Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Ngoja ichukue tuzo ndio tujue kati ya wewe na the rest of africa nani anajua !![]()
![]()
Hahahahahaaa time will tell.Nifah ukapimwe akili sio bure
Ngoja ichukue tuzo ndio tujue kati ya wewe na the rest of africa nani anajua !![]()
![]()
Hahahahahaaa time will tell.Nifah ukapimwe akili sio bure
Video inatengenezwa kulingana na maudhui ya nyimbo yenyewe!! Video ya utanipenda ingawa iko kwenye quality ya juu sana lakini ilikuwa ni lazima kuwe na simplicity ya kimandhari katika scenes nyingi ili kuakisi uhalisia wa kinachoimbwa!Jamani huu ushabiki utawafanya muwe wendawazimu!
Hii video ni mbovu,wamekosa idea mpya.
Video za kumwaga pesa sio kitu kinachoweza kukushawishi uangalie video kwa jicho la 3 au hata kuirudia mara ya pili.
Diamond alipotoa video na wimbo wa utanipenda nilimsifia,ila kwa video na wimbo huu ni hatua moja nyuma.
Amekurupuka,hata mwenzie kashindwa kufanya poa kama alivyofanya kwenye Don't Bother ya Joh Makini.
#Maoni yangu
Period
Wewe kima sio kila nisemacho unarukia juu kwa juu.
Ngoja nikupe mwanga kidogo tafuta thread nilizowahi kuanzisha kisha ndio uje kusema huu upuuzi wako hapa.
Mimi sio nyumbu niliyepofushwa na mahaba kama wewe.
!! Bahati nzuri nimelelewa vyema sijui matusi, la sivyo tungetukanana mpaka asubuhi.. Hii ni platform huru kama hutaki watu wajibu unachocomment basi usipost chochote kaa kimya but nitaendelea kujibu any comment of yours ninapoona kuna ulazima!! We endelea na mitusi yako..mmmmh Eti kafanya vizuri kuliko kwenye Dont bother! like seriously? Anyway tofauti ipo kule alifanya kama Hiphop hapa kafanya tofauti so usituchanganye kama hasi na chanya( in diamond voice)Jamani huu ushabiki utawafanya muwe wendawazimu!
Hii video ni mbovu,wamekosa idea mpya.
Video za kumwaga pesa sio kitu kinachoweza kukushawishi uangalie video kwa jicho la 3 au hata kuirudia mara ya pili.
Diamond alipotoa video na wimbo wa utanipenda nilimsifia,ila kwa video na wimbo huu ni hatua moja nyuma.
Amekurupuka,hata mwenzie kashindwa kufanya poa kama alivyofanya kwenye Don't Bother ya Joh Makini.
#Maoni yangu
Period
Naam,hakika sikukosea kukukubali wewe tu of all Chibu's JF fans.Hii ngoma haiwezi kua maarufu hapa bongo coz ya aina yenyewe ya wimbo sio wa kuchangamka,(but video sio mbaya)still kwangu mimi 'NaNa' na 'utanipenda' ni bora zaidi ya huu,by the way km nilivyosema hii ngomA inaweza kua maarufu kwa mataifa ya nje ya east Africa.frankly speaking kwa mara ya kwanza nasema diamond hajanikamata kwa hii ngoma......but haijabadili ubig fan wangu kwa chibu.....ni mtazamo wangu.
Acha Ukweli na usemwe tu...i predict huu wimbo unaweza kukosa thamani kama ule wa Mond x donald "wangu"....!!Naam,hakika sikukosea kukukubali wewe tu of all Chibu's JF fans.
Mwingine ni Steph Curry....you guys mnajielewa sana.
Niseme nini cha zaidi?Hakuna....
Ukweli uliosema nadhani utawachoma sana wengine.
Msimfananishe huyu kijana Wa mapela na mnyama diamond..mtamsababishia shinikizo la damu kibakuli!!Ule wa Mapela si ndio bs tena unapitwa view one day....
duh...Acha Ukweli na usemwe tu...i predict huu wimbo unaweza kukosa thamani kama ule wa Mond x donald "wangu"....!!
Huo ukweli (true lie) utamchoma no one, hii ngoma naiona juu kwenye chat za MTV na Trace wiki chache zijazo.....watch this space!!Naam,hakika sikukosea kukukubali wewe tu of all Chibu's JF fans.
Mwingine ni Steph Curry....you guys mnajielewa sana.
Niseme nini cha zaidi?Hakuna....
Ukweli uliosema nadhani utawachoma sana wengine.