Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Kwahiyo ni kweli uliwahi kubakwa na babako kama jinsi ambavyo umewahi kupandisha nyuzi humu?

Hao wazazi ambao unasema wanamuelewa mpenzi wako na kusupport ni pamoja na huyo b

Kuna wanaume wanabahati mbaya aisee,

Unaoa mke ana vipengele lukuki[emoji116]
1. Mbele pametinduliwa na pamechakaa mno
Kielelezo: ule Uzi wake wa kupigwa miti na Wanaume wawili, achilia mbali mahusiano kibao kabla.

2. Bikra ya nyuma Hana,
Kielelezo: Uzi wake wa GAY PORN

3. Keshatinduliwa mno na baba mkwe wako,
Kielelezo: Uzi wake wa kushiriki kimapenz na babe ake mzazi.

4. Keshatoa mimba,
Kielelezo: Uzi wake wa kukiri kutoa mimba na kuua kichanga.

5. Hapendi watoto,
Kielelezo: Uzi wake wa kuwafinya watoto wadogo.

6. Alieshapitia maisha ya kujiuza,
Kielelezo: Uzi wake khs jinsi ya kuchagua wanaume wenye Ela.

7. Anayeamini uzuri wake ndio tiketi ya maisha Bora,
Kielelezo: Uzi wake wa kutokuona umuhimu wa shule kwasababu Ni mrembo.

Matatizo ya mtoa mada Ni mengi ni mengi na Ni mengi mno.

KIUFUPI,
HAMNA MKE HAPA, mwenzetu keshapigwa na kitu kizito chenye ncha Kali sana kichwani[emoji26]
Mwanaume ameumbwa mateso mateso....hahaa ndiyo uwanaume huo itakuwa🏃🏃
 
Dah! ningekua Mungu mtu kama mtoa mada namziba kabisa sehemu zake za siri ili kumuokoa huyo jamaa anaetaka kumuoa.
Maana hii ni moja ya loss kubwa sana kakutana nayo bila kujua.
Mkuu Mungu haonekani tuu...Ila wee ungekuwa Mungu dunia ingebaki na watu wachache maana siyo kwa hasira hizo🤣🤣
 
Mkuu Mungu haonekani tuu...Ila wee ungekuwa Mungu dunia ingebaki na watu wachache maana siyo kwa hasira hizo[emoji1787][emoji1787]
Eti bila aibu linakuja kuneng'eneka hapa jukwaani na linaanzisha na uzi wa kujimwambafai[emoji34]

Korea kaskazini inamfaa sana huyu.
 
HUO NI MWANZO OMBA MUNGU NDOA YAKO ISIJE KUWA NA MATESO; WANADAMU TUMEUMBWA NA KASORO YA KUTAZAMA MWANGA NA SIO KIZA...

KUNA UWEZEKANO KUONDOKA KWAKO KUKAMKINGA NA SHARI ZITOKANAZO KWAKO. KUNA MIAKA 7 YA NEEMA, MIAKA 7 YA UHARIBIFU, MUOMBE ASIKULETEE UHARIBIFU
 
Mpaka leo unakumbuka maneno yake??

Hicho kiporo kinapashwa anytime jamaa akiamua, yaani hadi unamfatilia kabadilisha mwanamke gani ilhali wewe unae wako tayari.

Ukweli ni kua bado unampenda, akikutikisa kidogo tu anakuchabanga kama kawa.
Ukweli mwingine ni kua haujampata kama yeye.
 
Ungetupa na sababu ya kuachana na kutengana kwenu ingekuwa rahisi sana kujua unaelekea wapi.

Sometimes unaweza mkosea mtu na wewe ukaplay victim (women mpo vizuri sana katika kuplay victim hata kama wewe ndie chanzo). Then uhusiano ukafa mkatengana na kuambiana kauli. Yeye akakusemea mabaya sababu ya hasira kifuani na wewe ukawa mkimya sababu unajua ndie mkosaji na uliyesababisha.

Wewe ukawahi kuingia uhusiano mpya kwa utulivu kwasababu huyo ulienae alikuwapo hata kipindi mkifarakana na yule X wako na ndio maana imekuwa rahisi sana kwako kuanza upya. Ila kwa X wako imekuwa ni taabu kuwa na mahusiano stable kwasababu wewe ndie ulikuwa mwanamke pekee aliyetazamia kuwa nae kimaisha na kufanya nae future ila kwasababu ulikuwa na plan B yako yeye alikuweka wewe ndio the only plan for life ndio maana sasa anatangatanga hana pa kushika kimahusiano sababu alikuamini wewe na kujiachia na kutokuwa na mahusiano nje yako.

Sasa what is next?!

Sometimes wanasema the higher u go up the greater shall be your fall. Sometimes huchukua muda sana kwa dawa kali kupikika.

We all create our fate by what we do to others and expect nothing to happen to us.

Kuna ambao walianza kupata majibu ya matendo yao baada ya kuoa, kuolewa kupata watoto na umri kwenda then KARMA ikaanza kuhappen. Unaweza kubreak mtu moyo na ukahisi umeshinda kwasababu mambo yako yanakuendea sawa kwa sasa but the thing is muda mwingine mambo kuwa sawa ndio mtego wenyewe ili uingie mazima na kuanza kulipia mabaya yako uliyofanya nyuma tena with ten times the pain ambayo haujua itakuja kukuta.

Before haujajali furaha na amani yako hakikisha mwingine hajakosa amani na furaha kwa kusababishiwa na wewe. Kwasababu ukifanya hivyo the universe will set u up for the same painful fate in a matter of time. Inaweza kuwa miezi kadhaa mwaka na hata miaka 20 ila i guarantee ukiona mtu anaumia juu yako then kuna siku na wewe utaumia the very similar pain hadi ubongo wako na akili vitakukumbusha kuwa kuna mtu ulishawawi mkosea kwa kusudi kabisa na uliamua kuendelea na maisha kwa kiburi cha kujiona untouchable kumbe everybody is bounded by the laws of nature

Kama ni wewe ndie uliesabisha break up kwasababu yoyote then its just a matter of time but if its not u then elaborate your story maana u sound shady and something fishy is definitely going on.
 
Yy kuwa anabadili mahusiano maana yake ww alikuchagua kwa Vigezo vikali sana ,ww kukutana na kenge ya kwanza kuolewa utakuwa na ndoa mbaya kuzidi ya magu na janeth
 
Jamaa ataoa na maisha yake yatakuwa mswano kuliko yako coz wewe ndo ulisababisha aongee maneno ya uchungu yaliyojeruhi nafasi yake mpaka kesho

Wanawake always huwa wana play victim,, Yaani anazingua yeye,,mwamba ukichukua hatua za kiume anaanza tena kujiliza liza as if wewe ndio uliyezingua... Hili nafikiri wanawake wengi wanalo.. Wachache sana huja kukubali kuwa walizingua, na hii ni baada tu ya kuona walikoenda kumewaka...

Mleta uzi wewe ni sawa la muda na kama anavyosema DeepPond ni sahihi,,, Basi Kijana mwenzetu Mungu yuko upande wake..

Endelea na maisha yako,,, acha kufuatilia Ex wako,,, eti anaachana sana...unajuaje labda kaamua kuwa anakula tu na nakucha....

Demu ngoma imesoma mileage ya Fyatt yafaa nini tena..
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.

Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Mbona kama wewe ndo unateseka halafu jamaa wala hana habari na wewe.
 
Wanawake always huwa wana play victim,, Yaani anazingua yeye,,mwamba ukichukua hatua za kiume anaanza tena kujiliza liza as if wewe ndio uliyezingua... Hili nafikiri wanawake wengi wanalo.. Wachache sana huja kukubali kuwa walizingua, na hii ni baada tu ya kuona walikoenda kumewaka...

Mleta uzi wewe ni sawa la muda na kama anavyosema DeepPond ni sahihi,,, Basi Kijana mwenzetu Mungu yuko upande wake..

Endelea na maisha yako,,, acha kufuatilia Ex wako,,, eti anaachana sana...unajuaje labda kaamua kuwa anakula tu na nakucha....

Demu ngoma imesoma mileage ya Fyatt yafaa nini tena..
Uko kumfatilia fatilia maana ake bado anampenda,

uskute jamaa alishagundua kwamba kapigwa mzigo milleage iko juu Sana ndo maana kaamua kupiga chini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom