BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Mafikizolo ft Diamond
Diamond ft P Square
Diamond ft Neyo
2016.
Diamond ft P Square
Diamond ft Neyo
2016.
sema tu kama lugha ya malkia ni tatizo kwako...mbona dogo katambaa fresh tu na kiswanglish chake...tena ndo imefana haswaaa!taaaa tataraa,eeeeh!Niffah uko sahihi nachokiona hapo ni ushabiki uharo tu lakin to be honest kuanzia nyimbo,video hamna chochote humo,hapo hakuna chemistry kati ya aka na dangote hicho kmefanya ngoma iwe mbaya,af chibu alishashauriwa asiimne kiingereza anapotea sana Leo yaleyale,je utanipenda itabaki kuwa bora kuliko huu ushuz
[Verse 1 – AKA]Kwanza, story line sio lazima ingawaje ni kweli pia watu wanapenda video zenye story line! Tatizo la Kiba sio video kukosa story line bali kukosa sanaa ndani yake!
Tukirudi kwenye wimbo ni "make me sing" lakini ndo kwanza watu wanapora benki! Je, ni nani huyo anaambiwa "make me sing?" Jibu la harakaharaka ni mwanamke! Na kama ni mwanamke basi labda hujasikiliza vizuri na kusikia alivyosifiwa huyo mwanamke... "ni my everything...!" Na kama umesikiliza basi huenda umesahau ni namna gani hao akina "my everything" wanavyotufanya tu-risk maisha ili mradi tu tuwe happy nao! People rob mzee because ya hawa "my everything...!" Wakisha-rob hakuna cha maana kinachofuata zaidi ya kula bata na mbwembwe za kuonesha ufahari kama inavyoonekana kwenye video!!! Na mara nyingi mwisho wake sio mzuri inavyoonekana kwenye video--- unaingia mikononi mwa polisi lakini aliyekufanya ushike mtutu unamwacha salama salmini kama unavyomuona huyo shost "akisahaulika" na pingu za polisi wakati na yeye alishiriki huo mchezo manake ndie alienda kuchora ndipo jamaa wa kazi wakatimba na mashine! Kumbe inawezekana hakuwa "my everything" wako peke yako vinginevyo sijui utatafsiri vp hadi wengine watiwe mbaroni na yeye aachwe!
Ni fasihi zaidi kuliko inavyoonekana!
[Verse 1 – AKA]
Sweet something you all I want
Can’t tell me nothing stole my heart
Praise God that He made you
See nobody, nobody replace you
So tell me have you seen her
African queen, number one diva
Shake your bidi bum thing, when I pump speaker
Don’t you know we run things in a Tanzania
Oh ta ta ta tara
Ta ta ta tarara (tarara)
Ta ta ta tara (tata rara)
Nta nta nta ntara rara
[Chorus – Diamond Platnumz]
Oh mama you gon’ make me sing
Ta ta ntara (ona naimba)
Uh ta ntara (giving thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you’re my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)
[Verse 2 – Diamond Platnumz]
When I’m looking to your eyes
Furaha yangu naiona
Pressure unani-minimize
Napougua napona (ni wewe)
Ananichanganya (ni wewe)
Asi kwa chanya (ni wewe)
Anaenichanganya (ni wewe)
Shibe yangu mama (ni wewe)
Eh hee hee, hivyo hivyo
Hivyo chunga tusije tengana
Hivyo hivyo
Taratibu tutafika mama
Na ngoma yako isakata
Nakoma dance ukikata
Sangoma wa nini nshanasa
[Chorus – Diamond Platnumz]
I swear you de make me sing…
Ta ta ntara (singing everyday)
Uh ta ntara (giving thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you’re my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)
[Verse 3 – AKA]
We… fresh and clean, you want something
Then chop my money oh
Ah yeah, no long team I invite you to my bedroom party oh (ah yeah)
Take a shot and pop the bubbly
Glass is up you got to love me
Ah, break it down we de make girlem sweat like cardio
Aah!
You de queen of my kingdom
Number one in a million
Bout time I put the ring on
Bad girls got their eyes on my income
No stress or drama
Jah bless, asante sana
Give thanks to God for my queen love
Dar Es Salaam put your drink up
Ta ta ta tara (tarara)
Ta ta ta tarara (tata rara)
Ta ta ta tara, oh yeah
[Chorus – Diamond Platnumz]
Oh ma you de (gon) make me sing
Ta ta ntara (singing everyday)
Uh ta ntara (thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you’re my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)
[Outro – Diamond Platnumz]
Any time and any place
Singing everyday
Giving thanks and pray
Feeling your embrace
You’re my everything
One and only queen
hivi unanifahamu au unanisikia, ah ah ah ah ahAh umeanza Lini kumjua AKA na cassper nyovest.? Chanzo cha bifu je unakijua.? Aka namfananisha na kiba kinachomponza ni dharau na majivuno cassper anajua ila kuna vitu anafanyaga ndo maana s.a artist wengi hawamkubali
Jibu swali acha kubwabwajaw
hivi unanifahamu au unanisikia, ah ah ah ah ah
twasubiria..!Mafikizolo ft Diamond
Diamond ft P Square
Diamond ft Neyo
2016.
Zote zimebuma halafu kama wamempoteza utafikiri sio nyimbo zakeMafikizolo ft Diamond
Diamond ft P Square
Diamond ft Neyo
2016.
Umeshazisikia?Zote zimebuma halafu kama wamempoteza utafikiri sio nyimbo zake
Tayari mzee wee subiri zitoke ila mii nimezinyakaUmeshazisikia?
Bangi mbayaTayari mzee wee subiri zitoke ila mii nimezinyaka
Kwa hiyo ndio inaifanya kuwa ngoma Kali!? Naona ushabiki umekuwa juu kuliko ubora Wa muziki. Hivi video ndio imekuwa mziki mzuri au!? Maana sielewi!Bansen15316607 said:Make me Sing 21hours 143k
Lupela 5days 418k
Hopefully by 24hours au a day Make me sing itakua 145k. For 5 days itakua 725k
725k
-418k
307k tofauti yetu
Utaelewa tu!! Wait and see..Kwa hiyo ndio inaifanya kuwa ngoma Kali!? Naona ushabiki umekuwa juu kuliko ubora Wa muziki. Hivi video ndio imekuwa mziki mzuri au!? Maana sielewi!
views zinamata sana kupima ubora wa kazi. women's lie man's lie Numbers dontKwa hiyo ndio inaifanya kuwa ngoma Kali!? Naona ushabiki umekuwa juu kuliko ubora Wa muziki. Hivi video ndio imekuwa mziki mzuri au!? Maana sielewi!
Mosi, hakuna suala la kutoka nje ya mada! Pili, bora umesema wazi kwamba "nyinyi mnaaamini kwamba video inatokana na maudhui....!" Sasa unless kama unataka na mimi niseme kama "mnavyoamini nyinyi!"Lyrics hizi hapa maana tusitoke nje ya mada najua umeongea bila kusoma lyrics,kelele zetu kua skeleton ya video bora sisi tunaamini inatokana na maudhui ya wimbo aya turudi bank na uporaji sasa acha nadharia zako,wakikosea tuwakosoe wakipati tuwasifie.
"Ni fasihi zaidi kuliko inavyoonekana" nimekunukuu,ivi juzi hapa si tumemtukana AJ kisa kasema video ya Kiba ni fasihi zaidi tukasema haiendani na wimbo leo vipi tena,weka mambo yao/yenu ya timu pembeni angalau kidogo tujadili muziki alafu nenda kaangalie video ya lil' Wayne ft T Pain-Got Money uje na maelezo ya kutosha,Godfather angeweka mikono kwenye hii joint ingekua ya kutisha sitaki kuzungumzia audio maana wadogo zetu uko wako vibaya wanakomaa na vichupa tu.
December 27, 2014 hadi leo zaidi ya mwaka mmoja umepita na kuhusu video ya Diamond nimesema:Hii video sio mbaya kihivyo kama tunavyoaminishana lakini tukitoa zile tofauti zetu za u-Diamond na u-Kiba, bado kuna kitu cha msingi ambacho kinaweza kumfanya mtu aione ni mbaya ingawaje kimsingi sio mbaya. Kwanza, music video is an art and science! Good music video ni lazima iwe na hizo packages kuu mbili za msingi! Video as science, hii ya Kiba imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. As a science, tunaangalia sana technical aspects.
As an art, kwenye hii video kuna kitu kimekosekana. Mtoa maada na wengine wanazungumzia suala la video kutoendana na maudhui ya wimbo... niseme tu kwamba, kwenye music video story line isn't the big issue anymore! Kwenye video za kileo, hakuna cha suala la video kuendana na maudhui ya wimbo... that's an old shit of stuff! Cha msingi, as stated earlier, video is an art and science... that's it... music video sio movie kwahiyo si lazima iendane na maudhui ya wimbo!!!
Msisitizo kwenye RED & BLUE!!! Kwahiyo hapo utaona nilichosema dhidi ya video ya Diamond leo ndicho hicho hicho nilikisema dhidi ya Kiba zaidi ya mwaka mmoja uliopita kwahiyo hapo hakuna suala la u-Team!Kwanza, story line sio lazima ingawaje ni kweli pia watu wanapenda video zenye story line! Tatizo la Kiba sio video kukosa story line bali kukosa sanaa ndani yake!