Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Wabongo mmeletewa dini,ila mnajifanya mnajua kuliko waliowaletea mzungu kawaletea ukirsto na mwarabu kawaletea uislam Alf dini zote izo zimekopi kwa myaudi, dini nimambo zakutengsnisha jamii vhakuamini niMUNGU yupo sio izo mambo zenu zakufa kwwajili ya mungu flank kwakua yeye amepigakimya bora ya wakristo wakitukanwa wao wanavunga cos wanaamini MUNGU wao anaweza kujisaidia mjipange mlioletewa dini na wafanyabiashara wakizungu nawakiarabu
uko sahihi kabisa hebu muone allah alivyo ndio sababu hawa jamaa wanajilipua

Quran 4:74.
Basi nawapigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu wale ambao wanao uza uhai wa dunia kwa Akhera. Na anaye pigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu kisha akauliwa au akashinda basi tutakuja mpa ujira mkubwa.
 
Ukaafir hautakuacha salama
kafiri ni mimi au mudy aliyebaka katoto ka miaka 6 [emoji23] [emoji23] jamaa yupo motoni sasa hivi ndio sababu allah alisema kila muislamu lazma aingie motoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe umetaka mwenyewe mimi nagonga nyundo tu ila kabla ya kuendelea nakuonya tena mkuu kama allah alivyokwambia

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
quran 5:101

Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye magh**** Mpole.
Zungumza unavyoweza ila usitusi wala kukejeri matukufu ya dini ili nikuzingatie mtu mwenye akili timamu. Na hapo ntakujibu shubha zako zote utazoleta kama utakuja kutumia lugha ya matusi hapo ntuakuacha kwakua sitakua na haja ya kumfunza mwenye matusi
 
Sasa practical ya kupiga shetani nayo ipo kwenye kundi la harufu au hisia?Unamaanisha huwa mnapiga hewa ?
Inabidi nikueleweshe kulingana na akili yako ndogo,nihame nije kwenye kumuelewesha Mwanafunzi wa chekechea.
Nina uhakika umepitia shule,ukianza darasa la kwanza,kwa waliosoma shule za serekali,mwalimu wa hesabu,atawagiza wanafunzi visoda,au mbegu za aina yoyote,zisizooza(kwa wanaosoma shule za kulipia,za binafsi,viko vifaa maalumu),idadi fulani,zile mbengu au visoda vinawakilisha namba,mwanafunzi,mwanafunzi wa darasa la kwanza,anapewa practical ya kwanza kwa kutumia visoda au mbegu kwa kuhesabia,ili kichwa kipate uzoefu wa kuhesabu.
Njia hii hii ndio inayotumika kwa askari,mlenga shabaha,anawekewa sanamu au picha,ailenge sehemu atakazoelekezwa(haekewi mtu aliye hai,alenge shabaha).Kwa Mwanafunzi wa sayansi,anaaza kwa kupasua panya,sungura nk,hapewi mtu aliye hao Kwa Mwanafunzi wa udaktari,wanapewa maiti kwa kujifunzia,kabla kukutana na mgonjwa halisi.Na ndio hivyo hivyo unaposikia,msomi anapokwenda field,anakwenda fanya kwa vitendo,alichosomea.
Na ndio hivyo hivyo,unaposikia kunapigwa shetani kwa vitendo,pale ni kumwaandaa,anayetaka kujiepusha na shetani,kwa kutofuata vitendo vya shetani,anafanya pratical ya kumkataa shetani,ili kumbukumbu ibaki kichwani mwake,kuwa shetani lazima nimpinge kwa kwa nguvu zote.
Tatizo moja,nyinyi msio waislamu,hamuosomi uislamu kwenye vyanzo sahihi vya uislamu,huwa mnatafuta vyanzo visivyo sahihi,vinavyopotosha,na ndio mnachukulia ndio uislamu.Mnavyofanya,ni sawa mtu anayetaka kujifundisha udereva,badala ya kwenda chuo cha udereva,anakwenda kwa dereva wa gari,ndio amfundishe kuendesha gari,kwa kuamini ndio mahali sahihi pa kujifunza gari.Kumbe vipo vyuo,sahihi vya kujifundisha,kuanzia kuendesha,sheria,alama za barabarani nk.
 
ila allah atakuwa hamnazo hivu huyu allah ni nani na hiyo quran 96:1-2 ni maneno ya nani?

si yeye ndiyo kasema kakuumba kwa tone[emoji98] la damu[emoji23] [emoji23] [emoji23] au alikuwa anapuliza akawa hajielewi

NDIO SABABU UKIISOMA QURAN SANA UNAKUWA CHIZI
Ndugu haya matusi unayoleta ntakuacha peke yako.
Kisha nikujibu shubha yako uliyoileta. Yani unajifanya hamnazo kwamba hujaelewa kwamba mwanadamu kaumbwa na udongo kisha katika kuumba waliokuja baada ya adamu wameumbwa kwa tone la manii ambalo baada ya muda hubadilika kua pande la damu.....
 
eti ibrahimu alikuwa muislamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Msome mudy anavyokwambia

quran 6:14
. Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: MIMI NIMEAMRISHWA NIWE WA KWANZA WA WENYE KUSILIMU. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina.

mkuu nakusubiria kwa povu [emoji36] [emoji36] [emoji36]

Ila allah anamatatzo sana yani anaweza kukwambia nguruwe dhambi ila ukiwa na njaa kula sasa sijui nani anakulaga akiwa ameshiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

au anakwambia pombe dhambi halafu pepo yake ukienda anakwambia utakunywa hadi uache[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kijana una mengi sana nami nataka uyateme tu.
Ila usipandiahe topic baada ya topic.
Mmi nimesema Ibrahim muislam kwa uthibitisho niliouleta.
Wewe tuambie Ibrahimi alikua dini gani?
 
Zungumza unavyoweza ila usitusi wala kukejeri matukufu ya dini ili nikuzingatie mtu mwenye akili timamu. Na hapo ntakujibu shubha zako zote utazoleta kama utakuja kutumia lugha ya matusi hapo ntuakuacha kwakua sitakua na haja ya kumfunza mwenye matusi
umeanza kuweweseka nilijua utasema unayoyaongea yaonyeshe kwa ushahidi wa maandiko kumbe umeanza taarabu
 
Ndugu haya matusi unayoleta ntakuacha peke yako.
Kisha nikujibu shubha yako uliyoileta. Yani unajifanya hamnazo kwamba hujaelewa kwamba mwanadamu kaumbwa na udongo kisha katika kuumba waliokuja baada ya adamu wameumbwa kwa tone la manii ambalo baada ya muda hubadilika kua pande la damu.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeeeee mkuu hii elimu ya madrasa kabisaaa hivi una maana umeshindwa kumuelewa allah au unajitanabaisha sasa ukiambiwa ukisoma sana quran unawehuka akili unasema natukana
 
umeanza kuweweseka nilijua utasema unayoyaongea yaonyeshe kwa ushahidi wa maandiko kumbe umeanza taarabu
Naona shubha zimeisha ssa. Vizur
Jibi yafuatayo.
Ukristo ni nini?
Ukiristo umeanzia kwa nani?
Ibrahim alikua dini gani?
Thibitisha uwepo wa itikadi ya utatu kabla ya kuja Yesu.
Yesu alikuja kwa ajili gani?
Akafa msalabani kwa sababu gani?
Kisha mengine yatakuja
 
Kijana una mengi sana nami nataka uyateme tu.
Ila usipandiahe topic baada ya topic.
Mmi nimesema Ibrahim muislam kwa uthibitisho niliouleta.
Wewe tuambie Ibrahimi alikua dini gani?
mimi nimekuonyesha kuwa ibrahimu sio muislamu tena kwa uthibitisho sababu quran inasema muislamu wa kwanza yaani wa kwanza ni mudy sasa nani wa kwanza kuja duniani mudy au ibrahimu MKUU USIJITOE AKILI WAKAT USHAHIDI WA QURAN NIMEKUPA na hapo ndipo ninapokwambia quran haijitambui
 
Mi nikadhani unaleta majibu ya maswali yangu kumbe bado una mbwelambwela.
2:130-132
Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Huyo hapo Ibrahim.
Mi natarajia unaposema sio muislam untajie dini yake lakini unakwepa kwepa ni udhaifu wa elimu au ueleweke vipi?
Msomi hakimbii maswali.
Kisha maswali yangu usifanye hujayaona.
Lete majibu
 
Naona shubha zimeisha ssa. Vizur
Jibi yafuatayo.
Ukristo ni nini?
Ukiristo umeanzia kwa nani?
Ibrahim alikua dini gani?
Thibitisha uwepo wa itikadi ya utatu kabla ya kuja Yesu.
Yesu alikuja kwa ajili gani?
Akafa msalabani kwa sababu gani?
Kisha mengine yatakuja

[emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseee kweli allah anakazi naona bado unasimamia maneno yake ya kuipigania dini

LABDA NIKUELEWESHE TU KIUFUPI MIMI SIKO HAPA KUIPIGANIA DINI NIKO HAPA KUMTANGAZA YESU ILI UOKOKE MAANA YEYE NDIYE NJIA NA KWELI NA UZIMA NA ALLAH SIO MUNGU sasa unavyolazmisha nikwambie sijui ibrahimu dini gani hayo hayatakusaidia la msingi uokoke utoke kwenye vifungo vya dini sababu dini haikupeleki mbinguni ila Yesu ndiye anayetakiwa kufuatwa sababu yeye alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata Adamu

Yohana 8: 58 Yesu akawaambia, ‘‘Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, ‘Mimi niko’.

Yesu katika Yohana 8 aya 58 anakiri na anatuambia kuwa yeye aliishi kabla ya kuzaliwa. Hivi kama kweli Yesu ni binadamu wa kawaida, itakuwaje aishi kabla ya Abraham? Hakuna Nabii au Mtume au mtu yeyote yule aliye dai kuwa aliishi kabla ya kuumbwa.

Endelea kusoma:

Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

SASA WEWE KAZANIA UKRISTO SIO DINI WAKATI SHULENI UKIAMBIWA UZITAJE DINI ZA DUNIANI wa kwanza kuutaja ni ukristo

KUMBUKA MIMI SIKUULIZI MASWALI SABABU NILIYOKUULIZA HUJAWEZA KUYAJIBU ILA UKAISHIA KULIALIA KAMA BASHITE ETI NAWATUKANA
 
Mi nikadhani unaleta majibu ya maswali yangu kumbe bado una mbwelambwela.
2:130-132
Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Huyo hapo Ibrahim.
Mi natarajia unaposema sio muislam untajie dini yake lakini unakwepa kwepa ni udhaifu wa elimu au ueleweke vipi?
Msomi hakimbii maswali.
Kisha maswali yangu usifanye hujayaona.
Lete majibu
NILISHAKUONYA NA NIKAKUPA AYA ZA QURAN IKIKUKATAZA KUHOJI MAMBO AMBAYO UKIAMBIWA UKWELI UTACHUKIA SASA UMETAKA MWENYEWE ALLAH NA WAISLAM WENGI SIO WEWE PEKE YAKO MNASEMA KUWA IBRAHIM NI NABII NA ALIKUWA MUISLAM:

Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa.

Angalia hii aya pia

Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

S. 3:67 Shakir: Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

Allah amesema kila Umma ulipewa Nabii na ujumbe "Kitabu" na Ibrahima alikuwa Muislam, SASA BASI.

1. , Nitajie jina la kitabu ambacho Ibrahim alipewa na Allah?

2. Niletee ushahid wa aya kutoka hicho kitabu kuwa Ibrahim alisema Shahada.

3. Nitajie jina la Ummah ambao Ibrahim alikuwa Nabii wake?

4. Allah anasema kuwa Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, kama hayo madai ni kweli, KWANINI WAISLAM WANASEMA KUWA UKRISTO ULIANZISHWA NA PAULO, huku ALLAH ANAKIRI KUWA HATA WAKATI WA IBRAHIM KULIKUWA NA UKRISTO?

NOTE: Aya za Quran sina muda nazo maana hizo aya sio Kitabu ambacho Ibrahim aliteremshiwa kabla ya Quran.

NATAKA MAJIBU SITAKI UHAMISHE MAGOLI
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseee kweli allah anakazi naona bado unasimamia maneno yake ya kuipigania dini

LABDA NIKUELEWESHE TU KIUFUPI MIMI SIKO HAPA KUIPIGANIA DINI NIKO HAPA KUMTANGAZA YESU ILI UOKOKE MAANA YEYE NDIYE NJIA NA KWELI NA UZIMA NA ALLAH SIO MUNGU sasa unavyolazmisha nikwambie sijui ibrahimu dini gani hayo hayatakusaidia la msingi uokoke utoke kwenye vifungo vya dini sababu dini haikupeleki mbinguni ila Yesu ndiye anayetakiwa kufuatwa sababu yeye alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata Adamu

Yohana 8: 58 Yesu akawaambia, ‘‘Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, ‘Mimi niko’.

Yesu katika Yohana 8 aya 58 anakiri na anatuambia kuwa yeye aliishi kabla ya kuzaliwa. Hivi kama kweli Yesu ni binadamu wa kawaida, itakuwaje aishi kabla ya Abraham? Hakuna Nabii au Mtume au mtu yeyote yule aliye dai kuwa aliishi kabla ya kuumbwa.

Endelea kusoma:

Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

SASA WEWE KAZANIA UKRISTO SIO DINI WAKATI SHULENI UKIAMBIWA UZITAJE DINI ZA DUNIANI wa kwanza kuutaja ni ukristo

KUMBUKA MIMI SIKUULIZI MASWALI SABABU NILIYOKUULIZA HUJAWEZA KUYAJIBU ILA UKAISHIA KULIALIA KAMA BASHITE ETI NAWATUKANA
Sisi tuliopitia shule kule tunasemaga kuna maswali yanaitwa matango.
Sawa na kijana chipkizi wa kidato cha tano kumpa integral square root tanxdx.
Acha ubashite Unacho ulizwa na unachojibu tofauti.
Jibi maswali uliyoulizwa bwana mdogo
 
NILISHAKUONYA NA NIKAKUPA AYA ZA QURAN IKIKUKATAZA KUHOJI MAMBO AMBAYO UKIAMBIWA UKWELI UTACHUKIA SASA UMETAKA MWENYEWE ALLAH NA WAISLAM WENGI SIO WEWE PEKE YAKO MNASEMA KUWA IBRAHIM NI NABII NA ALIKUWA MUISLAM:

Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa.

Angalia hii aya pia

Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

S. 3:67 Shakir: Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

Allah amesema kila Umma ulipewa Nabii na ujumbe "Kitabu" na Ibrahima alikuwa Muislam, SASA BASI.

1. , Nitajie jina la kitabu ambacho Ibrahim alipewa na Allah?

2. Niletee ushahid wa aya kutoka hicho kitabu kuwa Ibrahim alisema Shahada.

3. Nitajie jina la Ummah ambao Ibrahim alikuwa Nabii wake?

4. Allah anasema kuwa Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, kama hayo madai ni kweli, KWANINI WAISLAM WANASEMA KUWA UKRISTO ULIANZISHWA NA PAULO, huku ALLAH ANAKIRI KUWA HATA WAKATI WA IBRAHIM KULIKUWA NA UKRISTO?

NOTE: Aya za Quran sina muda nazo maana hizo aya sio Kitabu ambacho Ibrahim aliteremshiwa kabla ya Quran.

NATAKA MAJIBU SITAKI UHAMISHE MAGOLI
My dear Necta is this guy know how room temperature is???
Kuna haja kubwa ya ukaguzi wa vyetu kuendelea.
Neno ujumbe umelipa jina la kitabu so kila ujumbe ni kitabu?
Nikotoe shaka tu. Ntakujibu kwa mujibu wa swali ulivyolijenga.
Kwa mantiki hiyo swali lako linalobaki hapo ni kuhusu ibrahim kutokua yahaud wala Mkristo.
Wakati Allah anatuthibitishia kwamba Ibrahim hakua mkiristo akasema pia hakua myahudi.
Kupinga hayo haikua ina maana dini hizo zilikuwepo kipindi chake, hayo yamekuja kutokana na madai yako ya kumpakazia Ibrahim ukristo na madai ya wayahudi ya kumpakazia Ibrahim uyahudi.
Pia ili ibidi ujiulize kabla ya kuuliza swali.
Kwani kusema kwamba hakua Yahud wala Mkristo ina maaan uyahuf na ukristo ulikuwepo?
Unashindwa kujua kwamba Yahudi ni kitukuu wa Ibrahim? Vipi yeye awe Yahudi?
2:140

Au mnasema kuwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zao walikuwa Mayahudi au Wakristo? Sema: Je, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu? Na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule aliye ficha ushahidi alio nao utokao kwa Mwenyezi Mungu? Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na hayo myafanyayo.
 
Wewe kweli ni bashite unadai ibrahimu ni mslamu nimekwambia tena narudi

Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa.

Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

S. 3:67 Shakir: Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

Allah amesema kila Umma ulipewa Nabii na ujumbe "Kitabu" na Ibrahima alikuwa Muislam, SASA BASI.

1. , Nitajie jina la kitabu ambacho Ibrahim alipewa na Allah?

2. Niletee ushahid wa aya kutoka hicho kitabu kuwa Ibrahim alisema Shahada.

3. Nitajie jina la Ummah ambao Ibrahim alikuwa Nabii wake?

4. Allah anasema kuwa Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, kama hayo madai ni kweli, KWANINI WAISLAM WANASEMA KUWA UKRISTO ULIANZISHWA NA PAULO, huku ALLAH ANAKIRI KUWA HATA WAKATI WA IBRAHIM KULIKUWA NA UKRISTO?

NOTE: Aya za Quran sina muda nazo maana hizo aya sio Kitabu ambacho Ibrahim aliteremshiwa kabla ya Quran.

NATAKA MAJIBU SITAKI UHAMISHE MAGOLI
JIBU HAYO MASWALI MANNE SIO NGONJERA ZA KASWIDA usilete mchezo wa mawe wakati upo kwenye nyumba ya vioo JIBU MASWALI SITAKI UBASHITE
 
Sisi tuliopitia shule kule tunasemaga kuna maswali yanaitwa matango.
Sawa na kijana chipkizi wa kidato cha tano kumpa integral square root tanxdx.
Acha ubashite Unacho ulizwa na unachojibu tofauti.
Jibi maswali uliyoulizwa bwana mdogo
hivi kati ya mimi nawe bashite ni nani?

umesema ibrahimu ni muislamu nami nimekwambia

Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa.

Angalia hii aya pia

Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

S. 3:67 Shakir: Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

Allah amesema kila Umma ulipewa Nabii na ujumbe "Kitabu" na Ibrahima alikuwa Muislam, SASA BASI.

1. , Nitajie jina la kitabu ambacho Ibrahim alipewa na Allah?

2. Niletee ushahid wa aya kutoka hicho kitabu kuwa Ibrahim alisema Shahada.

3. Nitajie jina la Ummah ambao Ibrahim alikuwa Nabii wake?

4. Allah anasema kuwa Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, kama hayo madai ni kweli, KWANINI WAISLAM WANASEMA KUWA UKRISTO ULIANZISHWA NA PAULO, huku ALLAH ANAKIRI KUWA HATA WAKATI WA IBRAHIM KULIKUWA NA UKRISTO?

NOTE: Aya za Quran sina muda nazo maana hizo aya sio Kitabu ambacho Ibrahim aliteremshiwa kabla ya Quran.

NATAKA MAJIBU SITAKI UHAMISHE MAGOLI NA USINILILIE MIMI KAMLILIE MUDY MZEE WA KUWALA DENDA WANAUME WENZIE
 
Haya matatizo mengine kabisa.
Kweli shule muhimu
Haya ni matatizo ya kukimbia umande.
Wapi katika aya ulizotaja ujumbe umetajwa kwa jina la kitabu kama madai yako?
Swali nimekuliiza kila ujumbe kitabu? Jibu hilo ili uya-activate madai yako.
Madai mfu yasiyo na ushahidi hayana nafasi kwa wasomi
 
kweli wewe bashite aiseee ni rahsi kumfundisha mwanafunzi wa darasa la kwanza akaelewa kichina kuliko kumfundisha mwanafunzi wa madrasa kujua kusoma japo kiswahili

KWANI WEWE UNAUELEWAJE NENO UJUMBE

hv mtume wako alipewa wahyi au kitabu HALAFU MKIITWA VILAZA MLIOKARIRISHWA ILIM AKHERA MNATAKA KUJILIPUA

jibu maswali acha taarabu
 
Umewahi kujiuliza kwa nini kitabu chenu hakina mtiririko unaoeleweka?
Kwa nini ipo vipande vipande?

Waliingiza kwenye hicho kitabu habari za torati walizokuwa wanazisikia toka kwa Wayahudi. Walidhani kwa kufanya hivyo ingekuwa rahisi kuwashawishi wayahudi waache kumwabudu Mungu wa baba yao Ibrahimu na kuufuata uislamu.
Ndiyo maana muhmd alipoenda kwa wayahudi na kuwaambia hizo habari za uislamu,,,mambo aliyokuwa anasema kwa habari ya torati (tora) walishangaa anaongea tofauti na torati, yaani alikariri na hakuwa anaweza kuelezea vizuri kwa usahihi. Kwa kuona hivyo wayahudi wakamkataa.
Baada ya hapo akarudi madina na wakabadili kibla, wakaanza kusujudu kuelekea mecca wakati hapo mwanzo kibla ilikuwa yerusalem
 
Back
Top Bottom