na wivu wa biashara wa kipumbavu na kumhisia mtu vitu vya kijinga jinga tu. Sharifu watoto wa dogo sana kwenye ligi ya mawe jamani
 
Sehem erasto aliyouliwa ni pembeni kabisa ya bara bara mtu yeyote angeweza kusimama wala sio porini.
 
Habari ya fitina haihusiani na hili jambo jamani. Wala huyo masai sio alotoa ushahidi wa kumfunga ustadh. Ushahidi tu wa cm unajitosheleza. Na kama pikipiki, sim card vilivyotumika vyote vina jina lake huo pia ushahidi wa masai? Tu sitetee ujinga. Leo wamefanya kwa huyu kesho itakua kwa nani? Hivi wakiua watu wa 5 kama hawa hata ar siitayumba jamani? Matajiri ulaya ni lulu ya nchi coz wanachagia pato la nchi bongo tunawaua
 
Mambo poua Mkuu! Haya mambo ya Banjoo Mi nafikiri ana uhalali wa kuswekwa jela kwani huyu chali ni danger sana ndani ya jiji anatisha sana na lazima anajua mambo yote yaliyoendelea kwa Marehemu Erasto.
Unakumbuka vizuri huyu Banjoo alishahukumiwa akiwa na Jastini Nyari miaka 30 lakini alifanya makeke makeke ya shilingi na haki ikapindishwa na leo yuko huru tena akijigamba kabisa!
Hili la Erasto kama haki isipopindishwa nawaambia inaweza ikafanya hili jiji likawa shwari kabisa.

Copy kwa;
Arushaone
sweetlady
Mzee wa Rula
PakaJimmy
Loner
Mchaka Mchaka
Ndallo

Nafikiri hakuna asiyemjua huyu balaa Banjoo.

Mkuu liverpool
Ni kweli banjoo ni mtu hatari saana kwa kuandaa na kutekeleza mauaji mengi ya mji wa arusha. Sijui ni kwanini wanamwachia mtu kama huyu aendelee kuishi wakati ni muuaji aliebobea. Kwenye hili la erasto nasikia nae alihusika. Ila nakwambia siku zake zina hesabika, haiwezekani wewe ukajifanya kidume siku zoote na watu wengine ukawaona mafala.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako mkuu,
Hizi hbr kuwa banjoo anahusika kwenye hii ishu zimekaaje mkuu?? tumezipata hizi hbr kama uvumi vile

ni kazi ya "mjeshi" mkuu. Hana hata mda mrefu toka ametoka jela.
 
Mkubwa nakwambia ya kwamba huyu asipostopishwa nakwakikishia ya kwamba majanga hapa A town hayataisha kamwe! Maana sasa tunasadiki ya kwamba yeye na Jumanne Mjusi ni kampan moja na ujue huyu Jumanne ni sumu nyingine na hata tetesi zinazotanda mitaani ni kwamba hata kule gerezani Kisongo baadhi ya mahabusu si ajabu walikuwa wanajua tu ya kwamba haya ya kikatili namna hii yatatokea tu!

Mkuu liverpool
Ni kweli banjoo ni mtu hatari saana kwa kuandaa na kutekeleza mauaji mengi ya mji wa arusha. Sijui ni kwanini wanamwachia mtu kama huyu aendelee kuishi wakati ni muuaji aliebobea. Kwenye hili la erasto nasikia nae alihusika. Ila nakwambia siku zake zina hesabika, haiwezekani wewe ukajifanya kidume siku zoote na watu wengine ukawaona mafala.
 
Ina maana mtu anaua halafu anatolewa nje kwa dhamana kwa nguvu ya dola?

Dola ndiyo inapindisha haki hapa Nchini. Mtu anakamatwa ndani ya tukio lakini kesho kutwa yupo huru. Sasa hili si hatari sana!
 
Acheni kupotosha aliye muua erasto sio mtu wake wa karibu. Swaibu na erasto wapi na wapi? Sharifu mtoto wa juzi kinuka mkojo tu ana ingiliana je na erasto? Ujambazi wa kijinga na wivu wa biashara wa kipumbavu na kumhisia mtu vitu vya kijinga jinga tu. Sharifu watoto wa dogo sana kwenye ligi ya mawe jamani

Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).

image.jpg image.jpg
 
Hatimaye aliyemmiminia risasi 21 Erasto akamatwa ni mtu wake wa karibu sana na alishawahi fungwa miaka sita kwa ujambazi.

Vipi kuhusu Tanzanite One hawawezi kuwa wamefanya 'umafia' ili waue ndege wawili kwa jiwe moja?

NAWAZA KWA SAUTI
 
Huyo lazima atakuwa Chusa, manake yeye ndiye aliyemwua yule kijana wa Erasto aliyekuwa anamwibia madini pale tanzaniteone. Baadaye Chusa na Erasto wakawa na bifu sana mpaka Chusa akawekwa ndani kwa ajili ya mauaji ya yule kijana.
Inasemekana pikipiki zilizoenda kwenye mauaji ya Erasto zilinunuliwa mpya kwa kazi maalum, simu mpya mbili kwa kazi maalum.
Tusubiri mengi........................

....mabilionea wezi !:embarrassed1:
 
SASA KUMBE ERASTO MWENYEWE JAMBAZI!!

JAMBAZI YAKE RISASI TENA ZILE 14mm!!
 
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci[/QUOTE
Manumba amekuwa akitajwa sana kama ilivyokuwa Mahita kusaidia watu wahalifu wenye pesa nyingi,ni wakati sasa huyu mkubwa kuchunguzwa maana sii ishara nzuri DCI Kuhusishwa na mitandao ya kihalifu. Kuendelea kunyamaza ni kuipa nafasi mitandao hiyo kujijenga mpaka itafikia mahali haiwezi kugusika tena kama ilivyo kule Amerika ya kusini.
 
Back
Top Bottom