Alex Massawe kakamatwa!

Alex Massawe kakamatwa!

una maanisha nini wapewe interview live? Wewe unafikiri tuhuma za mauwaji zinkajibiwa kwenye vyombo vya habari!..ili iweje? Umaarufu pembeni wakanyee debe, mahakama ndiyo itaamua nani muuwaji!
rekebisha hapo kidogo alex masawe ni jambazi maarufu hakuna asiejua malipo duniani, tunachoomba sheria ifate mkondo wake ifikie mahali watu clonic kama haw pesa zao ziwafunge na sio ziwape uhurua kila siku.
 
Kwanza nianze kuhakikisha hii habari kuwa ni kweli hata East Africa Radio wameirusha mda si mrefu. Alex Massawe anakabiliwa na tuhuma za mauwaji ya mfanyabiashara ambayo pia Papaa Msofe anahusika. Habari zilizopo ni kuwa mfanyabiashara aliyeuliwa alikopa fedha (inasemekana ni kama mil 200, ila sina uhakika na hii amount) kutoka kwa ALex massawe na akaweka bond nyumba yake iliyopo maeneo ya magomeni. Akamkabidhi Alex masawe hati ya nyumba ikiwa ni sehemu ya mkataba wa mkopo huo. Mfanyabiashara alipotaka kurizudisha zile fedha Alex massawe akawa anapiga chenga hataki kuzipokea kwa madhumuni ya kuupitisha muda riba iwe kubwa jamaa ashindwe kulipa halafu ajihalalishie kuichukua nyumba. Marehemu akawa mjanja akaenda kuiwakilisha zile fedha kwa mwanasheria aliyewafungia mkataba wa mkopo. Baada ya Alex massawe kuona anazidiwa ujanja ndo akaanza kutumia mabavu na kumuuzia ile nyumba Papaa msofe ilihali akijua hana umiliki halali. Baada ya mfanyabiashara kuuawawa, papaa msofe ndo akawa anaighasi familia ya marehemu kuwa hiyo nyumba kashauziwa hivyo watoke na atakuja kuwatoa kwa nguvu. Mke wa marehemu akaenda moja kwa moja kwa Said Mwema na kuilezea habari nzima nzima tangu makubaliano ya mkopo na kuuliwa kwa mumewe na vitisho anavyopata toka kwa wauwaji wa mumewe. Kifupi hili ndo saga lenyewe na kesi ya Papa msofe ilikuwa haiwezi kwenda popote hadi alex massawe atapopatikana kwa sababu ni mtuhumiwa mkuu pia kwenye kesi hii.


umeeleza vizuri sana,nahis ulivyokuwa mdogo ulikuwa bingwa wa kusimulia movie
 
kwanza nianze kuhakikisha hii habari kuwa ni kweli hata east africa radio wameirusha mda si mrefu. Alex massawe anakabiliwa na tuhuma za mauwaji ya mfanyabiashara ambayo pia papaa msofe anahusika. Habari zilizopo ni kuwa mfanyabiashara aliyeuliwa alikopa fedha (inasemekana ni kama mil 200, ila sina uhakika na hii amount) kutoka kwa alex massawe na akaweka bond nyumba yake iliyopo maeneo ya magomeni. Akamkabidhi alex masawe hati ya nyumba ikiwa ni sehemu ya mkataba wa mkopo huo. Mfanyabiashara alipotaka kurizudisha zile fedha alex massawe akawa anapiga chenga hataki kuzipokea kwa madhumuni ya kuupitisha muda riba iwe kubwa jamaa ashindwe kulipa halafu ajihalalishie kuichukua nyumba. Marehemu akawa mjanja akaenda kuiwakilisha zile fedha kwa mwanasheria aliyewafungia mkataba wa mkopo. Baada ya alex massawe kuona anazidiwa ujanja ndo akaanza kutumia mabavu na kumuuzia ile nyumba papaa msofe ilihali akijua hana umiliki halali. Baada ya mfanyabiashara kuuawawa, papaa msofe ndo akawa anaighasi familia ya marehemu kuwa hiyo nyumba kashauziwa hivyo watoke na atakuja kuwatoa kwa nguvu. Mke wa marehemu akaenda moja kwa moja kwa said mwema na kuilezea habari nzima nzima tangu makubaliano ya mkopo na kuuliwa kwa mumewe na vitisho anavyopata toka kwa wauwaji wa mumewe. Kifupi hili ndo saga lenyewe na kesi ya papa msofe ilikuwa haiwezi kwenda popote hadi alex massawe atapopatikana kwa sababu ni mtuhumiwa mkuu pia kwenye kesi hii.
inauma kuyashuhudia haya
 
weka wazi habari ili tukusome mdau, kwa kweli nimekosa uhondo.

Hii preface yaweza kuwa msaada:

Businessman charged with murder Saturday, 11 August 2012 11:25 By Rosina John

The Citizen Correspondent

Dar es Salaam.
[/COLOR]

A prominent Dar es Salaam businessman, Abubakar Marijanii, alias Papaa Msofe, was yesterday charged with the murder of fellow businessman Onesphory Kituly November last year. Mr Marijani, 50, is alleged to have murdered Kituly, 54, with whom he had been at loggerheads over a parcel of land in a dispute dating back to 2007. The businessman was brought to court around 9.30am under tight security and spent two hours at the Kisutu Resident Magistrate’s Court remand cell before formal charges were read against him.Mr Marijani, who maintained a calm face throughout the court proceedings, was not allowed to enter a plea until the case is transferred to the High Court.

State Attorney Tumaini Kweka told resident magistrate Agnes Mchome that Mr Marijani murdered Mr Kituly at his Magomeni Mapipa home on November 6, last year, in Kinondoni District.Mr Marijani was taken into custody nearly two weeks ago in connection with Kituly’s murder that shocked and left neighbours in fear.

Before the brutal murder, Mr Kituly had sued Mr Marijani and two others for allegedly defrauding him of a Sh600-million house at Mikocheni medium density area.Mr Kituly had told the court that Marijani and other defendants in the property suit had fabricated a sales deed that showed he had sold the Mikocheni house to one of them. Donning blue jeans and checkered shirt, the accused was asked not to enter any plea because the court did not have jurisdiction to try murder cases but conduct preliminary inquiries.

He will remain in custody until the case comes to an end as the offence he was being charged with does not qualify for bail. The case will come for another mention on August 23, this year. The land dispute between the accused and the deceased dates back to 2003 when Mr Kituly was advanced with a Sh30million loan by one of Msoffe’s friends. The loan was to be returned in six months.

As a security for a loan, Kituly mortgaged his Mikocheni house and repaid the loan but the defendant neglected to return the title deed. Facts of the case had it that one of the accused in the case fraudulently sold the house to Mr Marijani through the use of a forged sale agreement and title deed. After Mr Marijani acquired the house from his friend, he sued Mr Kituly in the High Court for, among other things, seeking an order that Mr Kituly vacate the premises and pay for general damages. But in an interesting turn of events, Mr Marijani instructed a court broker to evict Mr Kituly from his home.

A week before his death, the High Court had set a date to start hearing the case in which Mr Kituly had sued Mr Marijani and two others for unlawfully acquiring and evicting him from his house. He had asked the court to order the return of the certificate of title and all other properties worth over
Sh500million.

On the fateful day, around 7pm, a lone gunman shot the 54-year-old Kituly more than five times in the chest, stomach and chin outside his home in Magomeni Mapipa, Dar es Salaam. Family members then told The Citizen on Saturday he was gunned down in cold blood in front of his daughter, as he prepared to drive into his compound. He later died from his wounds at Muhimbili National Hospital (MNH). The Citizen on Saturday has since learnt that Msofe is the current occupant of the contested house.
 
  • GetPicture-58161894.jpg
w_icone_petite.png
MASAWE, ALEX SIRIAMAKA
Wanted by the judicial authorities of Tanzania for prosecution / to serve a sentence
[h=3]Identity particulars[/h]


[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[TR]
[TD="class: col1"]Present family name :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]MASAWE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Forename :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]ALEX SIRIAMAKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Sex :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]Male[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Date of birth :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]30/06/1956 (57 years old)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Place of birth :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] MOSHI, Tanzania [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Language spoken :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] English, Swahili [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Nationality :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] Tanzania [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[/TABLE]

[h=3]Charges Published as provided by requesting entity[/h]


[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[TR]
[TD="class: col1"]Charges :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] MURDER
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]Photos[/h]



[h=3]If you have any information please contact[/h]

Your national or local police
General Secretariat of INTERPOL
 
Nalipongeza Jeshi la Tanzania kwa kushirikiana na interpol kwa kumuweka Huyu mfanyibiashara maarufu mikononi, ila angalizo - money can buy anything!

Ingependeza Kama wangepewa interview live ili ijulikane Nani hasa aliyefanya Yale mauaji ya Yule Kijana Na kutoa utata Wa Papa Msofe kuendekea kuwekwa ndani

Kuna kijana ameuawa? Huyu Papaa Alex Massawe ndo nani ukiacha definition ya mfanyabiashara maarufu?
 
  • GetPicture-58161894.jpg
w_icone_petite.png
MASAWE, ALEX SIRIAMAKA
Wanted by the judicial authorities of Tanzania for prosecution / to serve a sentence
Identity particulars




[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[TR]
[TD="class: col1"]Present family name :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]MASAWE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Forename :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]ALEX SIRIAMAKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Sex :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]Male[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Date of birth :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]30/06/1956 (57 years old)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Place of birth :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] MOSHI, Tanzania [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Language spoken :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] English, Swahili [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Nationality :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] Tanzania [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Charges Published as provided by requesting entity




[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[TR]
[TD="class: col1"]Charges :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] MURDER
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Photos





If you have any information please contact



Your national or local police
General Secretariat of INTERPOL

Huyu jamaa amemuua nani jamani? Mi sina habari juu ya huyu mtu ila nasikia ni maarufu sana Tanzania hii kwa utapeli na ujambazi. Kweli?
Inasemekana anahusika na kesi ya Papaa Msoffe. Ni kweli?
Kesi gani?
Nadadisi tu kama una majibu na details za huyu mtu naomba
 
mathawe mathawe mathawe,unaiba mbusi,unalia kama mbusi.
 

Mkuu Private Candidate hebu tuwekee hadithi nzima ya kuunganisha dots za kesi yake maana mimi naona gap kubwa sijui kitu hapa.

taaarifa hii nimeiskia kwenye moja ya redio asb ya leo wamesema sijui aliua mtu akakimbilia nje kakamatwa akiwa airport. sikuwa makini kuskiliza vizuri ni nchi gani alikokamatiwa kwasabbau waliweka online kamisna wa makosa ya jinai hivyo akawaanaongelea hili live but redio ilikuwa na mwangi sana sikumskia vyema
 
Wakuu. Ngoja niongeze nyama kidogo kwa kunukuu baadhi ya maandishi ya gazeti la Mwananchi la leo.


"...Mkuu wa la Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Gustav Babile aliliambia gazeti hili jana kwamba Massawe alikamatwa kati ya Juni 20 na 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai akitokea Afrika Kusini. Babile alisema hivi sasa walikuwa wanaandaa taratibu za kumrudisha nchini ambako amekuwa akisakwa kwa muda mrefu."


Kwa undani zaidi soma kupitia kiunganishi hicho hapo chini:

Interpol yamtia mbaroni Alex Massawe Dubai - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
Kama ni kweli, mtandao huu kwishney

ni kweli kwamba amekamatwa na hata kamishana wa makosa ya jinai wamesema tayari wanafanya utaratibu wa kumsafirisha ili kuja kusomewa makosa yake. kwangu mimi hawa matajiri wafanya biashara ambao wanapata hela zao kwa njia za utata sijui kwann nchi imeendelea kuwalea mpaka wa leo. mbaya zaid wachaga wengi hii kwao ni kawaida yaani watu wana hela ambazo hazijulikani uhakika wake na zimepatikana vipi kumbe wizi tu.
 
Christopher Alex massawe,alikuwa.mchezaji wa simba huyu jamaa ni mshuwa wake?

Huyu ni msure wake ,na christopher nae kwa mara ya mwisho alikamatwa ameiba gari la JWTZ like son like father

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Back
Top Bottom