Mwana wa Zaituni
Member
- Feb 19, 2013
- 84
- 44
HIP-HOP tamu sana kama unaielewa...tatizo media zetu zishaikataahawe
hawezi kukuelewa mkuu, hawa mashabiki uchwala wana shida sn
HIP-HOP tamu sana kama unaielewa...tatizo media zetu zishaikataahawe
hawezi kukuelewa mkuu, hawa mashabiki uchwala wana shida sn
Hivi Rihanna akitoa video mpya unadhani haitapata views nyingi!? Lakini hiyo ndio inafanya huo wimbo Kuwa mzuri!? Maana naona tumefika mahali hatuzungumzii tens uzuri Wa wimbo Bali video.views zinamata sana kupima ubora wa kazi. women's lie man's lie Numbers dont
Muziki unahitaji teknikaliti kama mpira!! Ukiweza kufanya vizuri YouTube ni kama umetupia goli tatu bila alafu hata half-time bado..Hivi Rihanna akitoa video mpya unadhani haitapata views nyingi!? Lakini hiyo ndio inafanya huo wimbo Kuwa mzuri!? Maana naona tumefika mahali hatuzungumzii tens uzuri Wa wimbo Bali video.
Inamaana unataka kusema Audio ni mbaya ukicompare na ipi labda" mbona video ya Jux One more Night watu walipenda video lkn audio wakasema sio nzuri na nyimbo inabamba kwenye Tv stations kubwa Africa. Video imatter sana kwenye ulimwengu huu wa sasa.Hivi Rihanna akitoa video mpya unadhani haitapata views nyingi!? Lakini hiyo ndio inafanya huo wimbo Kuwa mzuri!? Maana naona tumefika mahali hatuzungumzii tens uzuri Wa wimbo Bali video.
Nimekusoma. Point yako ni kweli.Muziki unahitaji teknikaliti kama mpira!! Ukiweza kufanya vizuri YouTube ni kama umetupia goli tatu bila alafu hata half-time bado..
Nimekusoma. Huwezi kupuuzia umuhimu Wa video kwa salsa.Inamaana unataka kusema Audio ni mbaya ukicompare na ipi labda" mbona video ya Jux One more Night watu walipenda video lkn audio wakasema sio nzuri na nyimbo inabamba kwenye Tv stations kubwa Africa. Video imatter sana kwenye ulimwengu huu wa sasa.
Video ikiwa super inaweza kuipush nyimbo kwa upande wa Tv na Views YouTube.
Sasa usiombe vyote vikawa super majibu unayo