Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

Nimesoma Comments za Watu wengi hapa lakini Nimeona wengi wapo kishabiki! katika Post yangu nimeainisha baadhi ya vitu vilivyo fanya hio video iwe mbaya.....Na sijajua ni gerage katolea au Wapi?

Watu wengi wanaiga kusema bila kujua walisemalo!

Kama unasema kuwa Ali Kiba katika video hii ya Lupela kaonesha Ubunifu wa hali ya juu kuliko video zake zingine baasi tuelewesheni sisi Tusio elewa kwa kutuonesha ubunifu alio ufanya ambao unafanya video ya Lupela kuwa nzuri Kuliko Ile ya Mwana!

mimi naweza kuwa napinga kwa kusema kuwa video mbaya lakini akitokea mtu akanielekeza na kunipa mifano kutoka kwenye Video ya Lupela na kusema hapa kuna ubunifu huu hapa na huu hapa ambao unafanya hii video iwe nzuri mimi nitaelewa!
 
VIDEO YA AIYOLA IMEFANYWA NA GOODFATHER, SOUTH AFRICA
VIDEO YA LUPELA IMEFANYWA MAREKANI NA MADAIREKTA WAKUBWA TENA
HEBU CHEKI VIDEO KAMA YA CHRIS BROWN DONT JUDGE ME, CHECK VIDEO KAMA YA CHRIS BROWN DEUCE, CHECK VIDEO YA NELLY JUST A DREAM, N.K
GIVE IT A TIME.

WAKATI WEWE UNATANGAZA KUMDHARAU MTU, JIULIZE MKUU YEYE ANAKUTHAMINI?
NASHAURI USISEME UNAMDHARAU TU, KABLA YA KUSEMA HIVYO UNGEWAHI KUANDIKA HAPA KWAMBA BWANA ADAM BADILIKA KTK UTAYARISHAJI WA VIDEO ZAKO KWA KUFANYA MOJA MBILI TATU INGEKUWA POA.

LINGINE, TUSILALAMIKE VIDEO MBAYA, TOA MAONI YAKO, VIDEO IMEKOSEWA WAPI???? ILI NEXT TIME AJIFUNZE KAMA KUNA KOSA...
MTVBASE WAMEPOSTI VIDEO INSTAGRAM JANA HALAFU NYIE MNALALAMIKA,
MSHAURI MWENZIO ABADILIKE KAMA ANAKOSEA...

BUT TO ME, HIYO NYIMBO IMETULIA NA VIDEO NI BABU KUBWA......
WATZ MUMEZOEA KUONA GHOROFA, MAJI, MELI, BEACH.....KUNA SIKU MTU ATAFANYA VIDEO PORINI MTAIDISI...

SANAA KAMA TAWI LA FASIHI HUBURUDISHA, HUELIMISHA N.K
Huwezi Linganisha Video za Chris na Kib wala ufanyaji wao wa Video kumbuka Chris brown yule ni Msanii International tofauti na Kiba ambae bado hajatoka nje ya mipaka! Juhudi anazo takiwa kuzifanya Chris Brown na wasanii wa aina yake ni tofauti na Juhudi atazo kuwa anazifanya Kiba....Mfano chris anaweza fanya video akiwa kitandani tuu na watu wakaipenda na kuuza sana lakini sio kiba akafanya Video kitandani!

Alikiba anahitaji kuwa mbunifu,mpambanaji na mtu wa kujifunza kutoka kwa wengine ili Afanye Vitu vizuri lakini kwa sifa za kijinga hizi mnazo mpa hawezi fikia Malengo atabaki kuwa msanii Tz

kama kuna kitu cha tofauti katika hio video ya Lupewa naomba niambiwe au ubunifu alio ufanya
 
Huyu mkosoaji hajui kitu..baada ya maelezo yake nimeitafuta hiyo video..ile ndio namna ilivyoandaliwa na haikukosewa imeamuliwa iwe tofauti..kikubwa ukosoaji wake umefanya watu waitafute na bila kujua ameipa promo ya bure.
dah! Nifah umeiona hii comment dadaake, watu wapo vizuri si mchezo
Na pia anatakiwa ajue style za underground.
Underground hawezi kutoa video kama ya Lupela coz wengi wao wanaimba sare sare na video pia wanatoa sare sare.

Ningemuelewa zaidi endapo angetoa tu maoni yake kuwa ye anaiona ni mbaya kwa mtazamo wake. Baasi!!
Eti kamdharau AJ kisa kasema ile ni video nzuri hahahaaa binadamu sie tuna matatizo yetu aisee!

Mi nadhani siku nyingine mtoa mada aje akawe director tuone makali yake!
nendeni youtube mkamuongezee kaka yenu idadi ya watu walioitazama LUPELA...
coz ikifika ijumaa mtajiraumu...
wakati wenu ni sasa,utumieni vizuri wakati huu...
tar 12/02/2016 sio mbali..!
 
Usikimbilia kucomment vitu bila kusoma..

Ebu soma hicho nilichoandika tena then uje kujibu sawa na nilichoandika..
wewe ndo unajifanya haujanielewa...
tuma shows ambazo ali kiba amefanya kama msindikizaji tu...
namaanisha shows ambazo ameshiriki tu katika hiyo miji uliyoitaja..!
 
Nimesoma Comments za Watu wengi hapa lakini Nimeona wengi wapo kishabiki! katika Post yangu nimeainisha baadhi ya vitu vilivyo fanya hio video iwe mbaya.....Na sijajua ni gerage katolea au Wapi?

Watu wengi wanaiga kusema bila kujua walisemalo!

Kama unasema kuwa Ali Kiba katika video hii ya Lupela kaonesha Ubunifu wa hali ya juu kuliko video zake zingine baasi tuelewesheni sisi Tusio elewa kwa kutuonesha ubunifu alio ufanya ambao unafanya video ya Lupela kuwa nzuri Kuliko Ile ya Mwana!

mimi naweza kuwa napinga kwa kusema kuwa video mbaya lakini akitokea mtu akanielekeza na kunipa mifano kutoka kwenye Video ya Lupela na kusema hapa kuna ubunifu huu hapa na huu hapa ambao unafanya hii video iwe nzuri mimi nitaelewa!
Hivi kwanini kila Ali Kiba anapotoa kitu kipya kinapondwa na kusifiwa cha zamani ambacho hapo mwanzo nacho kilipondwa?
Huku ni kutokujielewa....
Uzuri Ali Kiba mwenyewe wala hana habari na sisi mashabiki wake tunamuelewa....
Period.
 
Ni vema Ally K akapokea haya maoni positively ili aweze kukonga nyoyo za mashabaiki wake . km hii nyimbo ni nzuri bt video ....mm hhh kama 3D avatar cartoon.?! ! jirekebushe Mdau unampa dogo free milage coz akijikunja akatoa kitu tofauti ...sijui itakuwaje.Tatizo ni mitazamo tu you could have done it natural na idea za tembo ingekuwa poa sana.
 
Video mbovu mm niliingalia Jana sikuimaliza nikaitoa mana haikunishawishi
 
Hizi chuki za kijinga sana. Nilidhani utamponda AJ kwa sababu za kitaalamu kumbe tu kaisifia LUPELA. Huu ni ujinga wa hali ya juu na chuki zisizo na maana. Mleta mada kwa vyovyote vile huna exposure wala pesa. Maisha yako ni miserable ndo maana unapost mambo ya chuki.
 
Well said, binafsi sijui nyimbo ina maudhui gani. Mwenye kujua uhusiano wa Tembo na nyimbo ya Lepela snipe ufafanuzi pls
 
LUPELA YA ALIKIBA IME DIRECTIWA NA KAVIN DONOVAN ambaye ndiye director aliye direct movie ya TUXEDO ya JACK CHAN na ikauza more than $100 mllions

wewe ambaye hujawahi hata direct VIDEO YA BIRTHDAY uko hapa mstali wa mbele kuipinga kazi yake mtu aliyesomea kazi yake na kuifanya kiutaalamu wewe ambaye sidhani hata una certificate ya mambo ya filamu ila ndio wa kwanza kuizodoa video iliyotengenezwa na KAVIN

anyway Membe alijisemeaga WATANZANIA TUNAJIFANYA TUNAJUA KILA KITU



cv ya kavin hii hapa sidhani kwenye kizazi chako wewe unayoizoda hii video kuna mtu atakuja kuifikia hii CV
SIDHANI....


Filmmaker Kevin Donovan, whose commercials and music videos have garnered international recognition, made his feature film directing debut in 2002 with the Dreamworks action comedy The Tuxedo starring Jackie Chan and Jennifer Love Hewitt. The film has grossed over $100 million dollars to date, and is a favorite among young Kung Fu aficionados.

Kevin's storytelling style is subtle and intelligent. He takes great care in casting, adding an element of the unexpected to any idea. His training as a visual artist gives him the unique ability to sketch his own ideas and bring stories to life even before a frame has been shot.

Hailing from Montana, Kevin played football for Montana State University before pursuing his film career. He attended Art Center College of Design in Pasadena, then moved to New York, becoming an art director at Cliff Freeman and Partners, BBDO and J. Walter Thompson. The urge to direct and bring stories to life gained him tremendous success in the U.S., and international markets.

Kevin's numerous awards have included five Cannes Lions, and he has had over twenty commercials short-listed at the festival. In 2000 he won both a Silver Lion at Cannes for his University of California campaign, and a Bronze for "The Rant" for Molson Canadian, one of the most successful commercials in Canada's history. His most recent accolades include an award from the New York Film Festival for his satirical re-imagining of March Of The Penguins, a promotional short film for the Full Frame Documentary Film Festival. Kevin's work has been featured in AdCritic, Marketing, Shots, Boards, and Shoot magazines. His American Heart Association sixty-second spot aired twice in the 2007 Super Bowl.

Kevin's commercial clients have included Pontiac, Toyota, Pepsi, McDonalds, Coca Cola, Lever Brothers, Viagra, Wendy's, Sharpie, Planter's Peanuts, Nestea, Cadbury and Wild Aid. He recently completed a series of Ford Truck spots featuring country music phenomenon Toby Keith and "America's Dirtiest Jobs" host Mike Rowe.

Kevin continues to pursue directing and writing, both in features and commercials, and loves to bring his own brand of visual style to each project. He spends his time between residences in Los Angeles and Montana, and familiar hotels in Toronto and New York.
 
Haitaji kuwa mpishi ili kujua kama hiki chakula kibovu.
Final consumer haitaji kujua product inatengenezwaje, ila ana haki ya kui judge.
 
Mara nyingi ninapokutana na watu ambao hawajui na hawajui kwamba hawajui, Huwa nabaki kuwatizama. Maana ukiongea unaweza kupoteza muda ukidhani anakusikiliza na kuelewa, kumbe anasubiri umalize akujibu, hata ulichokiongea hajafanyia kazi. Video hii ni nzuri, mimi nimetazama Video Nyingi sana za Wasanii wa Tanzania, Nadhani hii ni Video yenye utofauti na usishangae ikachezwa Media Nyingi Zaidi Duniani.
So Big up Alikiba.
Ni ngumu sana kuendelea ikiwa watanzania wataendelea na hizi tabia za kuponda, kejeli na kutokujali. Ili tuendelee tunahitaji nguvu ya pamoja, Alikiba anastahili kupewa Sifa za kujitahidi kuendelea kufanya Vizuri, na Video zake zote zinaweza kutazamwa au kusikilizwa mwanzo hadi mwisho bila kumbughuzi yeyote yule. Enjoy the Music, Toka arudi alikiba ametoa nyimbo ya Mwana, Chekecha, Lupela. Amejitahidi sana ktk Video hizi mtu yeyote anaweza kuitazama video na familia yake nzima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom