Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Shekh ni kusahihishe kidogo ile nyota ya mayahudi ina pembe 12 na si 6. Na pembe hizi 12 zina simamia makabila 12 ya wana wa Yakubu/Israel.

Na washawasha!

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
inamaanisha wenye msalaba sio dini bali ni kundi la huduma ya kwanza na nyota na mwezi ni alama ya mashetan bas mimi ni muislam dhehebu la shia ,hatuna msalaba wala mwezi au nyota bali ni waislam wenye mungu mmoja Allah(Sw) ww Je
 
Mwizi kila anayemuona,hufikiria mwizi kama alivyo yeye.Kwa vile wewe ni shetani,kila kitu wakiona ni cha kishetani.

shetani ninani?chanzo chake kipi? katokea wapi na nani alishawahi kumuona? mnaweza mkashambuliana kwa kitu ambacho hakipo pengine shetani na mungu ni matokeo ya fikra zenu nawala hawapo.
 
inamaanisha wenye msalaba sio dini bali ni kundi la huduma ya kwanza na nyota na mwezi ni alama ya mashetan bas mimi ni muislam dhehebu la shia ,hatuna msalaba wala mwezi au nyota bali ni waislam wenye mungu mmoja Allah(Sw) ww Je

vipi mnaomuongeleaje abubakari bin swidiq ambae alipewa uhalifa wa kwanza baada ya kifo cha muhammad wakati nyinyi mashia mlitaka apewe ally?
 
shetani ninani?chanzo chake kipi? katokea wapi na nani alishawahi kumuona? mnaweza mkashambuliana kwa kitu ambacho hakipo pengine shetani na mungu ni matokeo ya fikra zenu nawala hawapo.
Jiulize wewe,ni nani,na unatokea wapi,na ni nani amewahi kukuona humu jf,twaweza kushambuliana kwa mtu ambaye hupo,na wala asili yako,haipo,kwa vile hatujakuona.
 
mimi nimezaliwa na wazazi wangu na ukitaka kuniona naweza kupa namba yangu ya simu kisha tukapanga tuonane wapi, haya fanya hivyo kwa mungu na shetani kama inawezekana.......imani za kufikirika na kurithishwa na ndio maaana mnajitoa mhanga ili mpate madem mabikra huko mbinguni peponi firdaus kama umeshindwa kutafuta pesa na kukaza watoto wakali hapa duniani hao ma ghurul laini utaweza? kwanza hawapo ni stori tu za kuapandisha nyege na kuwatia ujasiri mkapigane jihadi....
 
vipi mnaomuongeleaje abubakari bin swidiq ambae alipewa uhalifa wa kwanza baada ya kifo cha muhammad wakati nyinyi mashia mlitaka apewe ally?

Siwezi kumsema abubakar (radhi allahu anhu) vibaya kwasababu ni swahaba ambaye alipambana kwa ajili ya dini hii ya kiislam
 
mimi nimezaliwa na wazazi wangu na ukitaka kuniona naweza kupa namba yangu ya simu kisha tukapanga tuonane wapi, haya fanya hivyo kwa mungu na shetani kama inawezekana.......imani za kufikirika na kurithishwa na ndio maaana mnajitoa mhanga ili mpate madem mabikra huko mbinguni peponi firdaus kama umeshindwa kutafuta pesa na kukaza watoto wakali hapa duniani hao ma ghurul laini utaweza? kwanza hawapo ni stori tu za kuapandisha nyege na kuwatia ujasiri mkapigane jihadi....
Kumbe umezaliwa na wazazi wako,ndio maana ukajijuwa kama wewe ni nani,na shetani ni hivyo hivyo,kazaliwa na wazazi wake.Wewe utatoa namba ya simu kuwasiliana na watu wenzako,na shetani naye pia anayo mawasiliano yake,ya kuwasiliana na anaotaka kuwasiliana nao.
 
Siwezi kumsema abubakar (radhi allahu anhu) vibaya kwasababu ni swahaba ambaye alipambana kwa ajili ya dini hii ya kiislam
nini chanzo cha mashia kujitenga na kuwaona wale wote akina abubakar, omar na athman walidhulum ally pamoja na kizazi chake akina hassan na hussein na ilikuaje wakachinjwa? kama unaijua dini yako vizuri ni bora utuelimishe na sisi tupate elimu.....kwanini mashia na masuni haziivi.
 
Kumbe umezaliwa na wazazi wako,ndio maana ukajijuwa kama wewe ni nani,na shetani ni hivyo hivyo,kazaliwa na wazazi wake.Wewe utatoa namba ya simu kuwasikiana na watu wenzako,na shetani naye pia anayo mawasiliano yake,ya kuwasiliana na anaotaka kuwasiliana nao.

yupo wapi huyo shetani na wewe umemjuaje? mimi nipo na najibishana na wewe.... vipi kuhusu mungu na shetani?
 
nini chanzo cha mashia kujitenga na kuwaona wale wote akina abubakar, omar na athman walidhulum ally pamoja na kizazi chake akina hassan na hussein na ilikuaje wakachinjwa? kama unaijua dini yako vizuri ni bora utuelimishe na sisi tupate elimu.....kwanini mashia na masuni haziivi.
wew ni Dini Gan?
 
yupo wapi huyo shetani na wewe umemjuaje? mimi nipo na najibishana na wewe.... vipi kuhusu mungu na shetani?
Mimi ningekujuwaje,si baada ya wewe kuamuwa kujitokeza kuwasiliana na Mimi.Na shetani naye akiamua atawasiliana na wewe.Na Mungu naye akiamua,atajitokeza kwako.
 
wewe ulishawasiliana na nani kati ya mungu na shetani? na mlitumia communication channel ipi? mlionana au mlichati humu jf au mlikutana live face to face?
 
yupo wapi huyo shetani na wewe umemjuaje? mimi nipo na najibishana na wewe.... vipi kuhusu mungu na shetani?

Kitu kilicho nje ya uwezo wako usifikiri kiko nje ya uwezo wa kila mtu. Watu wako wana wasiliana na kumtumikia shetwani. Hata wewe unaweza ila hujatangaza nia tu.

Na washawasha!
 
wewe ulishawasiliana na nani kati ya mungu na shetani? na mlitumia communication channel ipi? mlionana au mlichati humu jf au mlikutana live face to face?
Una haraka ya nini kuuliza kuhusu mimi.Watakapo amua kuwasiliana na wewe,watawasiliana na wewe kwa njia zao,hapo sasa ndio utaelewa,wanawasiliana vipi.Ni kama wewe,ulivyoamua kuwasiliana na mimi hapa jf,na wao wanao njia zao pia.
 
Kitu kilicho nje ya uwezo wako usifikiri kiko nje ya uwezo wa kila mtu. Watu wako wana wasiliana na kumtumikia shetwani. Hata wewe unaweza ila hujatangaza nia tu.

Na washawasha!

sina utamaduni wa kuaminishwa na kukubali kila ninachoambiwa bila kutumi my faculty of reasoning and creative imagination.....hivyo naona kama unampigia mbuzi gitaa.
 
Back
Top Bottom