AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

Mkuu tafuta comment yangu kwenye video ya Lupela, sikuisifu kivile ila nikilinganisha na kitu walichokifanya kina Diamond sijaona uhalisia kabisa.
Sawa Mkuu, huo ni mtazamo wako na nauheshimu lakini naamini watanzania na afrika wengi hawatakubaliana na mtazamo wako, subiria just two days utanielewa..
 
Kiukweli hamna lolote la maana tatzo mashabiki wa mondi mnaaendeshwa kwa mihemko, video mbovu na audio mbovu, huyu AKA kachemka sana km ndio anashindana na CASSPER atasubiri sn
 
Mkuu, labda ni lugha tu niliyotumia kwa ufupi anataka kupenentrate kwenye soko la America.. Na sioni ubaya wa kujaribu kufanya hivyo!!! Hata kama P Square walishindwa hii haina maana kuwa ni mwiko kwa wengine kujaribu au daima na milele itakuwa hivyo ni kheri ajaribu hata akishindwa lakini angalau amejaribu hiyo ndio mentality chanya Mkuu..!!
Kwa mziki UPI wewe au huu huu wa kuimba pamoja na aka ndio upenye hadi marekani? Hebu acha dharau aisee
 
Ntaitwa Snitch ila kwenye ukweli tunasema jamani alafu diamond kaonekana kama underground masikini yaani mbwembwe zake sijaziona mle
ulitegemea mbwembwe gani zaidi mkuu!ebu niambie wakati unaucheck huu wimbo ulikuwa katika hali gani?isijekuwa ndo ulitoka kupiga moja moto moja baridi,ukaishia kuona maruweruwe tu
 
Back
Top Bottom