Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Kwanini linapokuja suala la Dimondi lazima mumuingize na huyo Ali Kiba?? Hapa tunachojadili sio huyo Kiba and after all mimi sio mpenzi wa Ali Kiba wala mpenzi wa mziki... I just love good music ila linapokuja swala la kupambanisha ndipo nawaona nyote wa pande hizi mbili hamna maana... Nilishagombana sana na watu wa Ali Kiba humu kwa hichi hichi cha kumtukana Diamond.. Ukienda kwenye ule uzi wa sticky wa Ali Kiba utaniona nilivyosumbuana nao humu...Amini niliyokuambia kwamba yeye ndiye aliyekuwa msanii mwenye shoo yake na ndio alikuwa wa mwisho kuperfom. Usimchulie poa DIAMOND ni msanii mkubwa Afrika kwa sasa upende usipende ndio imeshakuwa hivyo ni kumpa presha kiba kwa kumlinganisha naye wakati hamfiki kwa lolote si kimuziki wala kifedha keshaachwa mbali sana tena sana.
Basi nikubali hiyo show Dimondi ndiye alikuwa Main Artist, basi tupe na show zingine za Lagos, Accra, Benin City, Pretoria, Durban, Cape Town, Windhoek, Maputo ambazo Dimondi amepiga huko kama Main Artist au Artist wa kawaida... Ondoa zile anazoperform kwenye Special Events.. Hapo ndiyo concern yangu ilipo. Hawa akina Davido, Wiz Kid wanapiga show kote huko..