Hamisi Kigwangalla: Madaktari wameamua kuwa nafaka ya Ngano....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Hamisi Kigwangalla
Madaktari wameamua kuwa nafaka ya Ngano, wafe ili wazae nafaka nyingi zaidi! Serikali imeweka pamba masikioni, miwani ya mbao machoni...nani anaumia hapa sasa? Hebu nendeni mezani jamani, myazungumze, myamalize...kuna mpiga kura wangu anahitaji surgery pale MOI...hana kosa lolote huyu ndg yangu! Baba Pinda, Mtoto wa Mkulima, tumia busara zako vizuri waite hawa watu wako Mzee!
COMMENTS ZAKE

Like • • Unfollow Post • Share • 51 minutes ago
•
• 23 people like this.
• 1 share
•
o

Rogers Machimu siyo awaite awafuate si walimfuata akajifanya jeuri
49 minutes ago • Like • 5
o

Juma Magayane Khalfani hii ni hatari
47 minutes ago • Like
o

Eliningaya Kweka
hakuna aliye na uwezo busara hizo kwa sasa, tungoje maafa tu kwa wakulima.
47 minutes ago • Like
o

Edward Malando
Awafuate hata kama hawakumuita. Uongozi sio kiburi jamani.
46 minutes ago • Like
o

Hamidu Said
Madaktari inabidi wajue wanaoumia hawana hatia ndio wanamadai ya mcng lakini hii co njia muafaka ya kudai haki wanawaumiza na wengne wanakufa wanyonge wenze2 watafute njia nyingne ya kuishindikiza serikali na co hii
45 minutes ago • Like • 1
o

Felista Steven
Ligwa jamani,thamani ya utu kwao haipo,lakini,wasisahau kwamba hapa duniani tunapita tu
45 minutes ago • Like
o

Julius Kalanga
toa posho yako we unayejilipa kukaa ikawalipe madaktari.we mh unatafuta umaarufu usistahili.leo uko mstari wa mbele kuhamasisha mgomo lakin .kule bungeni wakati wa kupitisha posho zenu ulikaa kimya na kukuabaliana na udhalimu mnaowafanyia watz na cha ajabu unakuja ktk media kipinga posho ambayo ulipitisha bumgeni
45 minutes ago • Like • 1
o


Baraka Mwago
Serikali na maafisa wao waandamizi hawaoni madhara ya mgomo huo kwa kuwa wakiiumwa hata kichwa tu wanakwenda India, kidole kikiuma anaita private dr nyumbani kwake, wengine wana Health Insurance za AAR, Strategies na zingine nyingi
44 minutes ago • Like • 1
o


Florah Amon Nkondola Sport
Nkya ndo anajifanya kiburi sana kaona unaibu wazir ndo kamaliza kila k2,c aliitwa don bosco,yeye kaenda kukodi ukumbi wake,sasa hawaumii wao tunaumia sisi 2lio chini na vpm vng hspl zngn hakuna mpaka mhimbil km vile TC Hind mandal hakuna mpaka mhimbili hapo Serikali watumie busara vngnvy hal itakuwa mbaya
44 minutes ago • Like
o

Andrerw Zefania
niviongozi wachache wanaoweza kuiona busara hii,viongozi waserikali wameamua kumwaga ugali sasa madaktari wanamwaga mboga na wanao umia niwapiga kura wao,ila hii ndio safi maana watanzania wana endelea kujifunza kwa utendaji wa ccm
44 minutes ago • Like
o

Kheri L. William
Sikatai mtu kudai haki yake but wewe kama kiongozi sikutegemea kufuraia vifo vya watanzania wenzako kwa kukosa uduma ya matibabu.imeonyesha unavyodhamin pesa kuliko uhai wa wenzeka.waliokupa dhamana du nawasikitikia.weka uzalendo mbele.nini pesa mbele ya uhai wa wezetu.
42 minutes ago • Like • 1
o

Mrimia Humphrey
dah ni hatari sana jana nimefiwa na mdogo wangu mwananyamala kwa mgomo wa madaktari hivi Dk kingwangala maslah yanasababisha misiba kwa maskini wasio na uwezo wa kwenda private hospital...
42 minutes ago • Like • 1
o

Kheri L. William
Sikatai mtu kudai haki yake but wewe kama kiongozi sikutegemea kufuraia vifo vya watanzania wenzako kwa kukosa uduma ya matibabu.imeonyesha unavyodhamin pesa kuliko uhai wa wenzeka.waliokupa dhamana du nawasikitikia.weka uzalendo mbele.nini pesa mbele ya uhai wa wezetu.
41 minutes ago • Like
o

Ibrahim Silas
Kweli kaka
40 minutes ago • Like
o

Julius Kalanga
mhamasishaji mkuu wa mgomo huu tangu mwanzo kwa kauli yake ni kigangwala.lakn naye ni dk aliyekimbia fani akaingia ktk siasa kwa kufuata maslahi.je yy km mwanataalum amewasaidiaj ktk kudai maslahi ya doctors kupitia uwakilishi wake bungeni
39 minutes ago • Like • 1
o

Monica Muhandikila
hapa ndo nimeamini fahari wawili wagombanapo ziumiazo ni nyasi. kila kukicha PINDA ANADAI SERIKALI YETU NI SIKIVU nashindwa kuelewa kama kwa sasa imekua kiziwi.
38 minutes ago • Like
o

Geofrey Raymond
Dk Hamisi serikali ni nani na serikali ni ya nani!? ulitakiwa kufanya zaidi ya unavyofikiri chukua hatua acha kujaza jazba watu.

36 minutes ago • Like • 1
o

Richard Ntigwa
Hawana mpango hawa jamaa wa serikali wanaona halali kulipa posho za masaburi(makalio) bungen na kushindwa kuwalipa watu wanaovuja jasho la damu kuanzia kwenye masomo hadi kwenye kutoa huduma! Shame apon jk,pinda,mponda,nkya,nyoni na wale wo...See More
34 minutes ago • Like
o


Salim 'Malcom X' Mshana
Kiukweli madaktari wetu wanapata tabu sana, ila nyia wanayotumia pia ina madhara makubwa sana.
33 minutes ago • Like • 1
o

Stephen Nyagonde Nilijua tu watasema wewe ndiyo muhamasishaji mkuu pole lakini.... ndiyo changamoto za kudai haki............ Hamisi Kigwangalla
33 minutes ago • Like
o

Job Mkama Mhe. Hamisi Kigwangalla,
napenda sana ukweli na uwazi wako...viva mwana wa Kigwangalla!
32 minutes ago • Like
o

Emmanuel Joseph Ntoga
We Dr. Mbona huoneshagi mfano Mjengoni? Kila hoja ni "ngu ngu ngu"unagonga meza na hao green shart wenzako.

Unatakiwa saa ingine unapinga mihoja isiyokuwa na tija kwa wananchi ikibidi hata kwa kutoka nje.

Hawa mambo yako ya kuja kutuandikia humu kwenye fb haisaidii ujue, tumekuchagua wewe ili uwaeleze viongozi wa SIRIKALI matatizo yetu kisha watusaidiem
31 minutes ago • Like
o



Saul Mwaisenye
Ninaumizwa sana na hii khali, lakini naogopa kumlaumu Mama Nyoni au Lucy Nkya, kwani nahisi tatizo lipo nje ya uwezo wao, Mungu jalia Kigwangalla aukwae uwaziri tema wa afya tuone njia atakayo tumia, the system is worst my brother, na Romance zawewe kupata uwaziri kitaa zimezagaa sana, lets pray together,
28 minutes ago • Like
o

Calvin Kelvin Adolph
Kila m1 kajifanya yupo kimya, pesa ipo ila inatumika sivyo,. Na ndipo akili inapofikiria mbali zaidi!!
28 minutes ago • Like
o

Neema Wa Nyahari
HATA SISI WATANZANIA TUMEZIDI KUZUBAA. KAMA MADAKTARI WAMEGOMA, SERIKALI INAJITIA UKIIZIWI FAKE BASI NASIYE MASKINI WALALA HOI TUNGEKWENDA KULALA BARABARA ZOTE HAKUNA YOYOTE KWENDA POPOTE MPAKA WAGONJWA WETU WAPATE WA KUWATIBU HUKO MAHOSPI...See More
28 minutes ago • Like • 2
o

Shabir Issa Galula
Ukiacha unafiki na propaganda unaweza kuwa kiongozi kwa kiasi fulani.
26 minutes ago • Like
o

Olivia Sanare
-mwanaharakati Kigwangala acha kutufanya wananchi wajinga jamanilabda unisaidie ubunge wako ni wa nin?wewe ni mmja wapo wa serikali umekuwa ukilalamika tuu humu fb bila kuchukua hatua,nyie endeleeni kucheza na akili zetu ipo siku umma utasimama
26 minutes ago • Like
o

Neema Wa Nyahari
Kwani NYUMBA YA MIZENGO PINDA IKO MITAA IPI JAMANI? MI NATAKA NIKAMCHUKULIE KAMA WAGONJWA ISHIRINI MAHUTUTI NIMPELEKEE MLANGONI, NAMUACHIA HAPO. LABDA AKISHUHUDIA HIYO HALI AKILI YAKE ITAWAZA NA KUJUA NINI KINAENDELEA TANZANIA.
24 minutes ago • Like • 1
o

Ocemound Dyegura A
jamani cyo nia ya mgomo huu watu wafe, kumbuka unaongelea watu wanaooga damu, mikojo na vnyesi vya wagojwa kila cku na hatimaye kuweka maisha yao hatarini. Serikali imeambiwa muda mrefu japo serikali haitaki kuelewa. Ultaka wao wafanyeje uk...See More
22 minutes ago • Like • 1
o

Ramadhan Keya
Chanzo cha matatizo hapa ni ukimya ambao nadhani hauna tija. mm nadhan hata katka ngazi ya familia baba ukiwa na hali ngumu ya kiuchumi halafu usiwaambie wanafamilia, aidha unaruhusu mama akatafute njia za kujikimu nje, na watoto wataanza k...See More
21 minutes ago • Like
o

Ocemound Dyegura A
jamani cyo nia ya mgomo huu watu wafe, kumbuka unaongelea watu wanaooga damu, mikojo na vnyesi vya wagojwa kila cku na hatimaye kuweka maisha yao hatarini. Serikali imeambiwa muda mrefu japo serikali haitaki kuelewa. Ultaka wao wafanyeje uk...See More
21 minutes ago • Like
o

Hamisi Kigwangalla
Neema umenena. Ningetegemea wananchi waungane na madaktari waibane serikali na siyo wananchi wawalaumu madaktari kwa kudai haki yao. Wengi wao hapo walipo wameishaamua kuacha kazi serikalini baada ya hii crisis, sasa ulitegemea nini? mimi n...See More
19 minutes ago • Like • 4
o

Hamisi Kigwangalla
Katiba ya JMT, ibara ya 63 inasema serikali itawajibika kwa wananchi, pia bill of rights zilizomo kwenye katiba hiyo kuanzia ibara ya 14 - 17 zinaelezea haki za msingi za watanzania, na afya ikiwa ni mojawapo. sasa kama wananchi hawapati ha...See More
17 minutes ago • Like • 3
o

Emmanuel Joseph Ntoga
Hoja nzito sana imetolewa humu ndani kwaba WALALA HOI tutoke tukalale barabara zote muhimu nadhani hapo MaDr. Watasikilizwa?!NIMEIPENDA hiyo!
17 minutes ago • Like
o

Olivia Sanare-
mwanaharakati sio unapingwa unashangaza coz wewe ni serikali na wewe ni dr ulitakiwa uoneshe juhudi zako katika kutatua hili jambo si kuja kuandika hapa fb play ur part as a mp kumbuka hili liko hadi nzega huwa unaniboa kuiattack serikali wakati wewe ni mmoja wapo and u can do something mbona kina january makamba wanauthubutu?
14 minutes ago • Like • 1
o

Uwesu Msanzya
sijui hii nchi ielekeapo kwa kweli maana kila mtu amekua mwanasiasa sikutegemea kama madaktari ambao mmesomeshwa kwa kodi za hao walala hoi ambao mishahara yao hata laki mbili haifiki leo mnawasaliti kwa kukataa kuwahudumia tafadhali tangulizeni ubinaadamu kwanza
13 minutes ago • Like
o

Hamisi Kigwangalla
oliver sanare, nimeishachukua hatua za kuishauri kamati ya huduma za jamii iende kuwasikiliza madaktari! na iwahoji serikali wanasemaje?
11 minutes ago • Like • 1
o

Said Bombey
Kushika kinyesi ndio fani aliyochagua,tutatibiwa hata kwamitishamba watanzania tumekariri migomo.ma dr wote wanamaroho ya kinyama tu.huwezi ona mtu anakufa umpite kisa pesa kwani hawalipwi?au hawana viongozi.nikutaka kuonyesha kikwete hafai hakuna lolote.
9 minutes ago • Like • 1
o



Charles Matemba
Watanzania wasahaulifu sana,kumbukeni madaktari walishagoma nchi nzima na rais wakati huo mzee rhuksa akawa mgeni rasmi diamond onyesho la kanda bongoman,Pinda tunamwonea tu
8 minutes ago • Like
o

Mrimia Humphrey
ambacho mimi ckielewi kingwangwala unalalamika kama co kiongozi,unapaswa utoe solution,wewe ni sehemu ya serikali inayolalamikiwa,unaacces na viongozi wa serikali hebu washauri jamani ndugu zetu wanaumia sana
7 minutes ago • Like • 1
o

Emmanuel Joseph Ntoga
MaMp wantaka posho sh 200,000/= per day MaDr mishahara yao ni...naogopa hata kusema maana ni aibu, afu wanafanya kazi siku zote na masaa yote!
Jamani serikali isiwe kiziwi iwasikie hawa MaDr wanateseka sana!
7 minutes ago • Like • 1
o

Joseph Kundy
Chonde chonde ,pande zote mbili zikutane zikubaliane ,hapa watanzania wengi watazidi kuumia
5 minutes ago • Like
o

Hamisi Kigwangalla
‎Said Bombey, wewe unafanya kazi yako bila kulipwa? ama kwa vile kazi ya Dr ni kutibu wagonjwa ndiyo maana yeye analazimika kufia hospitali kwa njaa? acheni ubinafsi jamani, toeni kauli za kuitaka serikali iwapeni haki ya kutibu maana hao m...See More
5 minutes ago • Like
o

Uwesu Msanzya
hivi kweli mnayo hakika kuwa madaktari wanateseka? hebu fanya utafiti kwanza kati ya madaktari na walimu na wao nani anateseka? sema na wao wamekua wanasiasa thuswhy hawana uzalendo wala ubinaadamu miyoni mwao
3 minutes ago • Like



Hamisi Kigwangalla
hebu jiulize katika miaka mitano iliyopita wamezalishwa madaktari zaidi ya 2000, walioajiriwa serikalini kuhudumia watanzania hawafiki 100, unadhani ni kwa nini? Na walioacha kazi ni zaidi ya 100, walioenda nje ya nchi na ambao mimi ninawafahamu ni zaidi ya 20, na walioacha kazi na kufanya biashara kariakoo ni watatu, walioingia kwenye mashirika ya miradi ni zaidi ya 1000! Bado tu kaka haulioni tatizo hapo?????
3 minutes ago • Like • 1




Said Bombey
Muheshimiwa wakitoka hao ma dr watakuja police tena na wanajesheshi ndio tunapoelekea hizo posho zenu ndio zinaleta mambo.
about a minute ago

• Hamisi Kigwangalla
‎Said Bombey, speaking of posho: Daktari anafanya kazi masaa 36 akiwa zamu na analipwa TZS 10,000 na Mbunge akiwa kazini kwenye shughuli ya Bunge anafanya kazi masaa 8 tu kwa siku, analipwa TZS 200,000! Wakati huo huo Mkurugenzi na Engineer wa Halmashauri wakikaa kwenye Road Board wanalipwa zaidi ya 300,000 kwa siku! Sitaki kuongelea hapa wataalamu wengine wote ambao wanashirikia kwenye masemina na mawarsha elekezi kwa masaa machache wanalipwa sh ngapi!
a few seconds ago • Like

•
Neema Wa Nyahari
KINACHONISHANGAZA NIJINSI GANI HUYU HAMISI ANALAUMIWA KWANINI HAJAISHAURI SERIKALI. Ahahahaahahaahaah! Duh! Serikali ya JK na mwenzie MPP. Inasikia la mkuu hiyo???? Kama watu wanakufa na wanasikia wala hawashtuki ndo Hamisi akaongee!!! Wata...See More
a few seconds ago • Like
•
Emmanuel Joseph Ntoga
Hata walimu wakiuvaa ujasiri kidogo tu, mbona watagoma maana nao wako kwenye fukuto hili la mgomo sema tu huwa wanaogopa kidogo!
• •
Rogers Machimu
‎Hamisi Kigwangalla unajua watu wanazungumza hapa hawajua kinagaubaga haya madai siyo mapya ni ya siku nyingi ila watu wamejitia ukiziwi.....mimi nasema wanaolaumu madaktari ni kwa sababu KITANDA USICHOKILALIA HUJUI KUNGUNI WAKE......
a few seconds ago • Like

Amon Petro
Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Dr. Hamisi Kigwangalla, kuna haja ya kuangalia hili tatizo la migomo isiyokwisha kwa mapana yake, tukiamua kuwaangalia madokta waliogoma kama tatizo tunakosea, mgomo wa madokta ni matokeo ya tatizo, la msingi hapa ni kutatua hicho kiini cha matatizo ili mwisho wa siku hii migomo iwe historia.
2 seconds ago • Like


Hamisi Kigwangalla
Neema umenena. Ningetegemea wananchi waungane na madaktari waibane serikali na siyo wananchi wawalaumu madaktari kwa kudai haki yao. Wengi wao hapo walipo wameishaamua kuacha kazi serikalini baada ya hii crisis, sasa ulitegemea nini? mimi niunge mkono serikali, kwa nini haswa kwenye hili? Steve, usijali sana kuna watu hawaelewi na kuna wengine ni wapinga Kigwangalla kwenye kila kitu, sasa hao hawaninyimi usingizi! Nilishawaacha tu. Nawaonea huruma. Huwezi kumlazimisha Daktari akiwa ana njaa eti kwa kuwa kazi yake ni ya wito, mpe wito card sasa awe anatumia! Article 23 ya Universal delcalartion of human rights inatambua haki za kila anayefanya kazi, kwa kutaka apewe ujira unaoendana na kazi yake. Kumnyima mshahara ni sawa na kumnyima haki ya kula ama ya kuishi!
about an hour ago • Like • 6
•

Hamisi Kigwangalla
Katiba ya JMT, ibara ya 63 inasema serikali itawajibika kwa wananchi, pia bill of rights zilizomo kwenye katiba hiyo kuanzia ibara ya 14 - 17 zinaelezea haki za msingi za watanzania, na afya ikiwa ni mojawapo. sasa kama wananchi hawapati haki yao, wanatakiwa wakaidai kwa serikali na wala siyo kwa madaktari! Daktari hana dhamana yoyote ile kwa wananchi wagonjwa...ninarudia tena mwenye dhamana hiyo ni serikali! ni serikali! ni serikali! Tusichanganye mambo kama vile hatukwenda shule ama hatusomi na kuelewa vitabu
59 minutes ago • Like • 3
•

Emmanuel Joseph Ntoga
Hoja nzito sana imetolewa humu ndani kwaba WALALA HOI tutoke tukalale barabara zote muhimu nadhani hapo MaDr. Watasikilizwa?!NIMEIPENDA hiyo!
59 minutes ago • Like
•

Olivia Sanare-mwanaharakati sio unapingwa unashangaza coz wewe ni serikali na wewe ni dr ulitakiwa uoneshe juhudi zako katika kutatua hili jambo si kuja kuandika hapa fb play ur part as a mp kumbuka hili liko hadi nzega huwa unaniboa kuiattack serikali wakati wewe ni mmoja wapo and u can do something mbona kina january makamba wanauthubutu?
57 minutes ago • Like • 1
•

Uwesu Msanzya sijui hii nchi ielekeapo kwa kweli maana kila mtu amekua mwanasiasa sikutegemea kama madaktari ambao mmesomeshwa kwa kodi za hao walala hoi ambao mishahara yao hata laki mbili haifiki leo mnawasaliti kwa kukataa kuwahudumia tafadhali tangulizeni ubinaadamu kwanza
55 minutes ago • Like
•

Hamisi Kigwangalla oliver sanare, nimeishachukua hatua za kuishauri kamati ya huduma za jamii iende kuwasikiliza madaktari! na iwahoji serikali wanasemaje?
55 minutes ago • Like • 1
•

Said Bombey Kushika kinyesi ndio fani aliyochagua,tutatibiwa hata kwamitishamba watanzania tumekariri migomo.ma dr wote wanamaroho ya kinyama tu.huwezi ona mtu anakufa umpite kisa pesa kwani hawalipwi?au hawana viongozi.nikutaka kuonyesha kikwete hafai hakuna lolote.
53 minutes ago • Like • 1
•

Said Bombey Kushika kinyesi ndio fani aliyochagua,tutatibiwa hata kwamitishamba watanzania tumekariri migomo.ma dr wote wanamaroho ya kinyama tu.huwezi ona mtu anakufa umpite kisa pesa kwani hawalipwi?au hawana viongozi.nikutaka kuonyesha kikwete hafai hakuna lolote.
52 minutes ago • Like
•

Charles Matemba Watanzania wasahaulifu sana,kumbukeni madaktari walishagoma nchi nzima na rais wakati huo mzee rhuksa akawa mgeni rasmi diamond onyesho la kanda bongoman,Pinda tunamwonea tu
52 minutes ago • Like
•

Mrimia Humphrey ambacho mimi ckielewi kingwangwala unalalamika kama co kiongozi,unapaswa utoe solution,wewe ni sehemu ya serikali inayolalamikiwa,unaacces na viongozi wa serikali hebu washauri jamani ndugu zetu wanaumia sana
51 minutes ago • Like • 1
•

Emmanuel Joseph Ntoga MaMp wantaka posho sh 200,000/= per day MaDr mishahara yao ni...naogopa hata kusema maana ni aibu, afu wanafanya kazi siku zote na masaa yote!

Jamani serikali isiwe kiziwi iwasikie hawa MaDr wanateseka sana!
51 minutes ago • Like • 1
•

Joseph Kundy Chonde chonde ,pande zote mbili zikutane zikubaliane ,hapa watanzania wengi watazidi kuumia
49 minutes ago • Like
•

Hamisi Kigwangalla
‎Said Bombey, wewe unafanya kazi yako bila kulipwa? ama kwa vile kazi ya Dr ni kutibu wagonjwa ndiyo maana yeye analazimika kufia hospitali kwa njaa? acheni ubinafsi jamani, toeni kauli za kuitaka serikali iwapeni haki ya kutibu maana hao madaktari wengi wao wameishakata tamaa na hawataki tena ajira za hapa nchini! sasa mtatitibiwa na nani anyway? Ukijua ni kwa muda wa miaka mingapi wamekuwa wakifuatilia haya madai yao kwa kutuma wawakilishi ungeshangaa kwa nini hawakuacha kazi siku nyingi!
49 minutes ago • Like • 1
•

Uwesu Msanzya hivi kweli mnayo hakika kuwa madaktari wanateseka? hebu fanya utafiti kwanza kati ya madaktari na walimu na wao nani anateseka? sema na wao wamekua wanasiasa thuswhy hawana uzalendo wala ubinaadamu miyoni mwao
47 minutes ago • Like
•

Hamisi Kigwangalla hebu jiulize katika miaka mitano iliyopita wamezalishwa madaktari zaidi ya 2000, walioajiriwa serikalini kuhudumia watanzania hawafiki 100, unadhani ni kwa nini? Na walioacha kazi ni zaidi ya 100, walioenda nje ya nchi na ambao mimi ninawafahamu ni zaidi ya 20, na walioacha kazi na kufanya biashara kariakoo ni watatu, walioingia kwenye mashirika ya miradi ni zaidi ya 1000! Bado tu kaka haulioni tatizo hapo?????
46 minutes ago • Like • 2
•
Lubango Joshua hawa wanaokabidhiwa hizi nyzifa wana sifa hizo.....
45 minutes ago • Like
•

Said Bombey Muheshimiwa wakitoka hao ma dr watakuja police tena na wanajesheshi ndio tunapoelekea hizo posho zenu ndio zinaleta mambo.
45 minutes ago • Like
•

Hamisi Kigwangalla
‎Said Bombey, speaking of posho: Daktari anafanya kazi masaa 36 akiwa zamu na analipwa TZS 10,000 na Mbunge akiwa kazini kwenye shughuli ya Bunge anafanya kazi masaa 8 tu kwa siku, analipwa TZS 200,000! Wakati huo huo Mkurugenzi na Engineer wa Halmashauri wakikaa kwenye Road Board wanalipwa zaidi ya 300,000 kwa siku! Sitaki kuongelea hapa wataalamu wengine wote ambao wanashirikia kwenye masemina na mawarsha elekezi kwa masaa machache wanalipwa sh ngapi!
40 minutes ago • Like • 1
•

Neema Wa Nyahari
KINACHONISHANGAZA NIJINSI GANI HUYU HAMISI ANALAUMIWA KWANINI HAJAISHAURI SERIKALI. Ahahahaahahaahaah! Duh! Serikali ya JK na mwenzie MPP. Inasikia la mkuu hiyo???? Kama watu wanakufa na wanasikia wala hawashtuki ndo Hamisi akaongee!!! Wata...See More
40 minutes ago • Like • 2
•

Emmanuel Joseph
Ntoga Hata walimu wakiuvaa ujasiri kidogo tu, mbona watagoma maana nao wako kwenye fukuto hili la mgomo sema tu huwa wanaogopa kidogo!
39 minutes ago • Like
•

Hamisi Kigwangalla
walimu madai yao yamelipwa last wiki!
39 minutes ago • Like
•

Rogers Machimu ‎Hamisi Kigwangalla unajua watu wanazungumza hapa hawajua kinagaubaga haya madai siyo mapya ni ya siku nyingi ila watu wamejitia ukiziwi.....mimi nasema wanaolaumu madaktari ni kwa sababu KITANDA USICHOKILALIA HUJUI KUNGUNI WAKE......
39 minutes ago • Like
•

Amon Petro Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Dr. Hamisi Kigwangalla, kuna haja ya kuangalia hili tatizo la migomo isiyokwisha kwa mapana yake, tukiamua kuwaangalia madokta waliogoma kama tatizo tunakosea, mgomo wa madokta ni matokeo ya tatizo, la msingi hapa ni kutatua hicho kiini cha matatizo ili mwisho wa siku hii migomo iwe historia.
38 minutes ago • Like
•
Lubango Joshua wabunge kudai laki 2 ulikuwa ni ufinyu wa mawazo yenu na kuweka mbele matumbo na kufikiria miradi yenu bila kujari wengine.....tatizo ni kujiwazia nyie tu.....haya yote ni posho zenu....hii nchi inakwenda wapii
35 minutes ago • Like
•

Mohamed Arfi TATIZO IZARA YA AFYA NI BLANDINA NYONI
35 minutes ago • Like
•

Said Bombey Lazima tuwalaumu ma dr sababu hawana huruma,pesa wanalipwa sema wanataka kuwa wanasiasa.
34 minutes ago • Like
•

Fortunatus Kudela Kama Gov wanazo hizo takwimu halafu hawataki kutafuta suluhu. Sisi walala hoi tunapata shida sana kuelewa. Na ndiyo maana migomo inapamba moto kila kona. Hebu serikali kaeni mezani na hao madaktari mtatue kero zao.
34 minutes ago • Like
•


Said Bombey Lazima tuwalaumu ma dr sababu hawana huruma,pesa wanalipwa sema wanataka kuwa wanasiasa.
33 minutes ago • Like
•


Fue F Fue CCM wote ni wanafiki na wahuni wahujumu na hamna huruma ni wasanii wauza roho za watanzania
32 minutes ago • Like • 1
•

Ramadhan Keya Neema nafikiri unaelekea pabaya zaidi, kwa sababu moto huwa hauzimwi kwa petroli bali maji, sasa naona wewe unataka kumwagia petrol. kudai haki siyo dhambi ila namna ya kudai haki ndiyo wote tunatakiwa tubrainstorm ili kila upande upate haki yake yaani win-win situation bila kuleta madhara makubwa zaidi, jatahidi kucontroll imotion zake, vinginevyo utaonekana kama mshabiki na sio mpigania haki.
32 minutes ago • Like • 1
•

Saul Mwaisenye
Haya unayo yaandika humu ungekuwa unayapeleka MJENGONI au kwa kuwa una access yakuchati na Ba Riz 1 ungemfikishia, kwani sisi hatuna chakufanya zaidi zaidi unaendelea kutuchanganya kwani nawewe ni sehemu ya watawala tena wakubwa, Gomeni tu ...See More
31 minutes ago • Like • 1
•

Neema Wa Nyahari Said Bombey nanukuu "KITANDA USICHOKILALIA HUJUI KUNGUNI WAKE".
31 minutes ago • Like • 1
•

•

Fue F Fue
Watanzania longolongo nyingi na wavivu wa kufikiri na hatuwezi kuchukua maamuzi magumu. Kwanini tusiandamane mpka ikulu???
29 minutes ago • Like
•

David Amani Kinyongoh
Mkuu nina shaka kama hilo jimbo mwaka 2015 utalipata tena..kwa siasa za chuki za CCM unapoongea ukweli ni ngumu kuamini..ila nakupongeza kwa maamuzi magumu unayoyachukua.
27 minutes ago • Like
•

Nelson Mmari
‎Hamisi Kigwangalla naumia sana kuona uozo huu wa serikali lakini muda ukifika msiseme hatukuwaonya
26 minutes ago • Like
•

Deus Amani Jr.
Mlipoongezewa posho hamkukaa meza moja na serikali kujadili! Mishahara yenu ya kufuru hamkukaa meza moja na kujadili... Eti kwa madaktari mnataka watumie Busara wakakae mezani na serikali kujadili.. Wakajadili nini wakati Serikali ilishasem...See More
23 minutes ago • Like
•

Zuberi Lujina
BUSARA ITUMIKE NDUGU ZANGUNI, HAKI YA MASLAHI NI MUHIMU BUT PIA HAKI YA MAISHA NI MUHIMU SANA. CHONDE CHONDE PANDE ZOTE.
21 minutes ago • Like
•

Neema Wa Nyahari
Kama udaktari ni wito Mbona wengine wakimbia wamekwenda kuwa wabunge....hihihihihi! Samahani Dr. Hamis hapa kidpogo nimekosa uvumilivu.
20 minutes ago • Like • 1
•

Said Bombey
Mi nashauri mtembee kidogo nchi za afrika muone maisha ndio muiseme serikali vibaya.tushukuru mungu kuzaliwa tanzania.kitanda cha kunguni,chawa vyote nimelalia ndio mana nawasihi msivuruge nchi yenu.maandamano sio silaha mtazidi jiumiza tu
19 minutes ago • Like
•

Shaaban Zangira
Nimekufuatilia sna,nimegundua kuwa ww ni m2 mwenyemsimamo thabit na uwez kuwaeuka wenzako kwaajili ya cheo/madalaka yko
17 minutes ago • Like
•

Deus Amani Jr. ‎...
.Said najua unayasema hayo kwa kulinda kofia za waliokufanya ukawa ulivyo.... Wanaoumia nao wanatamani kukuona wakurarue wewe na unaowakingia kifua.. Take care!
15 minutes ago • Like
•

Frank Mhilu
twafa, yarabi toba......
14 minutes ago • Like
•

Rogers Machimu
watu mnasema madaktari watumie busara kuokoa maisha ya watanzania kwanini serikali nayenyewe isitumie busara hiyohiyo kuokoa maisha ya watanzania,Kabla mgomo kutukia serikali wamefuatwa mara ngapi kwa ajili ya mazungumzo au mnazani hawa ni wanasiasa?
13 minutes ago • Like • 1
•

Sefu Kulunge
MIMI NAZANI MADAKTARI WAKUIGE WEWE WARUDI MAJIMBONI ILI WAINGIE MJENGONI HUKO KILA KITU KAMA UNAKULA UGALI KWA MRENDA VILE
13 minutes ago • Like • 1
•

Maggid Mjengwa ‎
" Nendeni mezani, myazungumze, myamalize"- Hamis Kingwangalla. Hiyo ni hekima, yapaswa itangulizwe.
11 minutes ago • Like • 1
•

Innocent Kimaro
‎@Mh mbunge kwakuwa hapo yupo mpiga kura wako ndio maana unaongea siyo? Mi ningependa waendelee kugoma ili walipwe mshahara mzuri tofauti nyie mnaopiga makofi mnataka laki mbili
10 minutes ago • Like
•

Nelson Mmari Maggid,
Hakuna cha kuzungumza wameshazungumza sana, sasa sisi wananchi tuifanya serikali izungumze, sms inazunguka jumtatu maandamano ya kitaifa
9 minutes ago • Like • 1
•

Grace Ngopola
jaman watu wanakufa kweli pale muhimbili, unajua serikali inajiangalia yenyewe na si wananchi wanaowatizama, kwan wao wanashida gan akitokea mmoja kazidiwa wanampeleka India ss tunakufa jaman tusaidiane nakuoneana huruma
9 minutes ago • Like

•

Victor Ngukulu Nkonya
unajua Serikali inacheza na watu wake sisi ndo mwajiri wao, jamani tufanye maamuzi magumu watu wanaokufa si kwa mapenzi ya Mungu
8 minutes ago • Like • 1

•

Nelson Mmari
jumatatu barabarani ndio maamuzi magumu kama utalalama utakaa milele
7 minutes ago • Like


•

Neema Wa Nyahari SAID BOMBEY "KAMA MBWAI NA IWE MBWAI" KITU GANI BHANA. NAWAKUMBUKA SANA WALE NDUGU ZANGU "WAGOSI WA KAYA" WALISEMA NA WALIJARIBU KUONESHA NINI KINAPASWA KIANGALIWE KUPITIA MASHAIRI YALE WALIYOTUNGIWA NA BABU YETU MZEE FUMBUKA LUBASA......NAWAKUMBUKA JAMANI NAWAKUMBUKA. TULIKUWA TUNAONA KAMA MZIIKI TU LAKINI MANENO YALE KAMA YANGEKUWA YAMEWAINGIA WATU VIZURI LABDA KUNGEKUWA KUMELEEWEKA JAMBO!
6 minutes ago • Like • 1
•

Innocent Kimaro wache watu wafe wangap wamekufa na serikali wamchukua hatua gani? Haina haja madaktari kwenda mezani waendelee kugoma tuone hiyo jeuri ya serikali na chama chake ''CHUKUA CHAKO MAPEMA''
• Saul Mwaisenye Huu ni MGOMO wa madaktari kutotibu maskini, kwani matajiri wanakuja kwenye hospitali zenu BINAFSI, Maskini tunaendelea kusubiri mmalize SIASA zenu mtatukuta, mkikuta tumekufa basi mtuombee kwa MUNGU.
8 minutes ago • Like
•

Neema Wa Nyahari Nelson Mmari tuwasiliane vizuri!
7 minutes ago • Like
•

Edna Paul Viongozi wa serikali yetu hawana uchungu hata kidogo na mahospitali yetu wala madoctor wetu. Siku ambayo wafanyakazi wa hospitali ya Apollo huko India wakiGOMA kama hapa Tanzania, ndipo viongozi wetu watakapoanza kuzithamini hospitali zetu....lakini kama Apollo ya India hawatakuja kugoma basi tusahau huduma bora kwenye vituo vyetu vya afya! kwani wao wataendelea kutibiwa huko India.....Tafakari!
6 minutes ago • Like
•

Innocent Kimaro ‎@saul saluti kwa point yako.Nchi hii imetumbukia shimoni bado mtu anasafiri kwa sfari ambazo hazina tija kwa taifa... Wao wakiumwa wanakwenda india wananchi tumien haki yenu katika mwaka 2015
5 minutes ago • Like
•

Edna Paul Madaktani wapige marufuku serikali kutumia hospitali kuu nchini kama STAND za kuwapeleka wakubwa nje ya nchi kutibiwa na kupelekea kutohamasika kuboresha hospitali nchini, alaa
about a minute ago • Like
•

Didier Abdallah Unajua wewe napata mashaka sana na u dr wako sijui uliupata wapi..? Wewe juzi si umeweka post hapa kuhimiza madaktari wagome leo unaanza kuongea matapishi hapa..hebu toa propaganda zako za sokoni hapa
 
kigwamavi sijui asitake kujifanya msafi wakati amekaa katikati ya matope..kama ccm anayoitetea ni chafu,yeye anaupata wapi usafi?anaongea hivyo lakini mambo yakiwa magumu akiitwa kwenye vikao atafuta kauli zake zote..si mwenzenu huyu madaktari anapokea miposho ya ubunge..kwa nini alikimbia udaktari?
 
Jamani kigwangala ni kati ya wana ccm wachache wanaosimamia upande sahihi si ili mradi serikali tu,big up dokta
 
Naona wr dada umemwamulia huyu jamaa, kuanzia kwenye status yako fb hadi huku, kazi ipo!
 
Enzi za Kikwete hizi kila paka na panya anaandamana...

Hadi madereva wa daladala nao waligoma..
Hadi wauza petrol waligoma..

Sasa wote wameufyata kiimya
 
Back
Top Bottom