Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,808
- 11,483
Humu ndani kuna mwenye namba ya Saigon-presenter na mwana HipHop. Mnakalia kubishana tu. Ngoja mm reggae na hip hop follower niamue ugomvi. Ni hv, mm si mpenzi wa hiyo miziki ya akina Kiba na Diamond. Lakn, Diamond ni mjanja ktk mambo ya marketing kumzidi huyo mwingine Ali Kiba. Ali Kiba mtunzi mzuri, na ana sauti adhimu, mathalani nimemuona mara moja SAUTI ZA BUSARA. Nikajua wapo mizani sawa na Diamond wenu, kumbe mwenzie mjanja zaidi ktk masoko n.k.