Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Unapokua muongo sana hakikisha una kumbukumbu[emoji4]
Screenshot_20220313-233009.jpg
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Usimwamini mno hata huyo uliyenae, wanaume akili zetu tunazujua wenyewe,
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Bado una safari ndefu usijisifu totoo.
Jipe muda mapenzi ni safari ngumu.
Unaweza kuvaa hata shela lkn ukashindwa kuingia ukumbini.
Nakuombea heri
 
Ww ndio unaumia katika kuachana kwenu ndio maana unamuanzishia threads.
Pia wanawake bwana mwenzio anakula atakavyo ww unasema hadumu ktk rship adumu kwan kazaliwa nao wameshikana [emoji1][emoji1][emoji1] kuna kipindi kwetu wanaume hicho unachokiona kama adhabu kwetu sisi ni furaha to the maximum
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Unatafuta kupasha kiporo ww sio siri
 
Utaumia sana na bado mhimu mtafute jamaa mpigie magoti myajenge maana inaonyesha kuwa hata hapo ulipo umejipendekeza tu ili kufuta kauli ya jamaa kuwa hutopata mwanaume kama yeye,na ndio maana unamfuatilia kujua leo kamla nani kesho atamla nani?
 
Nikisha amua ku move on, ni nime move on, sigeukagi...
Sitaki kujua lolote kuhusu yeye, Yeye akitaka kujua yang ni juu yake sasa...

Kwa maelezo yako ni kwamba bado unampenda na unafatilia relationships zake(for what?), si usonge tu..
Unampa kadi ya mwaliko ili?
Mpotezee mazima na maisha yaendelee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom