chakuongezea hapo mkuu ni kwamba quran na biblia ni twin sisters books za wazee wa kiarabu na iyahudi na ndio maana karibia kila kitu kinafanana ingawa tofauti ipo kwenye lugha tu, stori zote ni za kina ibrahim, musa daud, selemani, yusuph, ayubu na wengineo pia yesu nae akaitwa issa, halafu mwishoe waka top up na kumuweka muhamad kua nabii wa mwisho kisha waka mlink up na ishmael mtoto wa hajar na ibrahim, huku isaka ambae ni baba yake na yakobo ndio ukatengenezwa uyahudi na ukiristo kupita kwake......hayo yote waliyatengeneza ili watutawale kifikra na ndio maana leo gwajima ni tajiri sana ye anawapa watu maneno ya kusadikika na kuwaahidi kua atawafikisha mbinguni huku yeye anamiliki hadi ndege na magari ya kifahari......hakuna utumwa mbaya kama wa kifikra, leo huko ikwirir wanatusumbua kwasababu ya hizo iman mbaya za kupandikizwa na watu wa kuja......amka mtu mweui chukua hatua.....
Mimi ndiyo nimeachana na huo upoyoyo, upuuzi na ujinga pia utapeli wa wazungu koko na warabu pori kuhusu dini.
Wakafundishe vilaza huko na kuwaibia sadaka na michango.
Mfano, Boko Haram pale Nigeria ikawa inasema maana ya neno Boko Haram ni "western education is evil" Ila , ao hao Bado wanatumia silaha, vifaa na hadi dollar na Euro katika maisha yao ya kila siku bila kuelewa kuwa western education ndiyo imeleta hivyo vitu wanavyovitumia Ila wao wanapiga Kwa mwamvuli uo huo wa hizi dini uchwara hizi za kigeni.
Wote mfano, Kakobe alichukua 14B za kanisa akakimbilia USA kesi hadi mahakamani kanisa likashindwa maana serikali haiamui kesi za sadaka.
Wengine kiingilio, na kufanyiwa maombi unalipia,
Then, RC church , hela zote zinaenda Vatican city kisha Papa, anaamua matumizi na mgao kidogo Kwa nchi anazotaka kuzipatia mgao Ila huku waumini wanakufa njaaa , magonjwa na umasikini. Pumba.fu sana hizi dini.
Islam, ndiyo imeenda mbali zaidi hadi kufundisha watu wake kuhusu kujitoa mhanga, kuua watu wengine wasio kuwa na hatia kabisa pathetic religion.
Baada ya hapo, dini zote zimejenga matabaka kwenye jamii na chuki.
I was born free, I'm free and I must live free from any obstacles including religions.
Yaani, I will never ever be a member of any of the crazy religions.