siyo hivo ndugu hembu angalia mafanikio kati ya alikiba na diamond katika mziki nani anamafanikio zaidi??nani kawa nominated zaid??na utuambie nani alikuwa mwepesi kubadilika kulingana na wakati kati yao???alikiba ana mashabiki wanafiki wengi ndo walewale wanacheka mchana usiku wapo wapo white party kwa diamond.......diamond anasikiliza ushauri na kutendea kazi alikiba hata kama anashauriwa sio mwepesi kunyumbuka kuendana na watu wanavyomshauri,we niambie alikiba kaaanza lini mziki kusikika hadi leo muanze kumshindanisha na diamond???alitakiwa awe na heshima kama AY wakina diamond wanawakuta kwenye game wanawapa heshima zao ndio kaka wanaiga kutoka kwao sio leo eti alikiba ndo anaiga eti kutoka kwa mtu aliyechipukia anamuonaHilo sina shida nalo, ila kuonekana watu walewale ndio wanaokashifu kazi za Ali Kiba kila siku na kusifia za Diamond bila kukosoa chochote ndio kuna walakini... Au za Diamond huwa hazinaga kasoro kabisa??
Huu ubishi wa hizi pande mbili sana sana tuwaachie wadada... Mwanaume mzima kusubiri mwanamme mwenzako afanye kazi then uanze kukosoa ni ujinga...
wasanii walioanza muda ni kiba pekee ausiyo hivo ndugu hembu angalia mafanikio kati ya alikiba na diamond katika mziki nani anamafanikio zaidi??nani kawa nominated zaid??na utuambie nani alikuwa mwepesi kubadilika kulingana na wakati kati yao???alikiba ana mashabiki wanafiki wengi ndo walewale wanacheka mchana usiku wapo wapo white party kwa diamond.......diamond anasikiliza ushauri na kutendea kazi alikiba hata kama anashauriwa sio mwepesi kunyumbuka kuendana na watu wanavyomshauri,we niambie alikiba kaaanza lini mziki kusikika hadi leo muanze kumshindanisha na diamond???alitakiwa awe na heshima kama AY wakina diamond wanawakuta kwenye game wanawapa heshima zao ndio kaka wanaiga kutoka kwao sio leo eti alikiba ndo anaiga eti kutoka kwa mtu aliyechipukia anamuona
Mimi simshindanishi yeyote kwa yeyote... Hao wote wanasaka maisha, tatizo ni nyie mashabiki ambao kila kukicha kutukanana huku kwenye mitandao... Ali Kiba analijua hilo na Diamond pia analijua na wote wananufaika kwenye hilo bifu lao... Hii inanikumbusha miaka ya nyuma kule US 50 Cent alikuwa na beef na Nas na Fat Joe na alilifanya hilo kibiashara likampa faida kubwa tu. Ila mwisho wa siku wote hao wakaja kupatana... Nyie mtakaa hapa kutukanana ila wote hao wanafaidika na hiyo hali kwa namna moja au nyingine ila mwisho wa career zao mtawaona wakikaa pamoja wakigonga glass..siyo hivo ndugu hembu angalia mafanikio kati ya alikiba na diamond katika mziki nani anamafanikio zaidi??nani kawa nominated zaid??na utuambie nani alikuwa mwepesi kubadilika kulingana na wakati kati yao???alikiba ana mashabiki wanafiki wengi ndo walewale wanacheka mchana usiku wapo wapo white party kwa diamond.......diamond anasikiliza ushauri na kutendea kazi alikiba hata kama anashauriwa sio mwepesi kunyumbuka kuendana na watu wanavyomshauri,we niambie alikiba kaaanza lini mziki kusikika hadi leo muanze kumshindanisha na diamond???alitakiwa awe na heshima kama AY wakina diamond wanawakuta kwenye game wanawapa heshima zao ndio kaka wanaiga kutoka kwao sio leo eti alikiba ndo anaiga eti kutoka kwa mtu aliyechipukia anamuona
avatar yako inajieleza kila kitu..!Kama Kiba sio staa mbona mnamzungumzia?
Wapo wasanii Bongo kwa nini iwe ni Kiba?
Kiba alichukua likizo ya miaka miwili bila kutoa kibao. Kurudi karudi with a bang!
Mwana, chekekecha cheketua, lupela,,,.
Si Diamond apumzike mwaka mmoja. Tuone kama bado atapeta! Nafikiri hata uzi wake utafutwa. Wapo ambao hawakupumzika. Walinganisheni na baba yenu Diamond.
Mkuu waache wamalize hasira zao unawapa kichwa burekwani kiba anashindana na mondi, mbona umetoa hukumu mwenyewe, ungeweka uzi watu watiririke
usijali mkuu, nimeamua tu leo kupita hapa, wacha tuenjoyMkuu waache wamalize hasira zao unawapa kichwa bure
Song=wimbo(umoja singular).hii nyimbo mpya ya ali kiba lepela inanifanya namaliza sana chaji ya simu yangu,nikiwa nyumbani mpaka majirani wanasema nasumbua ki ukweli i like this song,big up ali k kwa kutekenya akili yangu namna hii.
nb.sina timu napenda kazi nzuri.
ndio nini hii ushalewa na wewe?Song=wimbo(umoja singular).
Songs=Nyimbo(Wingi plural).
HahahahahaahhahaaaaaaaaKiswahili kinanipa shida kidogo mkuu sio lugha yngu
Defensive mechanism.... Nkuweke sawa HATUCHUKUI WALOZAA hahahahaaaaaawabongo tushazoea mondi anaimba afropop zile za tudd na kiba anaimba zouk-rhumba zile za manwater, sasa now abidady kanipigia beat moja ya kibabe sana ya electro, mziki ambao hatujauzoea
Defensive mechanism.... Then HATUCHUKUI WALOZAAKwa Malkia Kiba kilichobaki tu sasa ni kusubiri Domo na Zari wamwagane ndipo aopoe Zari aitwe "King of Mizoga" na kuandikwa magazetini.