Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Bado unamuwaza.

Mark my words: ATAKUNYANDUA mda si mrefu
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.

Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
 
Wewe bado unamuelewa Mwamba ndiyo maana unamfuatilia kujua mahusiano yake mpaka leo.

Na kama kweli utaolewa haina maana kuwa utaolewa na mtu sahihi zaidi yake.. Mwenzio Salha Aliolewa na Said ila akagundua anachopata hakimridhishi..

Awali awali tu hakuna awali mbovuu.
 
Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.
Usithubutu!
Ukitekeleza hiyo 'plan' ya mualiko kwa X wako, mumeo mtarajiwa akigundua tu, hiyo ndoa ya mwezi wa 7 inayeyuka.

Halafu kuendekeza mawasiliano na X ni kuhatarisha mahusiano ya sasa
 
Ni kweli hautakuja kupata kamanyeye, hii kumfuatilia tu ni ishara tosha ni wa maana kuliko uliye naye maana hadi unajua wanawake wangapi amedate nao baada ya kuachana nayeye, ulimpa hadi kadi ya harusi na pengine hajakuchangia, ni mda tu huyo jamaa ataendelea kukugonga
 
Kwa maelezo yako tu inaonesha bado wampenda x wako!
Mpelekee tu hiyo kadi uone kama kiporo hakitapashwa.
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.

Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]

Soon utamplekea na tamu , endelea kkumuonea huruma
 
Deep Pond umemaliza kilakitu. Kumbe ni limwanamke lisilojielewa, linawaza kutoa mimba, kama linaua kiumbe chake mwenyewe kisicho na hatia, itakuwa huyo mume anayetaka kumuoa? Namhurumia sana huyo mume
 
Kuoa mwanamke Kama uyu Lazima uwe umejikoki Sana Kama wale waTALEBAN
Yaani deep Pond hongera sana, ndo dawa Yao mijanamke isiyojielewa, jitu limalaya malaya afu linakuja kuleta maneno ya shombo hapa
 
Itabidi tumtafute huyo muoaji tumpe hizo data, maana atauawa muda si mrefu
Kuna wanaume wanabahati mbaya aisee,

Unaoa mke ana vipengele lukuki
emoji116.png

1. Mbele pametinduliwa na pamechakaa mno
Kielelezo: ule Uzi wake wa kupigwa miti na Wanaume wawili, achilia mbali mahusiano kibao kabla.

2. Bikra ya nyuma Hana,
Kielelezo: Uzi wake wa GAY PORN

3. Keshatinduliwa mno na baba mkwe wako,
Kielelezo: Uzi wake wa kushiriki kimapenz na babe ake mzazi.

4. Keshatoa mimba,
Kielelezo: Uzi wake wa kukiri kutoa mimba na kuua kichanga.

5. Hapendi watoto,
Kielelezo: Uzi wake wa kuwafinya watoto wadogo.

6. Alieshapitia maisha ya kujiuza,
Kielelezo: Uzi wake khs jinsi ya kuchagua wanaume wenye Ela.

7. Anayeamini uzuri wake ndio tiketi ya maisha Bora,
Kielelezo: Uzi wake wa kutokuona umuhimu wa shule kwasababu Ni mrembo.

Matatizo ya mtoa mada Ni mengi ni mengi na Ni mengi mno.

KIUFUPI,
HAMNA MKE HAPA, mwenzetu keshapigwa na kitu kizito chenye ncha Kali sana

HAMNA MKE HAPA, mwenzetu keshapigwa na kitu kizito chenye ncha Kali sana kichwani
emoji26.png
 
Yaani mtoa mada nadhani kajuta kuileta hii mada, jitu linakuwa malaya malaya afu linakuja kujimwambafai uhuni huku, unaliwa ndogo Hadi na baba yako mzazi, we ni mwanamke au ni shetani kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom