m83
Senior Member
- Jun 9, 2017
- 100
- 3
hata yesu kaumbwa na ALLAH itakua wewe .Ndugu mm nimeumbwa ila sio na Allah
hata yesu kaumbwa na ALLAH itakua wewe .Ndugu mm nimeumbwa ila sio na Allah
unaona umeshindwa unaanza matusi😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 naona ushaanza kuumbuka kwa hiyo anaweza apa hata kwa mbo 😀 😀 😀 kweli allah ni pepo
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
baba yake na muhammad aliitwa Abdallah yaani mja wa allah, na babu yake muhammad aliitwa abdul mutaleeb yaani mja wa kutafuta, sasa swali ni kwamba kama babu yake muhammad alikua kafiri na ana abudu masanam ndani ya qaaba alimjuaje allah mpaka kumwita mwanae abdallah wakati yeye alikua kafiri na alikufa kaffiri? mi nadhana huyu allah ni zaidi ya tunavyomjua au anvyoelezewa nahitaji mwenye ilmu kubwa zaidi anifafanulie katika hili...Usishangae huyo atakuja kuuliza mbona rangi za misikiti tofauti? Au atasema mbona misikiti haina gorofa.... Ndo akili za wale wanaonda kanisani wakitolewa mapepo kwa kupigwa ngoma au padre akifanya moonwalk pepo linakimbia...utacheka ukiona wanavosanifiwa
allah ni shetani katika umbile la mungu mwezi
ALLAH akupe fahamuduuuuuuuh 😀 😀 😀 😀 😀 kweli kazi ipo
majibu majibu tu huna jipyakwanini nyota na mwezi? je wazo hilo lilitolewa nani na kwa nini? umetoa majibu mepesi saana ambayo yanazaa maswali mengi zaidi?
Nafikiri kwa busara ni vizuri kuwaachia wenye dini yao wajisemee wenyewe na sio kuwasemea tena kwa kashifa kwaniThink twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
baba yake na muhammad aliitwa Abdallah yaani mja wa allah, na babu yake muhammad aliitwa abdul mutaleeb yaani mja wa kutafuta, sasa swali ni kwamba kama babu yake muhammad alikua kafiri na ana abudu masanam ndani ya qaaba alimjuaje allah mpaka kumwita mwanae abdallah wakati yeye alikua kafiri na alikufa kaffiri? mi nadhana huyu allah ni zaidi ya tunavyomjua au anvyoelezewa nahitaji mwenye ilmu kubwa zaidi anifafanulie katika hili...
pili kwanini muhammad kipindi anaishi na yule mwanamke tajiri na aliemshinda umri almaarufu kama hadija ambae alianza mahusiano nae baada ya kua anamtuma tuma kwenye biashara zake na hatimae akaamua amdhibiti kabisa huo kijana mdogo wakati yeye akimzidi zaidi ya miaka 20.....ilikuaje kwa muda wote huo muhammad hakuoa mpaka huyo mama tajiri alivyokufa na kumuachia mali zote ndipo akaoa wanawake mpaka zaidi ya 10? na iweje awaambie waislam wenzake mwisho wa 4 wakati yeye alioa hadi 13?
hapo kuna ukakasi mwingi nahitaji tushindane kwa hoja tu na sio povu na mihemko ya kijihadi jihadi utafikiri tupo ikwiriri.[/QUO
kwani wakati nyie makafiri mkisema mungu wangu mnakua mnajuaje mungu ?
ndio ishara ya msalaba ni ya shetani pale alipotoa ahadi kwa ALLAH alipoafukuzwa mbinguni sababu ya kukaidi amri na kusema nita wapote kupitia mbele yao nyuma yao kulia kwao na kushoto kwao so hapo unapata alama ya upotevu nayo msalaba .Nafikiri kwa busara ni vizuri kuwaachia wenye dini yao wajisemee wenyewe na sio kuwasemea tena kwa kashifa kwani
Ukianza kuwatukana eti wana amini shetani??? hata wao watakuambia kuwa ishara ya Msalaba ni ya Kishetani kwani watu huvaa na kuamini kuwa ni ulinzi nk? kwani Yesu alivaa Msalaba??? kuvaa msalaba ilikuja baada ya Yesu hivyo nahisi haina baraka za Yesu.
Wewe upo dini gani isiyokuwa na Alama?
Ni vizuri BUSARA ya hali ya juu itumike pale mtu anapoongelea Imani za watu wengine na cha msingi zaidi sio LAZIMA kuchangia!
Yesu kristo ni mwanawa Mungu alie hai!!hata yesu kaumbwa na ALLAH itakua wewe .
Allah yupi ampe fahamu?ALLAH akupe fahamu
yesu si kristo na si mwana wa mungu na rejea katikam qur'an aya ya 42 paka aya ya utaona maryam mama wa yesu anaambiwa kabla yesu hajazaliwa inasema pindi waliposema malaika kumwambia maryam hakika mwenyezi mungu amekuchagua wewe na amekusafisha juu ya wanawake wote wa dunia 42.eeeeh, maryam omba kwa mola wako na umsujudie mola wako na urukuu kwa mola wako pamoja na wenyekurukuu 43.Yesu kristo ni mwanawa Mungu alie hai!!
yesu si kristo na si mwana wa mungu na rejea katikam qur'an aya ya 42 paka aya ya utaona maryam mama wa yesu anaambiwa kabla yesu hajazaliwa inasema pindi waliposema malaika kumwambia maryam hakika mwenyezi mungu amekuchagua wewe na amekusafisha juu ya wanawake wote wa dunia 42.eeeeh, maryam omba kwa mola wako na umsujudie mola wako na urukuu kwa mola wako pamoja na wenyekurukuu 43.
al-imran aya ya 59. hakika mfano wa yesu kama mfano wa adam hakika tumemuumba kwa mjanga kisha akasema ALLAH kua akawa binadaam.Yesu kristo ni mwanawa Mungu alie hai!!
sanam zilikuepo kabla muhammad kuja duniani na ndio ALLAH akamleta muhammad kuja kuondoa dhulma zote.Ni kweli mussa alikataa kuabudu sanam mi mwenyewe huwa sielewi uhusiano wa hizo sanam na munngu
baba yake muhammad alikufa kabla ya mwanae kuzaliwa na hakua katika washirikina wanao abudu sanam na mkewe sababu ALLAH alikwisha waandaa kuto fanya hivyo sababu wao ni wazizi wa kiumbe bora dunia nzimaAllah yupi ampe fahamu?
Quran 34:44 Wala (hawa waarabu) hatukuwapa vitabu(kabla ya kitabu hiki wakawa)wanavisoma. Wala hatukuwapelekea muonyaji kabla yako.
Allah Mungu km wanavyoamini waislam hakuwapa waarabu kitabu kabla ya Quran. Hii ina maana kuwa muhamad tokea alipozaliwa hadi kufika miaka 40 hakujua hbr ya vitabu pamoja na waarabu wenzake wote hawakujua.
Tena ukisoma ufafanuzi wa Suratul al-Furqan aya 43 kuna maneno haya “ Waarabu kwa ujinga wao wa kuabudu chungu ya miungu walikuwa baadhi yao wakiona chochote kile kikawapendeza, hukiabudu hata Andazi lililokaa kwa sura nzuri.
Swali kwanini Baba yake Muhamadi anaitwa Abdallah yaana, mja wa Allah. na wakati yeye alikuwa ana abudu Mungu mwezi ? unaweza vipi kututofoutishia Mungu Allah wa Muhamad na Mungu Allah wa baba yake Muhamadi?
Usiwe mgumu kuelewa ndugu. Ni kweli mimi nimeumbwa ila sijaumbwa na mungu allahhata yesu kaumbwa na ALLAH itakua wewe .