taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 541
Nalipongeza Jeshi la Tanzania kwa kushirikiana na interpol kwa kumuweka Huyu mfanyibiashara maarufu mikononi, ila angalizo - money can buy anything!
Ingependeza Kama wangepewa interview live ili ijulikane Nani hasa aliyefanya Yale mauaji ya Yule Kijana Na kutoa utata Wa Papa Msofe kuendekea kuwekwa ndani
Amekamatwa baada ya kuchelewa kuwasilisha fungu la kumi kwa watawala ama imekuwaje. Mwaka 2006 wakati Kikwete anajenga uzoefu wa kuishi jumba jeupe umma wa Watanzania uliambiwa kuwa mtu huyo huyo (AM)amewekwa chini ya uangalizi wa polisi-ccm; sijui huo uangalizi uliisha vipi na lini hadi leo awe mtu wa kutafutwa na polisi wa kimataifa.
EE MWENYEZI MUNGU LINUSURU TAIFA LAKO LINALOELEKEA KUANGAMIA NA KUYEYUKA HARAKA KAMA BONGE LA BARAFU MIKONONI MWA MTAWALA WAKE