Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Unaekekea uko deep kiasi, m Luna msomi mmoja niliwahi kumuuliza akaniambia kua nyota na mwezi vinaonekana katika uiskam kama shahidi aliyeshuhudia kruan tukufu ikishuka, kwani ikishuka using was manane na shahidi pekee aliyekuepo no nyota na mwezi tu.
Aliyeiona mara ya kwanza hakuwa shuhuda naye achorwee
 
kweli wewe bashite aiseee ni rahsi kumfundisha mwanafunzi wa darasa la kwanza akaelewa kichina kuliko kumfundisha mwanafunzi wa madrasa kujua kusoma japo kiswahili

KWANI WEWE UNAUELEWAJE NENO UJUMBE

hv mtume wako alipewa wahyi au kitabu HALAFU MKIITWA VILAZA MLIOKARIRISHWA ILIM AKHERA MNATAKA KUJILIPUA

jibu maswali acha taarabu
Hutaacha kulalama.
Ni kikwambia ujumbe wangu umekufukia nimemaanisha kitabu changu kimekufikia?
Thibitisha madai yako ujumbe lazima uwe kitabu ili uwr na swali lililo hai. Maswali yako umeyaua kwa kushindwa kuthibitisha hilo na kama utatbitisha mtego ulokutega lazima ukufyatukie.

Utahangaika sana Kusoma tafsiri ya Quran ila huwezi kukuta kasoro ya kuja nayo mbele za wanaume wa elimu.
Hapa upo na mwanaume wa elimu lete uthibitisho swali lako liwe hai.
Na narudisha maswali yangu naona unayakwepa kwa kusema hujajibiwa wakat umeliua swal lako mwenyewe
 
Jibi yafuatayo.
Ukristo ni nini?
Ukiristo umeanzia kwa nani?
Ibrahim alikua dini gani?
Thibitisha uwepo wa itikadi ya utatu kabla ya kuja Yesu.
Yesu alikuja kwa ajili gani?
Akafa msalabani kwa sababu gani?
Kisha mengine yatakuja

Maswali ni hayo sasa jiulize majibu uloweka ni ya swali lipi katika ya hayo.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseee kweli allah anakazi naona bado unasimamia maneno yake ya kuipigania dini

LABDA NIKUELEWESHE TU KIUFUPI MIMI SIKO HAPA KUIPIGANIA DINI NIKO HAPA KUMTANGAZA YESU ILI UOKOKE MAANA YEYE NDIYE NJIA NA KWELI NA UZIMA NA ALLAH SIO MUNGU sasa unavyolazmisha nikwambie sijui ibrahimu dini gani hayo hayatakusaidia la msingi uokoke utoke kwenye vifungo vya dini sababu dini haikupeleki mbinguni ila Yesu ndiye anayetakiwa kufuatwa sababu yeye alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata Adamu

Yohana 8: 58 Yesu akawaambia, ‘‘Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, ‘Mimi niko’.

Yesu katika Yohana 8 aya 58 anakiri na anatuambia kuwa yeye aliishi kabla ya kuzaliwa. Hivi kama kweli Yesu ni binadamu wa kawaida, itakuwaje aishi kabla ya Abraham? Hakuna Nabii au Mtume au mtu yeyote yule aliye dai kuwa aliishi kabla ya kuumbwa.

Endelea kusoma:

Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

SASA WEWE KAZANIA UKRISTO SIO DINI WAKATI SHULENI UKIAMBIWA UZITAJE DINI ZA DUNIANI wa kwanza kuutaja ni ukristo

KUMBUKA MIMI SIKUULIZI MASWALI SABABU NILIYOKUULIZA HUJAWEZA KUYAJIBU ILA UKAISHIA KULIALIA KAMA BASHITE ETI NAWATUKANA
Swala la kwamba swali nilokuuuliza litanisaidi au laa wewe halikuhusu. Wewe jibu swali ulilo ulizwa. Kusema hivyo ni moja ya njia za kukimbia swali.
Pili kuoka kumeanza kwa nani?
Ikiwa mtu hajaokaka atapata uzima wa milele?

Ikiwa Yesu ndo alieuleta ukiristo watu wa kabla yake waliokoka?
Walikua dini gani?
 
Umewahi kujiuliza kwa nini kitabu chenu hakina mtiririko unaoeleweka?
Kwa nini ipo vipande vipande?

Waliingiza kwenye hicho kitabu habari za torati walizokuwa wanazisikia toka kwa Wayahudi. Walidhani kwa kufanya hivyo ingekuwa rahisi kuwashawishi wayahudi waache kumwabudu Mungu wa baba yao Ibrahimu na kuufuata uislamu.
Ndiyo maana muhmd alipoenda kwa wayahudi na kuwaambia hizo habari za uislamu,,,mambo aliyokuwa anasema kwa habari ya torati (tora) walishangaa anaongea tofauti na torati, yaani alikariri na hakuwa anaweza kuelezea vizuri kwa usahihi. Kwa kuona hivyo wayahudi wakamkataa.
Baada ya hapo akarudi madina na wakabadili kibla, wakaanza kusujudu kuelekea mecca wakati hapo mwanzo kibla ilikuwa yerusalem
Huna ulijualo.kaa kimya au ulete uthibitisho wa madai yako.
Pili. Msaidie mwezako kujibu maswali yangu acheni kurukaruka huku na kule
Mmeleta maswali mmebainishiwa kazi kwenu sasa lete majibu ya maswali haya.
Ukristo umeanza lini?
Umeletwa na nani?
Waliopita kabla ya Yesu akiwemo Abraham alikua dini gani?
 
Hutaacha kulalama.
Ni kikwambia ujumbe wangu umekufukia nimemaanisha kitabu changu kimekufikia?
Thibitisha madai yako ujumbe lazima uwe kitabu ili uwr na swali lililo hai. Maswali yako umeyaua kwa kushindwa kuthibitisha hilo na kama utatbitisha mtego ulokutega lazima ukufyatukie.

Utahangaika sana Kusoma tafsiri ya Quran ila huwezi kukuta kasoro ya kuja nayo mbele za wanaume wa elimu.
Hapa upo na mwanaume wa elimu lete uthibitisho swali lako liwe hai.
Na narudisha maswali yangu naona unayakwepa kwa kusema hujajibiwa wakat umeliua swal lako mwenyewe
gazeti reeeeeeeeefu majibu kisoda

WAHYI au KITABU maaana kwa ibrahimu kumekushinda umehamia kwingine
 
Swala la kwamba swali nilokuuuliza litanisaidi au laa wewe halikuhusu. Wewe jibu swali ulilo ulizwa. Kusema hivyo ni moja ya njia za kukimbia swali.
Pili kuoka kumeanza kwa nani?
Ikiwa mtu hajaokaka atapata uzima wa milele?

Ikiwa Yesu ndo alieuleta ukiristo watu wa kabla yake waliokoka?
Walikua dini gani?

Jibi yafuatayo.
Ukristo ni nini?
Ukiristo umeanzia kwa nani?
Ibrahim alikua dini gani?
Thibitisha uwepo wa itikadi ya utatu kabla ya kuja Yesu.
Yesu alikuja kwa ajili gani?
Akafa msalabani kwa sababu gani?
Kisha mengine yatakuja
bingwa wa kuhamisha magoli na kurudia maswali uliyojibiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kuwa mfuasi wa allah zinahtajika akil za ziada
 
bingwa wa kuhamisha magoli na kurudia maswali uliyojibiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kuwa mfuasi wa allah zinahtajika akil za ziada
Ntajie post ya ngapi ina majibu ya hayo maswali.
Au kama vipi yaweke tena
Yani mi nikuulize swali kisha uweze kujibu kwa elimu yako ya kuunga unga una soma soma tafsiri eti uukosoe uislam hilo huwezi kwamwe.
Jibu maswali
 
gazeti reeeeeeeeefu majibu kisoda

WAHYI au KITABU maaana kwa ibrahimu kumekushinda umehamia kwingine
Hautazcha kulalama.
Onesha wapi kapewa kitabu ili swali lako liwe hai ujibiwe ki elimu. Ukishindwa umeliua swali lako mwenyewe
 
NILISHAKUONYA NA NIKAKUPA AYA ZA QURAN IKIKUKATAZA KUHOJI MAMBO AMBAYO UKIAMBIWA UKWELI UTACHUKIA SASA UMETAKA MWENYEWE ALLAH NA WAISLAM WENGI SIO WEWE PEKE YAKO MNASEMA KUWA IBRAHIM NI NABII NA ALIKUWA MUISLAM:

Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa.

Angalia hii aya pia

Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

S. 3:67 Shakir: Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

Allah amesema kila Umma ulipewa Nabii na ujumbe "Kitabu" na Ibrahima alikuwa Muislam, SASA BASI.

1. , Nitajie jina la kitabu ambacho Ibrahim alipewa na Allah?

2. Niletee ushahid wa aya kutoka hicho kitabu kuwa Ibrahim alisema Shahada.

3. Nitajie jina la Ummah ambao Ibrahim alikuwa Nabii wake?

4. Allah anasema kuwa Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, kama hayo madai ni kweli, KWANINI WAISLAM WANASEMA KUWA UKRISTO ULIANZISHWA NA PAULO, huku ALLAH ANAKIRI KUWA HATA WAKATI WA IBRAHIM KULIKUWA NA UKRISTO?

NOTE: Aya za Quran sina muda nazo maana hizo aya sio Kitabu ambacho Ibrahim aliteremshiwa kabla ya Quran.

NATAKA MAJIBU SITAKI UHAMISHE MAGOLI
kama kuna muislamu ambaye ataweza kukujibu haya maswali ni PM
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseee kweli allah anakazi naona bado unasimamia maneno yake ya kuipigania dini

LABDA NIKUELEWESHE TU KIUFUPI MIMI SIKO HAPA KUIPIGANIA DINI NIKO HAPA KUMTANGAZA YESU ILI UOKOKE MAANA YEYE NDIYE NJIA NA KWELI NA UZIMA NA ALLAH SIO MUNGU sasa unavyolazmisha nikwambie sijui ibrahimu dini gani hayo hayatakusaidia la msingi uokoke utoke kwenye vifungo vya dini sababu dini haikupeleki mbinguni ila Yesu ndiye anayetakiwa kufuatwa sababu yeye alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata Adamu

Yohana 8: 58 Yesu akawaambia, ‘‘Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, ‘Mimi niko’.

Yesu katika Yohana 8 aya 58 anakiri na anatuambia kuwa yeye aliishi kabla ya kuzaliwa. Hivi kama kweli Yesu ni binadamu wa kawaida, itakuwaje aishi kabla ya Abraham? Hakuna Nabii au Mtume au mtu yeyote yule aliye dai kuwa aliishi kabla ya kuumbwa.

Endelea kusoma:

Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

SASA WEWE KAZANIA UKRISTO SIO DINI WAKATI SHULENI UKIAMBIWA UZITAJE DINI ZA DUNIANI wa kwanza kuutaja ni ukristo

KUMBUKA MIMI SIKUULIZI MASWALI SABABU NILIYOKUULIZA HUJAWEZA KUYAJIBU ILA UKAISHIA KULIALIA KAMA BASHITE ETI NAWATUKANA
UMEONA NILIVYOKUJIBU BAADA YA HAPO UKARUKIA MENGINE NAPO NIKAKUJIBU SASA UKAONA KILA UNAPOKIMBILIA NAKUPA DAWA UKAAMUA KURUDIA MATAPISHI YAKO kuwa hujajibiwa ndio sababu nakwambia UKISOMA SANA QURAN UNAISHIA KUWA CHIZI sababu ni kitabu kilichoandikwa na mlevi Othman ndio maana nikakwambia nimechoka taarabu zako na kila nikikujb lazma nikuachie swali ila hata hayo maswali umekuwa ukiyakwepa futi mia huku ukibakia kuwa mpiga domo
Ntajie post ya ngapi ina majibu ya hayo maswali.
Au kama vipi yaweke tena
Yani mi nikuulize swali kisha uweze kujibu kwa elimu yako ya kuunga unga una soma soma tafsiri eti uukosoe uislam hilo huwezi kwamwe.
Jibu maswali
 
kama kuna muislamu ambaye ataweza kukujibu haya maswali ni PM
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mtumishi haya maswali hata allah hayawezi kuyajibu labda itakuwa majibu yake yapo katika zile aya zilizoliwa na mbuzi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
UMEONA NILIVYOKUJIBU BAADA YA HAPO UKARUKIA MENGINE NAPO NIKAKUJIBU SASA UKAONA KILA UNAPOKIMBILIA NAKUPA DAWA UKAAMUA KURUDIA MATAPISHI YAKO kuwa hujajibiwa ndio sababu nakwambia UKISOMA SANA QURAN UNAISHIA KUWA CHIZI sababu ni kitabu kilichoandikwa na mlevi Othman ndio maana nikakwambia nimechoka taarabu zako na kila nikikujb lazma nikuachie swali ila hata hayo maswali umekuwa ukiyakwepa futi mia huku ukibakia kuwa mpiga domo
Yani uja akili mbovu sijawahi ona.
Kukimbia swali kwa kusema ukiniambia Ibrahimu alikua dini gani ndo umejibu hapo?
Mi sioni jibu ulichokifanya kulikwepa swali kwa kudai haitanisaidia ukijibu.
Maswali yamebaki palepale na nayarudisha ili uyasome ujue umeulizwa nin.
Weka jibu swala la itasaidia au haitanisaidia wewe haikuhsu.
 
Jibi yafuatayo.
Ukristo ni nini?
Ukiristo umeanzia kwa nani?
Ibrahim alikua dini gani?
Thibitisha uwepo wa itikadi ya utatu kabla ya kuja Yesu.
Yesu alikuja kwa ajili gani?
Akafa msalabani kwa sababu gani?
Kisha mengine yatakuja

Maswali ni hayo sasa jiulize majibu uloweka ni ya swali lipi katika ya hayo.
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.

ww kwel.mpuuz sasa kama jua n shetani au mwez shetan.lingekupa ww.mwanga ukafanya shuhul zako mchana na usiku ukalala?? na hakuna mungu wa moses wala wa.juma wala wa Emanuel mungu n mmoja na hana rafiki wala mungu wa nani......

alama hzo wamejtungia bnadamu tu wala sio za kishetan na wala hazina.maana yeyote kuna mtu humu kajb vzr ndomana ana like zaidi ya 111 kasome
 
Kuingia kwenye uislam haimaanishi ni ya kweli, maana hata kwenye uchawi,ushirikina,dini ya shetani kwote huko watu huingia ila haimaanishi ni kuzuri. Mimi nilitaka utafute ujue Allah alikuwa mungu wa wapagani na kamwe hawezi kuwa Mungu na Ibrahim
UMEPOTEA WE
 
Kwa maelezo yako unaweza kuapia hata simu yako maana unaimiliki? elezea kidogo. Maana kiapo huapiwa mkuu kwako mfano Mungu.
yeye ALLAH hapangiwi na yoyote na huna haki ya kumuoji bwana wako
 
Watoto wa Ibrahim ni Isaka na Ishmael aliyezaa na mjakazi wake hajiri. Mimi nilikuwa nakuonesha kuwa Ibrahim hakuwahi kuwa muislam kwa maana ya dini wala hakujenga kaaba arabuni na ushahidi soma post zangu zilizotangulia. Kama unapinga toa maelezo kwa nini unapinga ili tuelewane.
rejea qur'an na utaona jinsi inamuelezea ibrahim, na wewe huna maneno ya kueleza juu ya ibrahim au yoyote sababu wewe mwenyewe ni mtumwa tu wa ALLAH
 
Tafadhli, Soma maelezo yangu vizuri na ujibu kwa evidence ili tufikie muafaka. Jibu lako halijitoshelezi wala halijajibu hoja yangu
ibrahim nabii wa ALLAH alivunga masanamu na wakamwita ili ajibu kwanini kafanya hivyo ndio wakamueka katika moto lakini ALLAH akauamrisha moto uwe baridi na salama kwa ibrahim ndio akapata salama
 
Acha upoyoyo na porojo.

Unafikili nina umri gani, nina hela kiasi gani , na kazi ninayofanya, nchi nilizotembea !?
Lugha za kimataifa ninazotumia Kwa ufasaha ni zaidi ya 5 ukiondoa Kiswahili na lugha Mama. Kwa hiyo Mimi siyo kuwa niko gizani bali naelewa vizuri sana upoyoyo na porojo rukuki na uchwara wa dini zote uzijuazo na usizozijua ambazo Mimi nazifahamu.

Nakuzidi wewe kilaza na Wajinga Wenzako wanaojitoa mhanga kila siku.
Halafu wewe unaniambia Mimi kuwa niko gizani na kupotea!?

Nimekwambia, dini zote ni unafiki mtupu na uchwara na Pumba.fu sana.

I was born free, I'm free and I must live free from any obstacles such as religions including; christian, islam, Judaism, budha, hindu, freemason, or local religions or any secret society (s) you many know or not.

I am not a member and I will never ever be a member of any of the above crazy religions yours included.

My parents and my country taught me values, norms and respect, hard work and respect for others without any alignments to any created things including your crazy religions.
your and education mean nothing if your not muslim and you'rll go to hell fire.
 
Back
Top Bottom