Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,716
Dakika na Sekunde yoyote kuanzia sasa Kijana Mtanzania ambaye hajawahi kutuangusha kimuziki atadondosha Video yake mpya aliyomshirikisha Msanii kutoka South Africa, AKA ambaye ndiye rapper bora kwa sasa barani Afrika.!
Wimbo unaitwa Make Me Sing..
============================
Mzigo huu hapa.!!
Shikamooooo Chibuuu...
=============================
Review..
Kama Diamond platnumz mwenyewe alivyosema jana kabla ya video hii kutoka kuwa sasa ni zamu ya kuiteka South Africa na America kwa video hii naamini tumeanza kutimiza lengo mapema sana katika kuiteka SA.! Ikumbukwe kwamba mwaka 2014, 2015 ilikuwa dedicated katika kuiteka West Africa na lengo hili lilitimia kwa 100%!!
So, nadhani kazi ya kupenentrate market ya SA imeanza kwa kishindo na Inshallah naamini kabla nusu hii ya kwanza ya mwaka haijaisha tutakuwa tumefanikiwa katika hilo na naamini kati ya May or June tutegemee bonge la video lingine la Chibu na moja ya mastaa wa kubwa wa marekani ila kwa sasa tuendelee kuenjoy Make Me Sing...
Go go go Chibu.!!!