AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

Kiukweli hamna lolote la maana tatzo mashabiki wa mondi mnaaendeshwa kwa mihemko, video mbovu na audio mbovu, huyu AKA kachemka sana km ndio anashindana na CASSPER atasubiri sn
Ah umeanza Lini kumjua AKA na cassper nyovest.? Chanzo cha bifu je unakijua.? Aka namfananisha na kiba kinachomponza ni dharau na majivuno cassper anajua ila kuna vitu anafanyaga ndo maana s.a artist wengi hawamkubali
 
Review..
Kama Diamond platnumz mwenyewe alivyosema jana kabla ya video hii kutoka kuwa sasa ni zamu ya kuiteka South Africa na America kwa video hii naamini tumeanza kutimiza lengo mapema sana katika kuiteka SA.! Ikumbukwe kwamba mwaka 2014, 2015 ilikuwa dedicated katika kuiteka West Africa na lengo hili lilitimia kwa 100%!!

So, nadhani kazi ya kupenentrate market ya SA imeanza kwa kishindo na Inshallah naamini kabla nusu hii ya kwanza ya mwaka haijaisha tutakuwa tumefanikiwa katika hilo na naamini kati ya May or June tutegemee bonge la video lingine la Chibu na moja ya mastaa wa kubwa wa marekani ila kwa sasa tuendelee kuenjoy Make Me Sing...

Go go go Chibu.!!!
S.A wajiandae bado dudee la mafikizolo ft mond
 
Nimesoma comment zote,kuna kitu kinavutia zaidi kwenye huu uzi.
Karibu wote wote wanaojibu negative kuhusu video hii ni wale wanaopatikana kwa wingi kwenye thread ya Alikiba.
Then wengi wanaoisifia kupitiliza ni wale ambao nimekutana na post zao kuhusu Mond mara nyingi tu (die hard).
Swali,je mnachosema ni kweli? Sio chuki/mahaba?
Tumuamini nani? Muziki umekufa na sasa tunafanyiwa maamuz na watu wenye timu zao.
 
Jamani huu ushabiki utawafanya muwe wendawazimu!
Hii video ni mbovu,wamekosa idea mpya.
Video za kumwaga pesa sio kitu kinachoweza kukushawishi uangalie video kwa jicho la 3 au hata kuirudia mara ya pili.

Diamond alipotoa video na wimbo wa utanipenda nilimsifia,ila kwa video na wimbo huu ni hatua moja nyuma.
Amekurupuka,hata mwenzie kashindwa kufanya poa kama alivyofanya kwenye Don't Bother ya Joh Makini.
#Maoni yangu
Period
Niffah uko sahihi nachokiona hapo ni ushabiki uharo tu lakin to be honest kuanzia nyimbo,video hamna chochote humo,hapo hakuna chemistry kati ya aka na dangote hicho kmefanya ngoma iwe mbaya,af chibu alishashauriwa asiimne kiingereza anapotea sana Leo yaleyale,je utanipenda itabaki kuwa bora kuliko huu ushuz
 
Wivu????? Chuki?????
Anyway, nikurushie whatsapp mi nishaipakua tayari right now nimeweka on repeat naangalia mpaka time hii..

Go go go Chibu...

#UsikubaliKurekodiwa
Huwa sikoment bila kufanya utafiti,hyo ngoma nnayo hata kabla yako,siwez kuwa na chuki kwa MTU ambae simfikii hata robo,,,,penye ukweli pasemwe diamond humu katuangusha.....ila kwa akili zako fupi umeingiza uteam ndo maana hunielew
 
...ila kwa akili zako fupi umeingiza uteam ndo maana hunielew

Kwahiyo huku kutukana watu ambao hata hauwafahamu mitandaoni ndio unajisifia una akili kubwa..
Hongera yako mkuu!!!

Make Me Sing
I like the dance on 3:28, tararara taaantara tarararara!! Sory mkuu nlishamaliza kukujibu nimejisahau naenjoy Make Me Sing..
 
Nimesoma comment zote,kuna kitu kinavutia zaidi kwenye huu uzi.
Karibu wote wote wanaojibu negative kuhusu video hii ni wale wanaopatikana kwa wingi kwenye thread ya Alikiba.
Then wengi wanaoisifia kupitiliza ni wale ambao nimekutana na post zao kuhusu Mond mara nyingi tu (die hard).
Swali,je mnachosema ni kweli? Sio chuki/mahaba?
Tumuamini nani? Muziki umekufa na sasa tunafanyiwa maamuz na watu wenye timu zao.
Haya mambo ni very simple kufikia maamuzi! Wapo watu ambao kila Diamond anapotoa ngoma wao WATAPONDA tu na wengine ni kinyume chake! Na wapo pia ambao kila Kiba akitoa ngoma wao WATAPONDA tu na wengine kinyume chake!!

Duniani wanamuziki upimwa kwa kuangalia quantitative indicators na sio qualitative! Watapima kutokana na tuzo alizonazo na hadhi ya hizo tuzo, kwa US na hata UK atapimwa existence ya single zake Billiboards, atapimwa kutokana na mafanikio mengine yanayotokana na kazi yake ya msingi kv utajiri wake, endorsement alizonazo, mali alizonazo n.k! Siku hizi utapimwa hadi idadi ya views unazopata Youtube!

Sasa ikiwa unang'ang'ana kwamba X ni bora kuliko Y lakini X mwenyewe hana quantitative indicators za ku-support hoja zako basi ubora wa huyo X utatokana na hisia zako wewe binafsi kv exact science inashawishi vinginevyo!
 
Tunasema video nzuri ifanane na hadithi ya wimbo aya sasa 'make me sing' watu wanapora bank
Kwanza, story line sio lazima ingawaje ni kweli pia watu wanapenda video zenye story line! Tatizo la Kiba sio video kukosa story line bali kukosa sanaa ndani yake!

Tukirudi kwenye wimbo ni "make me sing" lakini ndo kwanza watu wanapora benki! Je, ni nani huyo anaambiwa "make me sing?" Jibu la harakaharaka ni mwanamke! Na kama ni mwanamke basi labda hujasikiliza vizuri na kusikia alivyosifiwa huyo mwanamke... "ni my everything...!" Na kama umesikiliza basi huenda umesahau ni namna gani hao akina "my everything" wanavyotufanya tu-risk maisha ili mradi tu tuwe happy nao! People rob mzee because ya hawa "my everything...!" Wakisha-rob hakuna cha maana kinachofuata zaidi ya kula bata na mbwembwe za kuonesha ufahari kama inavyoonekana kwenye video!!! Na mara nyingi mwisho wake sio mzuri inavyoonekana kwenye video--- unaingia mikononi mwa polisi lakini aliyekufanya ushike mtutu unamwacha salama salmini kama unavyomuona huyo shost "akisahaulika" na pingu za polisi wakati na yeye alishiriki huo mchezo manake ndie alienda kuchora ndipo jamaa wa kazi wakatimba na mashine! Kumbe inawezekana hakuwa "my everything" wako peke yako vinginevyo sijui utatafsiri vp hadi wengine watiwe mbaroni na yeye aachwe!

Ni fasihi zaidi kuliko inavyoonekana!
 
thank yuh bradha...
nimeipenda hii
 
Baada ya kuangalia video nikakosa comment, nikajaribu kusikiliza bila kuangalia video nikakosa comment baada ya kuondoa sauti na kuangalia video nikasema angalau.

Naipa 7/10 hii nyimbo kwa kweli. Nana was something cool kwa video na audio.

Imebidi niirudie Nana ili kukubali kwamba diamond ni mkali, ila kwa hii nyimbo Lupela inamfunika.
Mkuu bora umute sauti atleast utasema unacheki movie..Sijaona connection kati ya kinachoimbwa na hiyo video
 
Ila kiukweli jana mie nilikia sijaupenda kabisa, kwanza nikajifikilia dah ivi uyu ndo Mond au? Asubuh nimekaa hapa naurudia nahisi wapenya kumoyo. Nakumbuka ilivotokaga mdogomdogo yaaan watu tulisema enzi hizo mie sie fan wake kabisa basi ile video nikaonaje mbaya. Lakin naamin chibu anajua anachofanya bhana namuamini. Hii nyimbo ina kaladha chake.
 
Kumbe mlitaka na Kiba nae atengeneze km movie??, video na kiimbwacho viko irrelevant kabisaa. Km kwenye kabat lenu IPO hiyo tu jipangeni sana
Mbona alishaiga na kutengeneza kama movie,video yake ya Mwana ikabuma.Cha uiga no kuiga tu.Kiba role model wake in diamond
 
For the record sijawahi kupenda nyimbo ya diamond mapema ikishatoka hata NANA niliiona mbaya kupita maeleezo ila hii nimeielewa mapema sana ambayo wanasema hii nyimbo mbaya tuwape mdaa wataona ukubwa wa hii nyimbo hili swala si kwa diamond tuu nakumbuka mwaka juzi sauti sol walivyotoa nyimbo wa sura yako muzuri nilikua kenya waliisema sana track yao ila mimi binafsi niliamini ile nyimbo ni nzuri na itakuja kua kubwa so naomba msave hii post make me sing itakua nyimbo kubwa sana expect it kusumbua sana MTV na TRACE plus couples of awards najua wengi wetu watanzania nyimbo ikishaingia kingeleza tuuu basi ni mbaya kwa mfano nyimbo ya vanessa aliyoitoa mara ya mwisho nchini kwetu haina nguvu sana ila west Africa inasumbua sana.
 
Back
Top Bottom