Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,272
Aisee ! Mkuu we kweli haumpendi jamaaSifa za video kwanini zinaenda kwa msanii na sio Director?, Audio hamna kitu...........

Aisee ! Mkuu we kweli haumpendi jamaaSifa za video kwanini zinaenda kwa msanii na sio Director?, Audio hamna kitu...........

Hatuwashangai team LUPELO ile yenu ndo mnaona ni ngomaSifa za video kwanini zinaenda kwa msanii na sio Director?, Audio hamna kitu...........
#tatataraUko sahii mkuu ila soko linataka video za hivyo na mziki ni biashara, z
Mhhhhh!!!
Got Money .... Lil Wayne Ft T- Pain
ahahahahah...Mondi Tanzania ahame tu sasa hapa sio mahala Pake!
na WATAIMBA kimoyomoyo pia mkuu...Naona kama nitukane vile maana huyu chibu c wasayari hiii" make me sing manina...
Hii watacheza adi upande wa pili
acha UONGO..!Ni fan wa diamond hii sijaipenda
Haya walahi kwa ii video anazidi kuonyesha kua media hawako fare kumfananisha na yule jamaa sijui wanamuita Tembo sijui elephant
Kama hujaitazama sijui unangoja nn
Diamond x AKA MAKE ME SING
Alafu toa comment lako apo
Mhhhhh!!!
Got Money .... Lil Wayne Ft T- Pain
Sishangai!! I expected this from you.. Anyways, kijana wetu anaendelea kuipaisha Tanzania.. Sasa ni zamu ya kuiyeka South Africa, west Africa tumeshamaliza kazi..Asante,kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono.
Haya walahi kwa ii video anazidi kuonyesha kua media hawako fare kumfananisha na yule jamaa sijui wanamuita Tembo sijui elephant
Kama hujaitazama sijui unangoja nn
Diamond x AKA MAKE ME SING
Alafu toa comment lako apo
Hata Mimi piaAsante,kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono.
Sishangai!! I expected this from you.. Anyways, kijana wetu anaendelea kuipaisha Tanzania.. Sasa ni zamu ya kuiteka South Africa, west Africa tumeshamaliza kazi..Asante,kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono.
Ngoja ichukue tuzo ndio tujue kati ya wewe na the rest of africa nani anajua !Jamani huu ushabiki utawafanya muwe wendawazimu!
Hii video ni mbovu,wamekosa idea mpya.
Video za kumwaga pesa sio kitu kinachoweza kukushawishi uangalie video kwa jicho la 3 au hata kuirudia mara ya pili.
Diamond alipotoa video na wimbo wa utanipenda nilimsifia,ila kwa video na wimbo huu ni hatua moja nyuma.
Amekurupuka,hata mwenzie kashindwa kufanya poa kama alivyofanya kwenye Don't Bother ya Joh Makini.
#Maoni yangu
Period

Nifah ukapimwe akili sio bureJamani huu ushabiki utawafanya muwe wendawazimu!
Hii video ni mbovu,wamekosa idea mpya.
Video za kumwaga pesa sio kitu kinachoweza kukushawishi uangalie video kwa jicho la 3 au hata kuirudia mara ya pili.
Diamond alipotoa video na wimbo wa utanipenda nilimsifia,ila kwa video na wimbo huu ni hatua moja nyuma.
Amekurupuka,hata mwenzie kashindwa kufanya poa kama alivyofanya kwenye Don't Bother ya Joh Makini.
#Maoni yangu
Period
Wewe kima sio kila nisemacho unarukia juu kwa juu.Sishangai!! I expected this from you.. Anyways, kijana wetu anaendelea kuipaisha Tanzania.. Sasa ni zamu ya kuiyeka South Africa, west Africa tumeshamaliza kazi..