Alex Massawe kakamatwa!

Alex Massawe kakamatwa!

Jamaa yupo sauz na dubai ndio makazi yke kuna video yake nayo ila kutuma nashindwa
Ni kweli kuwa aliwahi kukoswakoswa kupigwa pingu Dubai,ila alifanikiwa kuepuka mtego na hatimaye kurudi sauzi!! Interpol waliboronga pale emirate,wakamwachia mwanya bila kujua,na walipokuja kujua kosa lao jamaa alishatambaa zake kitamboooo.
 
Mkuu alex ni citizen wa dubai kwahiyo amewekeza pale na dubai hawana makubaliano n interpol muda mwingi yupo dubai kuliko sauz
 
[QUOT

E=Ukwaju;12027620]Christopher Alex Massawe sio mtoto wa Kidumbuyo (Alex Massawe)
ila ni mtoto wa Dominic Massawe wa Dodoma, alizaliwa Dodoma kusomea na kuanza mpira Dodoma kabla ya Simba[/QUOTE]

Msipende kujibu vitu ambavyo hamvijui,kidumbuyo anaingiaje kuwa Alex Massawe??????kwa kukusaidia tu Kidumbuyo ukoo wake ni Mallya na hawana uhusiano na huyo Alex
 
Back
Top Bottom