Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

Watanzania shida sana.... Kiba baba songa mbele maana kipaji chako ni cha tofauti sana..... Utunzi wako ata miaka kumi badae auwezi chosha kusikika. Wanao ponda ata yao yame washinda...
 
Tekno, Davido, Wiz Kid ni wakubwa sana kwa Diamond, na hawezi kuwafikia hili tuongee kwa uwazi tu...

Tukiacha mambo ya tuzo, hebu tujiulize ni lini Diamond alienda kupiga show West Africa (acha show za matukio) au South Africa au nchi yeyote ya Africa ukitoa huku East Africa?? Ila hao akina Tekno, Davido, Wiz Kid wanapiga show nchi mbali mbali na wote hao walishakuja Tz kupiga show pia... Diamond ni Msanii maarufu/mkubwa anayetokea East Africa ila si Msanii Mkubwa Africa...
Pole sana tena sana kwa kuongea usichokijua zaidi ya chuki isiyo na hoja.
Hii hapa shoo ya West Africa NIGERIA na ni nje ya miji aliyozowea kwenda ambayo haikuwa ya tukio.
images
images
 
Siyo baiskel kwa pikipiki,ni mwendo wa miguu kwa gari!!!

Hanaga ubunifu wa video jamaa!!!alafu ngoja niulize ki2

Hivi alikiba anajiita king kivip?
Ana tuzo yoyote ya ufalme wa bongofleva?Rumba?afropop?Rnb?

Huku ni kitaniana mi nachojua anasauti TU ya kuimba ya kawaida ndo maana Rkelly alimwambia hawawezi Fanya nae kollabo coz jamaa bado arudi akakaze then arudi xa huu uking Bila tuzo wala kuwa appreciated NA ma king wa uimbaji duniani ni upi?Fame TU mnatafta hamna chochote
 
Pole sana tena sana kwa kuongea usichokijua zaidi ya chuki isiyo na hoja.
Hii hapa shoo ya West Africa NIGERIA na ni nje ya miji aliyozowea kwenda ambayo haikuwa ya tukio.
images
images
Hiyo show gani sasa?? Mtu kaitwa kama Guest sio show yake hiyo...

Naomba ulete hapa akiperform kama Artist mkuu wa show kwenye mji wowote wa Africa ukitoa Afrika Mashariki..

Yaani nataka kama vile Tekno alivyokuja hapa juzi au Wiz Khalifa alivyokuja hapa pia...
 
sasa ka
Sio kila video lazima zionyeshe mashori na magari ya kifahari na nyumba za ghorofa...

Hao Tembo ni kwasababu hii video imedhaminiwa na Wild Aid..

Hebu angalia hii video aliyodirect Eif Rivera moja kati ya directors wakubwa sana US.. Tatizo watu wanataka kama Chibu aliweka wazungu na magari kwenye video zake basi na Kiba afanye hivyo

kaka mabeki tatu na masharabaro watakuelea kweli, maana ndio asili kubwa ya mashabiki wa ndomo
 
Hiyo show gani sasa?? Mtu kaitwa kama Guest sio show yake hiyo...

Naomba ulete hapa akiperform kama Artist mkuu wa show kwenye mji wowote wa Africa ukitoa Afrika Mashariki..

Yaani nataka kama vile Tekno alivyokuja hapa juzi au Wiz Khalifa alivyokuja hapa pia...
Hiyo shoo yeye ndio artist mkuu na hao wengine ni wasindikizaji,kwani kuna m-nigeria aliyekuja bongo bila kupata msindikizaji ......
 
Hiyo shoo yeye ndio artist mkuu na hao wengine ni wasindikizaji,kwani kuna m-nigeria aliyekuja bongo bila kupata msindikizaji ......
Ebu acha ubishi basi... Artist Mkuu siku zote ndiye anafunga show...

Sasa hiyo show unajua Diamond aliperform wa ngapi??
 
Yeye aliperfom mwisho kwa kuwa yeye ndiye mwenye shoo.
teh teh teh teh nikikwambia uniletee ushahidi wa nadharia au wa maneno kwamba yeye ndiye aliperform wa mwisho then show ikafungwa utaweza???
 
Pole sana tena sana kwa kuongea usichokijua zaidi ya chuki isiyo na hoja.
Hii hapa shoo ya West Africa NIGERIA na ni nje ya miji aliyozowea kwenda ambayo haikuwa ya tukio.
images
images
ahahahahah...
sio akili yake muonee HURUMA...
ni akili PUNCH..!
 
sasa ka

kaka mabeki tatu na masharabaro watakuelea kweli, maana ndio asili kubwa ya mashabiki wa ndomo
Hahahahaaaa mkuu hii comment imechoma wengi sana,na wameisoma kimyakimya.
 
teh teh teh teh nikikwambia uniletee ushahidi wa nadharia au wa maneno kwamba yeye ndiye aliperform wa mwisho then show ikafungwa utaweza???
Amini niliyokuambia kwamba yeye ndiye aliyekuwa msanii mwenye shoo yake na ndio alikuwa wa mwisho kuperfom. Usimchulie poa DIAMOND ni msanii mkubwa Afrika kwa sasa upende usipende ndio imeshakuwa hivyo ni kumpa presha kiba kwa kumlinganisha naye wakati hamfiki kwa lolote si kimuziki wala kifedha keshaachwa mbali sana tena sana.
 
badilisha kwanza hiyo avatar yako ukitaka uwape elimu watu wenye akili TIMAMU..!
avatar yako inajieleza kila kitu kuhusu uwezo wako wa KUFIKIRI..!
ahsanteh...
Lugha gongana mkuu kamuone rasi simba aiseee
 
Mtoa post anaweza kuwa alikuwa director wa either TJD au Mwananchi production au Digital Art enzi zile. Anaweka camera studio msanii anaimba yeye anavuta sigara nje then anawaambia mkimaliza mnishtue. Wasanii wakimaliza anazima camera anaenda kuedit. Effects anabonyeza apply all shughuli imeisha kesho wanakuja kuchukua kazi yao.
Kamwe huwezi kumponda Adam. Amefanya mengi ktk tasnia. Kampuni nyingi zimekufa kutokana na ubora wa Adam. The likes of 2eyes,Benchmark etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom