playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Wakati wengine wanawaza ngoma zao kupigwa Chanell O na Trace ambazo kimsingi ni maalum kwa ajili ya burudani habari ni kwamba Ngoma Lupela ya King Kiba imepigwa kwenye Chanel ya CCTV ambayo kimsingi haijajikita katika masuala ya burudani. Hii maana yake nini basi?
Maana yake ni kwamba video hiyo si level za Tanzania wala Afrika ila ni levo za Dunia somo kwa ndugu zangu mnaowaza kwamba video nzuri ni YENYE MAUNO MENGI...
Tafadhali msiendelee kumfananisha KING KIBA na mambo ya kishenzi....

Punguza unazi basi, hiyo ni interview tu aliifanya siku ya kutambulisha hiyo nyimbo na ilikuwa imebase kwenye masuala ya hiyo wild aid project.