Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Uyo bwana anaetegemea kukuoa,
Kama anamtoto nje, Bora ajiandae Sana kisaikolojia.

Mwanamke katili kama wewe
Uchelewi kuwapa watoto sumu wewe[emoji26]
Screenshot_20220313-230911.jpg
Screenshot_20220313-231914.jpg
 
Hili pambano ni Abdallah pazi aka dulla mbabe mzee wa udenda vs Michael Iron Tyson kipindi yu kijana alafu wew ndo dullah mbabe unahisi kwamba na mdomo nao huwa unapigana
 
Hili pambano ni Abdallah pazi aka dulla mbabe mzee wa udenda vs Michael Iron Tyson kipindi yu kijana alafu wew ndo dullah mbabe unahisi kwamba na mdomo nao huwa unapigana
Hahaha
 
Ex mpaka Sasa ana ongoza 3-0 dhidi ya husband material [emoji1787].

Ex bado unakumbukwa huku,anataka kukuletea na kadi,Leo mwezi wa tatu ndoa mwezi wa Saba[emoji28][emoji2772][emoji2772]
 
Mkuu maelezo yako yanaonesha yeye anaendelea na maisha yake ila wewe hujamove on.

Una kazi ya kumfuatilia na sasa unataka kumuonesha kuwa kuna mtu sahihi zaidi yake.

Waliomove on hawanaga muda wa kufahamu aliyeachana nae anafanya nini na nani, wakiingia kwenye mahusiano wanaingia kwa ajili yao sio kuwaonesha maex kuwa Wana wapenzi wapya.

Kuanzisha Uzi tu ni dalili kuu unamuwaza ex wako muda mwingi kuliko kuwaza ndoa yako itakuwaje
Ningekua sijamove on Ningekua bado nko nae hadi leo. Alaf kuna vitu ata kama hutaki kujua utajua tu km nnavojua mahusiano ya x wangu 😏
 
Ww ndio unaumia katika kuachana kwenu ndio maana unamuanzishia threads.
Pia wanawake bwana mwenzio anakula atakavyo ww unasema hadumu ktk rship adumu kwan kazaliwa nao wameshikana [emoji1][emoji1][emoji1] kuna kipindi kwetu wanaume hicho unachokiona kama adhabu kwetu sisi ni furaha to the maximum
Kweli ni furaha kwake ndo mana anazidi kukonda 😂
 
Mpaka umeweza kujua kwamba anabadilisha wanawake na wewe ndio ulidumu naye kwa muda mrefu inaonyesha kabisa unamfuatilia.
Hyo mtu mnasema namfatilia nilishamfuta sehem zote yeye mpk leo bado ananifatilia mfano nkiweka status within a second ameshaview
 
Kuna wanaume wanabahati mbaya aisee,

Unaoa mke ana vipengele lukuki[emoji116]
1. Mbele pametinduliwa na pamechakaa mno
Kielelezo: ule Uzi wake wa kupigwa miti na Wanaume wawili, achilia mbali mahusiano kibao kabla.

2. Bikra ya nyuma Hana,
Kielelezo: Uzi wake wa GAY PORN

3. Keshatinduliwa mno na baba mkwe wako,
Kielelezo: Uzi wake wa kushiriki kimapenz na babe ake mzazi.

4. Keshatoa mimba,
Kielelezo: Uzi wake wa kukiri kutoa mimba na kuua kichanga.

5. Hapendi watoto,
Kielelezo: Uzi wake wa kuwafinya watoto wadogo.

6. Alieshapitia maisha ya kujiuza,
Kielelezo: Uzi wake khs jinsi ya kuchagua wanaume wenye Ela.

7. Anayeamini uzuri wake ndio tiketi ya maisha Bora,
Kielelezo: Uzi wake wa kutokuona umuhimu wa shule kwasababu Ni mrembo.

Matatizo ya mtoa mada Ni mengi ni mengi na Ni mengi mno.

KIUFUPI,
HAMNA MKE HAPA, mwenzetu keshapigwa na kitu kizito chenye ncha Kali sana kichwani[emoji26]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom