Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Kinachofanya hadi ujue anaacha kila siku ni nini?si utulie na huyo mwenye standards!!!!wanawake bhnaa!Nilie nae sio yeye na hawezi kua yeye maana ana standards mara laki kushinda yeye

Move on girlNakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.
Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.
Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.
Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Onyesha heshima kwa uliyempata Sasa Ex anakuja kufanya nini kwenye sherehe yako?Simfatilii. Nampelekea kadi tu alafu yeye ndo ataamua kuja au asije
Nakuona unapiga mwingi mnooo cc.Hongera kwa kuolewa.
Mambo yake muachie mwenyewe
🤣🤣🤣🤣🤣Niacheeeee
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.
Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.
Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.
Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Bado sana hujafika wakati wa kujimwambafy miezi 7 na unafunga ndoa unaolewa na nyigu unaacha nyuki Utabiri bado hujamature usijisifu ni mapema sana. Jitabirie mema utatoboa best wishesNakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.
Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.
Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.
Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
Unampenda ndiomana unawaza kushindana na kulingishia ila jipange utababuka na kupauka hatari ujipange kwa yajayoSitompelekea mimi nitampa mtu ampelekee
Huyu hata ukiolewa atakubutua maisha yako yote na mimba yake utabeba.Simfatilii. Nampelekea kadi tu alafu yeye ndo ataamua kuja au asije
Acha ligi endelea na maisha yakoNakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.
Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.
Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.
Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Huyo jamaa inaelekea bado unampenda sana, yaani mumeachana na bado ukaendelea kumfuatilia anahusianaje? Mpaka unafahamu alikuwa na mahusiano na Amina, wakaachana, Anna wameachana, Sophy wameachana..Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.
Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.
Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.
Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Kwamba jamaa ni mrefu,handsome afu pesa iko au vipi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilie nae sio yeye na hawezi kua yeye maana ana standards mara laki kushinda yeye
Unammiss eehNakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.