AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

Asante,hii video na wimbo vyote kwa pamoja ni vibovu sana.
Nimesema mimi nikaonekana hater,wewe sijui utaitwa jina gani!
Ntaitwa Snitch ila kwenye ukweli tunasema jamani alafu diamond kaonekana kama underground masikini yaani mbwembwe zake sijaziona mle
 
Ukitaka kuenjoy vizuri hii video..Mute sauti

Baada ya kuangalia video nikakosa comment, nikajaribu kusikiliza bila kuangalia video nikakosa comment baada ya kuondoa sauti na kuangalia video nikasema angalau.

Naipa 7/10 hii nyimbo kwa kweli. Nana was something cool kwa video na audio.

Imebidi niirudie Nana ili kukubali kwamba diamond ni mkali, ila kwa hii nyimbo Lupela inamfunika.
 
Kinachouza ni audio sio vidio vidio Mara chache sana inakupa faida so audio ya huu wimbo wa pamoja na aka kiufupi hamna kitu wamechemsha
 
Unamuona tecno na nyimbo zake zile audio imesimama achilia mbali vidio
 
mimi nadhani hii tag ya "News Alert " Inatumika vibaya! ..... hii thread inakuwaje NEWS ALERT ??!
 
Dah yaani mkuu mm mwnyw nimeshangaa, wameiba idea ya video ya snitch ya Obbi Trice ft. Akon,
Nyimbo mbaaaaaaaaya
Video mbaaaaaaaaaya
mbona mnatuchanganya nyie team vifaduro..mara idea ya lil wyne-got money cjui ndo madudu gn,mara snitch ya Obbi cjui ndo kitu gn...ebu tafuteni point moja ambayo mtasimama nayo ktk kuudiss huu wimbo ili tuwaelewe...mbona hamnaga unanimity ktk hizi kosoa zenu!
mkishaanza kuwa na mitizamo tofauti nyie team haters basi tutajua jamaa hawajacopy sehemu,maana mnashindwa kupambanua which is which!
 
Naona baada ya Baba Tiffah kutangaza anatoa wimbo wiki hii nawe ukakimbilia kufungua account ingine ukimsubiria...hongera kwa kumsapoti maanabkitu ambacho kwako kibaya wengine ndio kitawavutia waone ubaya upo wapi na Diamond pesa itaongrzeka...usisahau kufungua na ID ya kujijibu na kujisifia...ndimu bado zipo
 
Baada ya kuangalia video nikakosa comment, nikajaribu kusikiliza bila kuangalia video nikakosa comment baada ya kuondoa sauti na kuangalia video nikasema angalau.

Naipa 7/10 hii nyimbo kwa kweli. Nana was something cool kwa video na audio.

Imebidi niirudie Nana ili kukubali kwamba diamond ni mkali, ila kwa hii nyimbo Lupela inamfunika.
Jeshi la mtu mmoja
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Nilikuwa natafuta hiyo sentesi tu kwenye post yako yote coz nlijua tu unakoelekea..

Uzuri tu ni kwamba wote (you included) tunajua unachoongea ni uongo..

Mkuu tafuta comment yangu kwenye video ya Lupela, sikuisifu kivile ila nikilinganisha na kitu walichokifanya kina Diamond sijaona uhalisia kabisa.
 
Back
Top Bottom