Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Diamond ametisha sana aiseee.. Ila kiroho safi kupenya marekani hawezi...Hahahaa sawa tusubiri huo muda wizkid p sqwea hawa tu ndio wamepenya hadi marekani kwa dimond ni sawa na kusubiri meli airport
Hata hao P Square na Wiz Kid hawajapenya huko... Wanachukuliwa tu kama wanamuziki kutoka Africa..
on
Up
