SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 639
- 1,148
Binafsi huwa najiuliza sana, as to why kuna watu huwa mambo yao yamenyooka tu
Then watu wengine, unakuta wana kila kigezo ila mambo yao hayaendi kabisa.
Kuna ofisi moja nikifanya kazi na jamaa mmoja hivi msukuma, ila alitokewa kukubaklia na boss, mpaka wafanya kazi wengine tuka dhani anatumia madawa.
Hakuwa anajua kazi, alikuwa na mdomo sana, kuchongea wengine mpaka wanafukuzwa. Ila yeye hata kama boss ashuhudie kahaaribu kazi, hutasikia kafukuzww au kusimamishwa na pasipo tokea kazini boss hukosa raha kabisa.
Ndugu zangu sijui kwanini, huyo mnaye mwita Mungu anaweza kukupa uwezo lakini ukanyimwa "nyota"? Au nyota ni nini haswa?
Kwanini unaweza kuta jamaa hana kitu, lakini anapendwa na mademu ila mwingine ni handsome na ana kila sifa, ila bado yeye ni wa kulia kila siku kwa sababu ya mapenzi?
Je, nyota ni kitu gani, na ni kwanini wengine wamejaaliwa wengine wakanyimwa?
Karibuni kujadili