Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Wimbo ni mzuri. Nimependa dancers wamecheza vizuri sana. Zaidi sana nimependa kwenye background wanavyoonekana tembo wakitembea kwa maringo.
Ukweli ndio huo unajua nini kinafuata baada ya je utanipenda ambayo hata mtwara haijafika achilia mbali burundiHebu ongea kama hiyo smartphone ya tecno h5 umenunua kwa hela zako na si kwa hela ya shemeji ..................... ( fafanua)
Huo ni ubunifu wake si kila vidio iendane na story ya wimbo tushazizoea sana vidio za aina hiyoFisi. ....! Huu muda unaomwombea Diamond mabaya ungeutumia kumshauri kiba aendane na soko la mziki wa sasa ungeeleweka vizuri. !
Upo vizuri sana kuanzia audio mpaka vidio achana na hao wake za domondi wivu tuSijabahatika kuuona. Natamani kuuona
Hebu kama unaweza weka hapa hiyo vdioUpo vizuri sana kuanzia audio mpaka vidio achana na hao wake za domondi wivu tu
acha uvivu nenda YouTube kwani kuna umbali gani na hapo ulipoHebu kama unaweza weka hapa hiyo vdio
Sina nauli ya kwenda huko banaacha uvivu nenda YouTube kwani kuna umbali gani na hapo ulipo
Nenda peji ya kwanza ya uzi kuna video, au nenda YouTube search alikiba Lupela utapata.Hebu kama unaweza weka hapa hiyo vdio
Hivi unafikiri wote wanajua kiswahili? Picha inaongea zaidi kuliko maneno. !Huo ni ubunifu wake si kila vidio iendane na story ya wimbo tushazizoea sana vidio za aina hiyo
Hua una elewa nn video ya you rock my world ya Michael Jackson?Hivi unafikiri wote wanajua kiswahili? Picha inaongea zaidi kuliko maneno. !
Asante mwaya,ngoja niende huko You TubeNenda peji ya kwanza ya uzi kuna video, au nenda YouTube search alikiba Lupela utapata.
Hoja za kimuziki huna, na hapa sio kwa watabiri hapa tunaongea hoja.Ukweli ndio huo unajua nini kinafuata baada ya je utanipenda ambayo hata mtwara haijafika achilia mbali burundi
Mkuu usimfananishe Fid na mambo ya kifalahata video ya fid q ya walk it off nzur kuliko huyu jamaaa na video zake
Asante ndugu nilitaka kujibu lakini umeniwahiHua una elewa nn video ya you rock my world ya Michael Jackson?
Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.
Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.
Labda kama lengo la video ni kutetea Tembo, lakini kama ni ya kushindana na Diamond ni sawa baiskeli dhidi ya piki piki.
![]()
Huyu mkosoaji hajui kitu..baada ya maelezo yake nimeitafuta hiyo video..ile ndio namna ilivyoandaliwa na haikukosewa imeamuliwa iwe tofauti..kikubwa ukosoaji wake umefanya watu waitafute na bila kujua ameipa promo ya bure.Na pia anatakiwa ajue style za underground.
Underground hawezi kutoa video kama ya Lupela coz wengi wao wanaimba sare sare na video pia wanatoa sare sare.
Ningemuelewa zaidi endapo angetoa tu maoni yake kuwa ye anaiona ni mbaya kwa mtazamo wake. Baasi!!
Asa kwanini mnapoteza sana muda kumjadili???...tunaweza kuanzia hapo mjadala wetu.