DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,595
Mwenzetu anakwenda kuangamia, hamna MKE HAPA[emoji3525]Deep acha kufukua makabuli[emoji1787][emoji1787].
Tumwambie tu memory ya jf ni [emoji91][emoji13][emoji13][emoji13]
Mwenzetu anakwenda kuangamia, hamna MKE HAPA[emoji3525]Deep acha kufukua makabuli[emoji1787][emoji1787].
Tumwambie tu memory ya jf ni [emoji91][emoji13][emoji13][emoji13]
Yumo,DeepPond ametumia makombora ya Put In mleta mada akirudi naenda Yukreiniii
Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Wee mbona umepanic sana km hii thread nnekufungulia wewe vile 😁 Alaf wewe ni nani wa ku judge past ya watu kama vile wewe ni malaika huna baya uliowai kufanya. Au kujifanya innocent nyuma ya keyboard unadhani ndo umekua msafi kweli 😏Kwanza,
Kuna wanaume Wana bahati nzuri Sana, hasa uyo uliye achana nae kipind icho.
Pia,
Kuna wanaume wana bahati mbaya Sana, hasa uyo uliye unaetegemea kufunga nae ndoa mwezi wa 7[emoji26]View attachment 2149481View attachment 2149483View attachment 2149485View attachment 2149489
Haitowahi kutokeaUnatafuta kupasha kiporo ww sio siri
Ni mpigie magoti? Unaumwa wewe 😁 labda yeye ndo anipigie magoti mimi nimsamehe maneno yke aloniambia wakati wa kuachanaUtaumia sana na bado mhimu mtafute jamaa mpigie magoti myajenge maana inaonyesha kuwa hata hapo ulipo umejipendekeza tu ili kufuta kauli ya jamaa kuwa hutopata mwanaume kama yeye,na ndio maana unamfuatilia kujua leo kamla nani kesho atamla nani?
Ningekua bado nampenda ningekua bado nipo nae hadi sasa. Kwani kuna ubaya nikimpa kadi ya mwaliko km rafiki?Nikisha amua ku move on, ni nime move on, sigeukagi...
Sitaki kujua lolote kuhusu yeye, Yeye akitaka kujua yang ni juu yake sasa...
Kwa maelezo yako ni kwamba bado unampenda na unafatilia relationships zake(for what?), si usonge tu..
Unampa kadi ya mwaliko ili?
Mpotezee mazima na maisha yaendelee.
Hebu Relax mkuuWee mbona umepanic sana km hii thread nnekufungulia wewe vile [emoji16] Alaf wewe ni nani wa ku judge past ya watu kama vile wewe ni malaika huna baya uliowai kufanya. Au kujifanya innocent nyuma ya keyboard unadhani ndo umekua msafi kweli [emoji57]
Kama kweli umechukia kufa kabisa tuone mana sio kwa povu hili 😂😏Uyo bwana anaetegemea kukuoa,
Kama anamtoto nje, Bora ajiandae Sana kisaikolojia.
Mwanamke katili kama wewe
Uchelewi kuwapa watoto sumu wewe[emoji26]View attachment 2149496View attachment 2149497
Au kujifanya innocent nyuma ya keyboard unadhani ndo umekua msafi kweli [emoji57]
Ndio nipo salama kuliko unavodhani. Labda wewe ndo hujijui usiongelee wengineKwahiyo unahisi hapo ulipo upo salama?hutujui vizuri sisi kiumeni wewe ndoa nitamu ukiwa nje ila ukishazama ndani huwa tunaigeuza hutoamini....kapashe kiporo kidogo Mkuu
Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Kufa sifi, ila Cha Moto utakiona[emoji4]Kama kweli umechukia kufa kabisa tuone mana sio kwa povu hili [emoji23][emoji57]
Siwezi kuachwa labda nimuache 😉Huna tofauti na Ruby yule mwanamziki wa bongo fleva! Jirekebishe la sivyo utaachwa
Sikiliza mdogo wangu 😂😂 kuna wakati uliopita na wakati wa sasa. Watu hubadilika kutokana na wakati na ndo mana ata Mungu husamehe makosa kwa wale waliotenda dhambi nyuma kama wakiomba Mungu awasamehe. Sasa wewe ni nani wa kuhukumu matendo yngu ya nyuma? Alafu ulivopanic utadhani una u ndugu na mchumba wangu. Km amekula hasara ni yeye sio wewe huna haja ya kujifanya una huruma kwa mtu usiemfahamu 😏Kuna wanaume wanabahati mbaya aisee,
Unaoa mke ana vipengele lukuki[emoji116]
1. Mbele pametinduliwa na pamechakaa mno
Kielelezo: ule Uzi wake wa kupigwa miti na Wanaume wawili, achilia mbali mahusiano kibao kabla.
2. Bikra ya nyuma Hana,
Kielelezo: Uzi wake wa GAY PORN
3. Keshatinduliwa mno na baba mkwe wako,
Kielelezo: Uzi wake wa kushiriki kimapenz na babe ake mzazi.
4. Keshatoa mimba,
Kielelezo: Uzi wake wa kukiri kutoa mimba na kuua kichanga.
5. Hapendi watoto,
Kielelezo: Uzi wake wa kuwafinya watoto wadogo.
6. Alieshapitia maisha ya kujiuza,
Kielelezo: Uzi wake khs jinsi ya kuchagua wanaume wenye Ela.
7. Anayeamini uzuri wake ndio tiketi ya maisha Bora,
Kielelezo: Uzi wake wa kutokuona umuhimu wa shule kwasababu Ni mrembo.
Matatizo ya mtoa mada Ni mengi ni mengi na Ni mengi mno.
KIUFUPI,
HAMNA MKE HAPA, mwenzetu keshapigwa na kitu kizito chenye ncha Kali sana kichwani[emoji26]
Ni shidaaKuna wanaume wanabahati mbaya aisee,

Hebu Relax mkuu
Hii Umeanzisha thread mwnyw, ila huna mamlaka kutupangia Cha kucomment.
Tunacoment kuanzia kwny past yako, tunakuja kwny present yako, tunamalizana na future yako.
Jifunze kuKubali challenge,
Vile unavyokosoa ex zako humu, jivunze kuvumilia na Wewe ukikosolewa humu humu pia[emoji4]
Toka lini kusema ukweli kumekua ni ku abuse? Nimesema kile alichosema au ulitaka nimsemee kile ambacho hajasema?Sijawai kua innocent mbele au nyuma ya keyboard, huenda Mimi Ni mchafu sana kuliko hata wewe hapo.
Sema sasa,
Ila siwez kua harsh na abusive Kama ulivyo wewe Apo nnapoachana na ex wangu.
Sikufundishi namna ya kuishi, ila unapaswa ubadilike.
Afu ukumbuke historia yako itakuandama popote pale uendako hata kaburini, kwaio tujifunze kuwasemea mema wenzetu wanapotukosea, hata Kama mshaachana[emoji4]
(No offense intended[emoji120][emoji4])
Na usife ili uendelee kuchangamsha genge umu sjsjskskjdskjKufa sifi, ila Cha Moto utakiona[emoji4]