Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

ndugu...
ebu fanya kututumia za ali kiba ambazo ameshiriki huko accra,lagos,pretoria..!
diamond hana...
tutumie za KING kiba..!
Usikimbilia kucomment vitu bila kusoma..

Ebu soma hicho nilichoandika tena then uje kujibu sawa na nilichoandika..
 
Hivi ni tracks zipi zinamuweka Diamond ktk level ya wasanii wakubwa Afrika?
Diamond ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Msanii mkubwa anayechupukia Afrika, hilo halina ubishi..

Base kubwa ya Diamond ni South Africa na Nigeria... Ila kuna vinchi kama Namibia, Ghana, Botswana, Tunisia bado hajapenetrate huko. Tukimpa muda zaidi atafika... Kuwa Msanii mkubwa Africa kunaenda na kuuweka mziki wa nyumbani kwako uwe mkubwa.. Nigeria wanafanikiwa kwasababu mziki wao ni mkubwa Africa... Hiki wanachokifanya akina Diamond, Navy Kenzo, Weusi, Vannessa tunakitaka kiendelee ili mziki wetu pia ukue na uishike Africa... Sasa tukianza kupigana majungu kama tunavyofanya hapa tunawakwamisha wasanii wetu tu...
 
Diamond ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Msanii mkubwa anayechupukia Afrika, hilo halina ubishi..

Base kubwa ya Diamond ni South Africa na Nigeria... Ila kuna vinchi kama Namibia, Ghana, Botswana, Tunisia bado hajapenetrate huko. Tukimpa muda zaidi atafika... Kuwa Msanii mkubwa Africa kunaenda na kuuweka mziki wa nyumbani kwako uwe mkubwa.. Nigeria wanafanikiwa kwasababu mziki wao ni mkubwa Africa... Hiki wanachokifanya akina Diamond, Navy Kenzo, Weusi, Vannessa tunakitaka kiendelee ili mziki wetu pia ukue na uishike Africa... Sasa tukianza kupigana majungu kama tunavyofanya hapa tunawakwamisha wasanii wetu tu...
Hawezi kufika tena mwisho wake kimziki umewadia
 
siyo hivo ndugu hembu angalia mafanikio kati ya alikiba na diamond katika mziki nani anamafanikio zaidi??nani kawa nominated zaid??na utuambie nani alikuwa mwepesi kubadilika kulingana na wakati kati yao???alikiba ana mashabiki wanafiki wengi ndo walewale wanacheka mchana usiku wapo wapo white party kwa diamond.......diamond anasikiliza ushauri na kutendea kazi alikiba hata kama anashauriwa sio mwepesi kunyumbuka kuendana na watu wanavyomshauri,we niambie alikiba kaaanza lini mziki kusikika hadi leo muanze kumshindanisha na diamond???alitakiwa awe na heshima kama AY wakina diamond wanawakuta kwenye game wanawapa heshima zao ndio kaka wanaiga kutoka kwao sio leo eti alikiba ndo anaiga eti kutoka kwa mtu aliyechipukia anamuona

Hivi kuwa shabiki wa Alikiba ndo kutopenda nyimbo za Diamond?!!
Ndo pia kutokuhudhuria white party??!
Ndo kutokupenda kila kinachofanywa na Diamond?!!

Ndio maana siku hizi watu mnaponda tu hata pasipostahili kupondewa!
 
Acha utoto basi... Huko Congo, Burundi wote ni waswahili wenzetu..

Nimekuomba uniletee za miji mikubwa aliyofanya show hapa Africa... Kama Congo sijui Burundi hata Mr. Nice alishafanyaga huko..

Tanzania hakuna msanii yeyote ambaye alienda kupiga solo show au yeye awe main artist nchi za wenzetu hapa Africa (ukiutoa huu ukanda wetu).. Sio AY wala Diamond wala Ali Kiba.. Hata ukiangalia show za wasanii wetu wakienda Ulaya unakuta wamejaa waswahili wa East Africa tu tofauti na akina P-Square show zao majuu unaziona ngozi nyeupe nyingi tu sio za kutafuta.. Hili tukubali tu, Diamond ni Msanii Mkubwa anayeiwakilisha East Africa ila kwenye wasanii wakubwa Africa hawezi kuwa kwenye tano bora labda kumi bora..
Shoo za hiyo miji kafanya nyingi sana,ila wewe si unalazimisha isiwe ya tukio fulani hiyo ndio kwenye kumbukumbu zangu bado iko searching ......... Ila pamoja na yote mi nimependa mazungumzo yako kuwa kiba si levo za DIAMOND,mi huwa naborekaga sana mtu anayemlinganisha naye.
 
Eti huyu nae kaongea jamani!Huu uhuru wa kutoa maoni unatufanya tuwe wendawazimu.
Sijaona chochote cha maana katika post yako hii zaidi ya chuki 'A One'.
Adam Juma kaipa sifa zake kitaalamu wewe unaleta story zako za ujuzi wa mitaani....WTF?

Eti kamdharau AJ kisa kasema ile ni video nzuri hahahaaa binadamu sie tuna matatizo yetu aisee!

Mi nadhani siku nyingine mtoa mada aje akawe director tuone makali yake!
 
Anajifanya hachangii kishabiki..kajiumbua alipotaja wimbo wa Aiyola tumemjua alichokua anamaanisha.

Na pia anatakiwa ajue style za underground.
Underground hawezi kutoa video kama ya Lupela coz wengi wao wanaimba sare sare na video pia wanatoa sare sare.

Ningemuelewa zaidi endapo angetoa tu maoni yake kuwa ye anaiona ni mbaya kwa mtazamo wake. Baasi!!
 
najua utaipeenda utaiangalia kidizain hata kwa jicho moja utaichungulia ha ha sio makosa yako ni wivu tu unautesa moyo wako support kazi za wasanii wetu wa nyumbani unapoponda haisaidii kitu mkuu
dah! Nifah umeiona hii comment dadaake, watu wapo vizuri si mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom