Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.
Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.
Labda kama lengo la video ni kutetea Tembo, lakini kama ni ya kushindana na Diamond ni sawa baiskeli dhidi ya piki piki.
![]()
Video haina scene mbali mbali yaani mi dada hyo hyo mwanzo mwisho, minlifikir anaonyesha movie jukwaan kumbe video..hapa na mm kanichosha
Eti huyu nae kaongea jamani!Huu uhuru wa kutoa maoni unatufanya tuwe wendawazimu.
Sijaona chochote cha maana katika post yako hii zaidi ya chuki 'A One'.
Adam Juma kaipa sifa zake kitaalamu wewe unaleta story zako za ujuzi wa mitaani....WTF?
Aaaaaah kazi kweli kweliMkuu mi nahisi Diamond atakuwa amefanya figisufigisu video itoke mbaya au unasemaje? Kwasababu kuna watu wanatumia pesa nyingi sana ili King azidi kuwa nyuma kama vitobo vya mkasi...
Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.
Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.
Labda kama lengo la video ni kutetea Tembo, lakini kama ni ya kushindana na Diamond ni sawa baiskeli dhidi ya piki piki.
![]()
kwani huu ni mwaka gani jirani yangu..!?KTMA naziona nyingi tu zikielekea tena kwa ally kiba nyie mpondeni na mwaka huu hata tuzo za nnje kwa domond sizioni kwa nyimbo gani hasaa labda Yeye na zari wajipigie kura
kuwa serious kidogo mkuu...Kwani hiyo video inatofauti gani na ile ya diamond ya nana
hahahahahaaaa,imenibidi tu nicheke ndugu yngkuwa serious kidogo mkuu...
hata kama ni UTANI huu umepitiliza sasa..!
Aisee huu ubunifu wake mi naupenda sana sio kufuata mikumbo tu hakuna ulazima wa vidio kufanana na unachoimba good sana ally kiba kwa ubunifu wa kipekee ndio maana tunakuita king wa muziki bongo hakuna kama weweKiba bhana sijui karogwa na nan,,hapo anaona ni Bonge la video haina hata quality,,kwenye ukwel tuseme bhana angalie vizur madarecta wake