Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Huu ujumbe wako tu unaonesha wewe ni kimeo.
 
Mkuu maelezo yako yanaonesha yeye anaendelea na maisha yake ila wewe hujamove on.

Una kazi ya kumfuatilia na sasa unataka kumuonesha kuwa kuna mtu sahihi zaidi yake.

Waliomove on hawanaga muda wa kufahamu aliyeachana nae anafanya nini na nani, wakiingia kwenye mahusiano wanaingia kwa ajili yao sio kuwaonesha maex kuwa Wana wapenzi wapya.

Kuanzisha Uzi tu ni dalili kuu unamuwaza ex wako muda mwingi kuliko kuwaza ndoa yako itakuwaje

Kabisaaaa
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Mliachana lakini unajua kwamba mahusiano yake hayadumu na hatulii na wanawake .
Bado unataka kumpa kadi ya mualiko? Bado haujaona mwenye tatizo hapo ni nani? 😳
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Ni kweli bado haujapata mwanaume kama yeye kama utaendelea kufuatilia mahusiano yake na kumchunguza kila kukicha hadi kutaka kutafuta validation kwa kumpa kadi ya mwaliko .
 
Achana na mashindano na X wako, achana na visasi na vinyongo vya zamani, isije kuwa bado una mapenzi na X wako lakini nafsi inakusuta. Kumpa kadi ya harusi X wako unataka kuonesha nini? Kama umempa mtu wako na umeridhika naye, basi we' endelea na maisha yako, kwanini kila siku uwaze kuhusu X wako hadi uje hapa uweke na bandiko kabisa kuhusu yeye? Achana naye, just move on
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Unapoteza sana muda kurudi nyuma, baada ya kuachana haupaswi kujua alipo au anatoka na nani. Mnaonekana mnapendana bado
 
😂

FBBE264E-9E71-4035-99C3-58B7CC009A53.jpeg
 
Na kuna yule mpuuzi mmoja alisema sitakuja pata mwanamke kama yeye saivi namuangalia tu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom